Shule chache sana za bording hapa Tanzania, hivyo watanzania wachache pia wanapeleka watoto wao katika shule hizo. Si kweli kuwa watanzania wengi ni evil
Hujaeleweka kabisa,
Madhara yaliyo letwa na maamuzi au ushauri wa Kabudi hawawezi kulinganishwa na Lowassa kupokelewa CDM.
Wananchi wa mikoa ya kusini wamepata umasikini wa kutupwa kutokana na ushauri mbovu wa Kabudi.
Pia hukulazimishwa kuunga mkono CDM kwa kumpokea Lowassa kama ambavyo...
We MWL wa wapi? Huku kwetu hata walimu makada wa ccm hawaafiki juu ya Elimu bure. Ni hasira kubwa kwa watoto waliopo shuleni kwa sasa. TAIFA hakuna dira ya Elimu kila Rais na waziri wa Elimu wanaamua juu ya mwelekeo wa Elimu.
Kwa sasa shule zimekuwa sehemu ya kujumuika badala ya kujifunza.
Si kweli kuwa madawati ya kata ya Lufilyo yaliyokataliwa ilitokana na mgongano wa kisiasa kati ya ccm na upinzani, Bali ni mgogoro kati ya diwani wa ccm wa sasa na aliyekuwa diwani wa ccm aliyepita kwani ana kinyongo cha kushindwa
Mimi mpaka leo sijaona upungufu wa wale waliotoka bungeni na hao waliobaki,
Sikumbuki hata moja zuri lililojadiliwa na waliobaki zaidi ya kuacha kujadili bajeti Bali kujadili ukawa muda wote.
Nilitegemea waliobaki wajadili bajeti kwa utulivu na kwa kina ili tuone hoja zenye mashiko.
Maoni yangu...
Lini umeona watoto wadogo wakiwa bungeni na kutokatoka? je jana walitoka au walifukuzwa na spika? wananchi watatetewa vp huku wengine wakivunja katiba?
ukiangalia kwa mbali hata wachangiaji walikuwa wamepagwa, ndo maana wengine walijinasibu kuwa watampigia kura jpm wakati wakijua fika kura ni siri. pia wasitutishe vita siyo razima viibuke wakati wa uchaguzi,Libya,Tunisia na misri hakikuwa kipindi cha uchaguzi. hakika mjinga akibumbuluka mwelevu...
hapa naona tunadanganyana tu, hakuna AMANI ndani ya cdm, ndiyo maana msemaji mkuu wa chama amegoma kutoa taarifa rasmi kwa Yale yanayoendelea ndani ya chama hatimaye makamu KATIBU mkuu ndiye kawa msemaji wa chama. SINA IMANI NA WANA SIASA
wewee, hi ni tz
yetu wote, mnkipita kubomoa, wanakuja kujenga, kuziba NA kufunika nyufa mlosababisha
tatizo labda ungesema mikutano hufanyika eneo moja kwa wakati mmoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.