Search results

  1. Watu

    TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

    ukiona wanakimbili huko maana yake kuna loopholes za kukwepa kodi nakufanya biashara zisizo nyooka,wakibana na huko watakibia tena. ukinyooka TRA HAWANA HATA SHIDA NA WEWE
  2. Watu

    TRA wanavyofunga biashara za wazalendo

    Akalipe, kodi ina sehemu mbili mapato(mauzo ghafi)/matumizi mapato yako msotly TRA wanakuwa nayo. ni wajibu wako kuthibitisha matumizi yako kwa risiti/viambatanisho kinyume cha hapo utaona ni wa kuonewa.
  3. Watu

    Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

    Atakua anakatwa P.A.Y.E huyo hajui TRA kwamba ni akili matope? Ni kweli watu wana arrears na zingine zinakwenda way back 10 years wakitumia nguvu nyingi kudai arrears kuliko kumfanya mlipa kodi astawi waweze pata zaidi mbeleni? Na ni kweli sheria yao ya arrears haijafanyiwa marekebisho...
  4. Watu

    Huu Msafara wa Rais Magufuli sijawahi uona

    Hofu........bin woga
  5. Watu

    Hata Mnyika ataitosa CHADEMA makatibu wakuu waliomtangulia

    CCM Waliko ondoka Mawaziri wakuu wasafu wawili kuna shida gani?
  6. Watu

    Masaa 24 yameshapita

    Ana apisha wateule......hajaongea? uswahilini wanasema wapenda Mic wanzikimbia siku hizi
  7. Watu

    Ukweli kuhusu NIDA: Tuwe makini na habari za uzushi kuhusu mchakato wa vitambulisho NIDA

    Yes, kwa kuwa watu hawakwenda na wakati wito ulipotolewa.
  8. Watu

    Ukweli kuhusu NIDA: Tuwe makini na habari za uzushi kuhusu mchakato wa vitambulisho NIDA

    mjasiriamali mdogo, Mbona sie wengine hatukuyapitia hayo? Walipotangaza wanatoa vitambulisho, tuliambiwa NIDA wamekuja kw ofisi ya serikli, ya mtaa, tukaenda tukapewa form tukajaza na kurudisha na viambatanisho muhimu ni cheti cha kuzaliwa(namba yake waijaza kwenye cheti pia) baada...
  9. Watu

    Shule za Kiislamu Tanzania

    Kisa tu i have a diffrent opnion than yours?? Umetoa hoja, nimekujibu huwezi kuta shule ya kiislam ikiongoza kwenye ranking za matokeo ya necta sababu hawafukuzi/chuji wanafunzi neither have they commercilized elimu? Matatizo yangu mengi kichwani ni yepi hapo?? Angalia matokeo kama haya...
  10. Watu

    Shule za Kiislamu Tanzania

    Nyie msiosoma madrasa, mmefaidika nini? Mbona hamjajitawla kifikra?
  11. Watu

    Shule za Kiislamu Tanzania

    Abuu Dharr, Uislaam hauruhusu kuchuja na kufukuza watoto wasio na uwezo, kw shule zetu zina waroro wenye div 1 had Div 0 na hakuna tunaye shindana nae.
  12. Watu

    Naomba ufafanuzi kuhusu kuchukua mtoto mahakamani

    Mawakili hawana tofauti na waganga wa kienyeji....watakupotezea muda na fedha Fwata ushauri huu is the best.
  13. Watu

    CHADEMA yaanza kazi Mbeya Mjini. Mbunge wake aanza kumimina semina elekezi ngazi zote kwenye kata zote

    Shida kura hazitapigwa .....atapewa tu "Tulia" jimbo
  14. Watu

    TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Access to the world nikupitia simu tu? WiFi/Firewall/VPN zina namba za simu? watawabana nyie wa "Hela tuma kwenye Namba hii@
  15. Watu

    Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juu

    Hivi punde, Anogopa watu kama nyie mnaomfwatilia....
Back
Top Bottom