Search results

  1. msombwe

    Sababu 5 CCM Kushinda Uchaguzi 2015

    Ingawa ni kweli CCM itashinda ila sababu zilizoletwa na mtoa maada si za CCM ya leo, nadhani mtoa maana kafunua malengo ya ccm wakati inaanzishwa kayaanika hapa, kwa kifupi CCM imepoteza dira na haina haijui inataka kufanya nini katika nchi hii, wanachojua viongozi wa ccm ni kuwa wanataka...
  2. msombwe

    Spika Makinda awachefua Wazee wa Kibena na Njombe

    Kweli we zimamoto! inaama wagumba aka tasa na wengine wasiopenda kuwa na familia ima kwa hiari au viapo vya useja hawawezi kuongoza? vipimo vya kichawi hivo havitumiki dunia ya sasa
  3. msombwe

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Mkuu chadema kupambana na CCM 2015 ni hadithi tu hakuna wapinzani mule, chadema wengi ni wasomi waliokosa ajira hawana hata kadi za kupigia kura! na vijana wa waliopigika. Sorry but that the truth and the truth shall be told
  4. msombwe

    Philip Mangula ateuliwa kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM

    can anyone help to explain this, is kind of strange! is it that the guy was too good for regional level? or the guy is too weak to handle matter at national level and may be EPA need weak people to easily control them?
  5. msombwe

    Kikwete: Lowassa ni jembe

    loading ... .... ......
  6. msombwe

    Undani wa John Mnyika na John Heche

    Nimefurahishwa na ufahamu wako ima wa kukusidia au wa kinasibu juu ya CDM kuchukua dola, maana ni kweli haitakuwa 2015 bali ni mpaka vijana kama mnyika watakapokuwa wameiva vema kuongoza watanzania. Mungu mwingi wa rehema amjalie yaliyo mema kijana huyu aendelee kuwa mwadilifu na mwenye kupenda...
  7. msombwe

    Bwana James Ole Millya awa wakili wa kujitegemea officially

    Its amazing how people could easily evolve from evils to angels! the same level of education which seemed to be low, its now great! Is that true that you just need to be close to the angels to become an angel? this guy you are praising is an opportunistic who could not get his share at CCM, he...
  8. msombwe

    Rombo wapandisha bendera ya Kenya?

    Kwa hiyo unataka kutuambia hizo ndo mbinu za chadema kudai haki? watu wa aina yako ndo mnaabisha chadema!
  9. msombwe

    R I P Mr Mbigiri Mwana CCM mkongwe

    Hiyo ndo cv yake? would you be happy if your folks are remembered that way?
  10. msombwe

    Majaji wa Tanzania hawajui kiingereza - Tundu Lissu

    Mkuu si ndo maana wanasema tufundishwe kiswahili, na dogo Tundu anaomba tutumie kiswahili hata kazini, maana hii lugha ya kikoloni imetushinda kabisa, hata hivo kuendelea kutumia kiingereza ni sawa Marekani kuweka bango la Osama ikulu liwe linawakumbusha machungu ya WTC
  11. msombwe

    Kipigo hiki kwenye udiwani ni funzo kwa siasa nyepesi

    naona wamekuwa wapole, mungu awabariki sana wabaki kuwa wenye amani na utulivu. Amen
  12. msombwe

    Kova chonde chonde

    Sijakuelewa? unalalamika au unasifia? jamaa wamekamata jeneza la pembe za tembo halafu bado unawaona wazembe kwa kuwa hawakukamata contena la pembe za tembo? so ulitakaje? au kuna sentensi imefuta kwa ujumbe wako? Mi ningedhani tumpe hongera na tumuumbe kwa wakuu wamungezee nguvu za kukamata...
  13. msombwe

    Matokeo ya Uchaguzi wa Madiwani October 28, 2012

    ukiona kimya ujue wameshindwa mkuu wangu
  14. msombwe

    MCHAKAMCHAKA 2015 kigogo leo.

    mgeni wa hesima huyu ni mtu makini sana, kimsingi nimemkubali! toka lini mtu akamsema vibaya mwenzi wake? ama mtu huyo ni chizi au hana chembe ya aibu. Mwenzi akikojoa kitandani anasingiziwa mtoto, kama hakuna mtoto basi nyumba inavuja. Mwacheni mwandani huyu amsifie mwenye nyumba wake...
  15. msombwe

    Ajabu kinachoendelea open university tanzania

    Upo anonymous bado unaogopa kutaja jina eti "Kuna jaji anasoma first degree ya sheria" halafu unalaumu kikwete hataji wala rushwa. Chezea uhai wewe? ndo ujue kutaja majina ya wala deals ni noma. Acha woga, lete jina akishika kesi zetu tujue ni kilaza tusiajiri mawakili, tujitetee wenyewe.
  16. msombwe

    Wasomi waonya chuo kikuu cha Dar-es-Salaam kutumiwa kisiasa

    ikiwa walimu wanafikiri hivo, je wanafunzi wao watakuwaje? hawa ndo professors who gets points by publishing own department journals which are reviewed by their friends, the journals only runs when a "seniors" member wants to get promotion. Professors wanakuwa wa ajabu and the journals never get...
  17. msombwe

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    sherehe ya dini ni ibada au unataka sadaka? halafu we mwalimu subiri tukate madeni yetu ya finca, pride, bayport na vicoba, then tutakuletea tu zero percent yako ufanyie sherehe.
  18. msombwe

    Mfadhili wa CCM ajiunga na CHADEMA

    mfadhili wa CCM au Malecela? jamaa si katoa barua za kuombwa msaada na Malecela?
  19. msombwe

    Watumishi wa serikali wengi ni wanafiki

    ya kweli? mbona wakigoma kudai vitendea kazi hatuwaungu mkono! walimu waligoma, madaktari pia lakini wananchi ndo kwanza tulikuwa tunarumbana wengi wetu tukiwaona wanakosea kugoma. Huko afisi za serikali hata karatasi hakuna utaacha vipi kupiga stori kweli? Afisa maliasili wilaya hana hata...
  20. msombwe

    Waislam watishia kuandamana nchi nzima siku ya Ijumaa

    Ndugu wanajamii, michango yenu katika forum hii na zinginezo yapaswa kuwa ya kujenga, kwa pamoja tuache tabia za kutoa maani ya kuogofya, kutukana au kushabikia madhara kwa wengine, ikumbukwe kuwa maoni yetu yanaweza kuwafanya watu wema wakawa wabaya au kinyume chake. Sisi tuliobarikiwa kuwa na...
Back
Top Bottom