Search results

  1. MY LOVE

    Songea: Basi la kampuni ya Super Feo lapinduka na kuua

    Eee Mungu tusamehe watanzania.
  2. MY LOVE

    Mbunge wa Kigamboni awapa wakati mgumu Mafisadi wa mradi tata wa barabara ya Chamazi

    Tatizo si fidia, Kwanza mradi huo umejaaa wizi walisema mita90 ila kilichopimwa ni zaidi ya mita 800. Nikwamba tunakataa matumizi mabaya ya ofisi za serikali, kama mtu anataka eneo aje tufanye biashara na si kujificha nyuma ya serikali na vyeo vyao.
  3. MY LOVE

    Mbunge wa Kigamboni awapa wakati mgumu Mafisadi wa mradi tata wa barabara ya Chamazi

    Jana Mh mbunge wa jimbo la Kigamboni alipasua jipu kwa kuwaeleza wazi kwamba mradi wa barabara ya njia sita inayoanzia banana kuja chamazi hautambui, pia haukufuata taratibu na sheria. Alisema 1.Mradi huu si wakitaifa kwani haujawahi kujadiliwa bungeni wala hauna fungu katika budget ya wizara...
  4. MY LOVE

    Fomu namba 69 na 70 za uthamini wa ardhi na makazi

    Naombeni msaada kwa anayejua tofauti ya hizi fomu mbili. Je zina tumika zote kwa pamoja? na ni wakati gani wa uthamini?
  5. MY LOVE

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    hujui ulinenalo, kurasini waliyo kata rufaa ni mivinjeni, wapo wengine wa shimo la UDONGO na hawajakata hiyo rufaa. pia SHULE UNAENDA KUELIMIKA,AKILI NA ELIMU ni vitu viwili tofauti, unaweza ukawa na madegree yako ya ELIMU lakini huna AKILI na unaweza ukawa hujaenda shule huna ELIMU ila AKILI...
  6. MY LOVE

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    mimi ni muathirika wa kurasini na ninajua niongealo. Unapo mwekea mtu X nini maana yake? Watungaji wa sheria ya kusema unabidi ulipwe ndani miezi 6 ni bunge, na anayeidhinisha hela zilipwe ni bunge hilohilo. Unajua madhara ya kumwekea mtu X? Mtu huyu anakuwa hakopesheki kwa bank wala saccos...
  7. MY LOVE

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    Kwani walioahidi kuwalipa wananchi wa kigamboni toka 2006 na hawajalipwa mpaka leo ni serikali nyingine ama hii? na walioahidi kulipa wananchi wa kurasini mwaka 2011 mpaka leo hawajalipwa ni serikali nyingine ama hii? kama waliweza kuwalaghai hao na wengine iweje sisi washindwe? kwanza hela...
  8. MY LOVE

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    HATA SHETANI ANAWASHANGAA, yaani wao kila kitu au eneo zuri wanastahili wao tu, wengine aaa, kha tumechoka jamaani ka wakimbizi ktk nchi yetu wenyewe.
  9. MY LOVE

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    Yaani mita zaidi ya 2000, hizo hizo kilomita 2. Ndio maana wananchi wametaharuki. Huenda kuna wajanja wanataka hilo eneo wakapitia mgongo wa barabara WAKIJUA fika baada ya barabara kupita hilo eneo litakuwa la thamani sana. ilishawahi kutokea eneo Fulani wananchi waliambiwa wapishe mradi wa...
  10. MY LOVE

    Mradi wa barabara ya njia sita kujengwa Chamazi (ukakasi na hofu kwa wakazi)

    Tatizo sio barabara kupita, tatizo kubwa ni uhuni uliojificha nyuma ya mradi wa barabara, walisema barabara itakuwa na upana wa mita 75 mpaka 90, lakini upanawanochuku sasa ni zaidi ya mita 2000, je ilo eneo lote ni barabara tu? kwa nini wawadanganye wananchi kupitia mgongo wa barabara? nani...
  11. MY LOVE

    Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    Duh! hii kali, kweli kuna raha ukiwa kwako, hata kama ni chumba kimoja hakuna wakukugongea alfajiri ukadeki choo, kisa zamu yako lzm uamke saa 11 kabla mwenye nyumba haja amka.
  12. MY LOVE

    Msaada: Agency za wafanyakazi wa majumbani

    Sina uhakika, ila ukifika ukapata binti kuna mkataba mnajaza, wewe, binti na huyo wakala, pia anatakiwa kuwa na wadhamini wawili ambapo wewe itabidi uwajue wanapokaa ilikujiridhisha. Pia ukipata nakala ya kitambulisho chake.
  13. MY LOVE

    Msaada: Agency za wafanyakazi wa majumbani

    0713373746 huyu yupo sinza, 0718806531 huyu yupo mwananyamala. Ukipata bahati unaweza pata mzuri.
  14. MY LOVE

    Usikubali kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa 2, wahisasa viwanja vizuri, na eneo zuri kwa ujenzi

    Watu wanatofautiana uwezo, mwingine anatamani japo apate sehemu ya chumba na sebule, mwingine anataka vyumba vitatu, mwingine vyumba vitano na maghorofa, sasa wewe ambaye unaona ni kidogo kwako nunua zaidi ya kimoja upate ukubwa unaotaka, nayule ambaye anaona panamfaa atanunua kimoja, hili ni...
  15. MY LOVE

    Mabilioni ya mchina yaliyotengwa kuhamisha watu wa shimo la udongo zimeishia wapi?

    Mwaka jana mwanzoni serikali ilikuja kwa bwebwe nyingi na kufanikiwa kutulaghai wakazi wa kurasini shimo la udongo kuwa fedha zipo tayari ni uthamini tu ndio unaosubiriwa, uki amaliziklatu kila mtu anachukua chake na kuondoka, wakadai mwisho ni December, January shimo la udongo yote anatakiwa...
  16. MY LOVE

    Usikubali kukaa kwenye foleni zaidi ya masaa 2, wahisasa viwanja vizuri, na eneo zuri kwa ujenzi

    Hutajutia kabisa kuviona viwanja hivyo, vimebaki vichache tu kwa ajili yako, ni km 16 tu kutoka city center. Hakunaga foleni ya kupasua kichwa huku, maji yanapatikana kwa urahisi sana kwani hakunaga miamba migumu, hakuna milima wala mabonde kuko level ujenzi wake rahisi sana. Huta park gari...
  17. MY LOVE

    Nauza viwanja maeneo ya Vikindu

    SIO mimi, mimi nipo chamazi na vipimo nilishabadilisha
Back
Top Bottom