Search results

  1. L

    Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    mmh!! Kwahiyo vyuo vyote vinavyogoma ni vya kata au? maana sijaona logic ya comment yako.. udsm juzi waligoma na arusha nako kuna chuo waligoma kwa hiyo vyote ni vya kata au? Jua mtu anapogoma anatafuta haki ndio maana kila kukicha kuna migomo..
  2. L

    Kama hajafanya mapenzi anavimba maziwa. Ni kweli?.

    Mzee wa kugegeda, upo?? Naona ndo umefunga shule, cku nyng mimi bado kukusikia humu ndan...
  3. L

    Dar: Bomu laonekana makutano ya Barabara za Morogoro na Shekilango!

    He!! Jamani mna2ogopesha wakazi wa NHC!!!
  4. L

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    Kwanza la kupaswa kujua ni kwamba, kuna watu wana mizunguko tofauti, 21, 28 na mizunguko mirefu more days than that. Natumain nikisema hvyo mnanipata, 2chukulie 28 ambayo ni ya wengi, kwa hapa wanakuambia kuwa cku ya 14 from siku ya kwanza kuona tone la kwanza ktk huo mwezi, kama mzunguko wako...
  5. L

    Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

    Kwanza la kupaswa kujua ni kwamba, kuna watu wana mizunguko tofauti, 21, 28 na mizunguko mirefu more days than that. Natumain nikisema hvyo mnanipata, 2chukulie 28 ambayo ni ya wengi, kwa hapa wanakuambia kuwa cku ya 14 from siku ya kwanza kuona tone la kwanza ktk huo mwezi, kama mzunguko wako...
  6. L

    Ajali: Basi la Hood laua mmoja na kujeruhi 27

    The issue hapa watu hamjui sehem za mbalimbali huko njiani, kwaiyo ungesikia eneo linaloitwa Chalinze mzee karibu na dodoma napo ungedai chalinze c ipo karibu na Dar? Ilo ni jina tu!
  7. L

    Picha za kutisha: Upasuaji wa mtanzania akiwa na madawa ya kulevya tumboni mwake...

    Mi mwenyewe nastaajabu wanamezaje? Maana kwanza wanasema hazitaki maj, kwaiyo mtu anameza kavu kavu? Na kwngn nlisoma kuwa wanasukumizwa kwa ******u sasa si atachanika? Hapana, kuna njia wanatumia c bure! He!!
  8. L

    Nini chanzo kikuu cha WANAWAKE/WANAUME WENYE NDOA KUTOKA NJE YA NDOA ZAO???????

    Mmh! Wanaume wanatesa vibaya!! Yan mwanamke hata ujitahd vp bado hawaridhiki, wanawaza ngono tu kila muda, ndo wanaosababisha wanawake tutafute pumziko. Na kweli ukimwi hau2achi kwa namna hii. Wanaume ni kero kero keroo wanaumiza sana wake zao!
  9. L

    sms ya mafua..!!

    Hahahaaaa! Bwenyenz bungu akuponye dugu yagu.....
  10. L

    Swali kwa madada: VIPI MKONO WA SWETA?

    Mmetumia tafsida sijui ya Rwanda? Mbona mi sielewi, mkono wa sweta mkono wa sweta. Ndo nini?
  11. L

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    AMAVUBI umeniacha hoi bin taabani eti soko kuuuubwaaaa......
  12. L

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Hahaaa! Eti umekua!!
  13. L

    naomba kuuliza

    Kama ulidu mara 1, then haujadu tena (maana kuna mtu kumbaka mtu mara kwa mara) na umekaa muda mrefu like 3-4 yrs huyo bwana anaweza kukuta kama sealed kwa sababu Uke utakua umeshrink lakini bikra hakuna.
  14. L

    Nimejikomboa namimi.

    Hahaaa! We noma Arifu, imebidi niidownload iwe Wallpaper yangu.. Kitu TACHI....
  15. L

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Hee! Ulijua yanagaiwa buree??
  16. L

    Nalazimika kumuacha mchumba wangu, 'One Night Stand' imenisababishia mimba...

    Ukweli ni kwamba Asilimia kubwa ya watoto wa kwanza wanaume wengi huwa wamebambikiwa kama huamini chunguza. Ingekua hujamueleza muhusika kuwa una mimba ningekushauri USIMUELEZE kisha ufanye juu chini ukutane na mtarajiwa kimwili. Ila kwasasa jitoe mshipa wa aibu usiangalie mahari wala ndugu...
  17. L

    Uvinza Siendi Tena

    Nimependa ulivyofanya kimsamiati hii thread yako. Ila ukome cku ingne. Hahahaaa!
  18. L

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Sipati picha ulivyokua ukidokoa nyama unavyonyata na kujificha!
Back
Top Bottom