Search results

  1. S

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Kwani mtafanyaje au w tz mlishaweza lipi zaidi ya majungu?
  2. S

    Mzimu wa Sombetini wamtafuna Godbless Lema

    Mimi ni mwana cdm kitendo cha lema sio kibaya kama ameona anafaa mwacheni ampigie situnajenga nchi moja? au?
  3. S

    Bongo fleva beat - FL STUDIO

    Vinanda havisikiki vizuri
  4. S

    Maiti Akutwa na Kete 65 za dawa za Kulevya mkoani Mbeya...

    Kama usipo pambana kuiondoa ccm utakufa tu kwa kukosa ajira na kama ukipambana nayo utakufa kwa risasi TAFAKARI MY TAKE:hayo yote yanachangiwa kwa ukosefu wa ajira thats y vigogo wengi wanatumia udhaifu wa ccm na wanawatumia vijana kudeal na unga.
  5. S

    Ni lini Raisi Kikwete alifanya kazi private sector?

    Wadau nimejiuliza hiloswali hapo juu baada ya kuona wimbi kubwa la privatization(sekta binafsi chini ya serikali yake) ninaposema sekta binafsi namaanisha makampuni binafsi au mashirika binafsi naombeni mnifahamishe zaidi kuhusu hilo swali hapo juu.
  6. S

    Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    sio kama napenda urahisi ila mi nnachotaka kama unampenda mtu just be real.
  7. S

    Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    unataka kuniambia mwanamke akikupenda anakua ----- tu kilakitu NDIYO.
  8. S

    Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    sifanyikaz m-pesa,wala maxmalipo kama ndohivyo bora nikimbie.
  9. S

    Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    rudi kwenye mada mkuu uponje ya mada coz hakuna aliyesema anataka majibu yakuambiwa hapa hizo nihisia zako mkuu.
  10. S

    Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    utachapaje lapa kirahisirahisi je kama ndo anakupima je?.
  11. S

    Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

    Habari zenu wakuu..... na baada ya salam leo nataka tujadiliane mbinu sahii za kukabiliana na vikwazo vya kinadada kama vifuatavyo 1.Niko kwenye period 2.ninaboy friend/mume/mchumba 3.Ninaumwa(malaria/tumbo/kichwa) 4.mama yangu mgonjwa 5.Niko bize 6.Nimeokoka nampenda yesu 7.wiki...
  12. S

    INASIKITISHA; CHADEMA kuzunguka na chopa kuomba mchango wa mafuta masikini

    Heri CDM inayochangiwa na maskini kuliko ccm inayo changiwa na matajiri.
  13. S

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    Yaani raisi anapokea mshahara wote huo na bado anakubali kuhongwa suti? My God.
  14. S

    TUGHE: Zitto Kabwe ashtakiwe

    Yaani raisi anapokea mshahara wote huo na anakubali kuhongwa suti? My God.
  15. S

    Islam’s role in Tanzania’s freedom struggle

    Tangazo,tangazo waislam wote kama unaipenda sana dini yako basi nenda somalia au saudiarabia maana huko ndio wenzenu bado mfumo islam umetapakaa hata kazi mtapewa cha msingi muwe waislam.
Back
Top Bottom