Cement ya elfu 14-15 umeipata wapi mkuu? Inaweza kuwa magendo hiyo. Bei aliyokutajia fundi wako ni sahihi kwa hali ya soko ya sasa.
Kuna umuhimu pia wa kujenga uhusiano mzuri na fundi ambao ndio utakuwa msingi wa uaminifu.
Huyu fundi hujamtendea haki.
Cha muhimu wewe hakikisha hujaibiwa materials, zote ziingie kwenye nyumba yako. Lakini mtu kutoka jasho na anaondoka bila kulipwa sio sahihi kabisa na Mungu aliyekupa uwezo wa kujenga hawezi kufurahi. Hao vibarua wamekukosea nini mpaka wafanye kazi bila malipo.
Hii...
Wewe umeenda kutambulishwa kama nani?
Kwenye jakii zetu mchumba hutambulishwa iwapo anataka kuoa. Kwenye kuoa kila familia wana taratibu zao ambazo unapaswa kuzitafiti na kuzizingatia.
Je, wewe lengo lako ni kuoa? Utaratibu wa kuoa kwenye familia hiyo unaufahamu? Kama unaufahamu, umeufuata...
Utaratibu uko hivi:
1. Unatakiwa kupata kampuni itakayofanya kazi ya kupima.
2. Kampuni hiyo itaenda ardhi kuangalia kwenye ramani iwapo eneo hilo limepangiwa matumizi.
3. Kutokana na majibu yatakayopatikana toka ardhi. Kampuni ya upimaji itaenda ofisi ya halmashauri kuomba kibali cha kupima...
Ukimbizi sio permanent kwenye nchi gani?
Hizi nchi ukija kama mkimbizi ukipokelewa it is just a step towards uraia.
Usichanganye residence permit na permanent residence. Residence permit can be a long stay visa. By long stay, it means the visa is longer than 90 days.
Mkimbizi ana haki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.