Search results

  1. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Lazima udeposit 5$ ili kuactivate account yako lakini haitakatwa utaikuta kwenye account yako, i mean utaitumia wakat wa kusafirisha mzigo
  2. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Kama alivyochangia mkuu ni vizuri ukatumia forward company ili kupata vitu kwa bei rahisi mimi huwa natumia planet express bei zao nzuri https://planetexpress.com/?ref=153776
  3. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Kabla ya kuongea kitu fanya utafiti kwanza mkuu.
  4. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Shipping inategemea unasafirisha kwa njia gani mm natumiaga posta huwa haizidi 40000
  5. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Mkuu Einsten mimi nikushukuru sana kwa kutoa maelezo mazuri uliyoyaongea nakuunga mkono kwa asilimia 100% shida ninayoiyona baadhi yetu tuna mawazo hasi sana nilitoa huu uzi kwa lengo la kusaidia wanajamvi lakn baadhi wamekuwa wakitoa mawazo hasi bila ya kufanya utafiti na wengi wetu tunamawazo...
  6. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Ulichokiandika si kweli bwana mdogo nimeshanunua simu mara nyingi tu ebay, ni kweli hiyo ni bei ya BID PRICE lakini naona hauelewi maana ya BID PRICE kama unaelewa maana ya BID PRICE basi nasikitika kuwa macho yako yameanza kufa ukiwa bado kijana mdogo, Angalia vizuri picha hiyo utaona kuwa hiyo...
  7. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Embu tupe mfano wa kitu ambacho ni ghali mara tatu ya huki bongo, na sisi tujue.
  8. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Siyo lazima utumie forwading company kuna agent wanaotuma vitu moja kwa moja kutoka USA na UK tena kwa bei nafuu tu, i can prove it to you, pia usidanganye umma kuwa vitu vya marekani ni ghali kuliko huku bongo sababu hata vinavyouzwa huku bongo vinatoka hukohuko majuu.
  9. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Kitu gani hiko kinachouzwa mara tatu ya bei ya bongo embu tujuze na sisi tujue.
  10. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Usijali mkuu hakuna wa kunikatisha tamaa kila mtu kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake kwaiyo siwezi kuzuia mtu kutoa mawazo.
  11. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Mkuu habari biashara ya Ebay ipo wazi na imeshajadiliwa sana humu jf unamlizaje mtu kwa mfano labda inifundishe
  12. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Hahahaha haujalewa mkuu, inawezekana. I can prove it to you.
  13. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Hahahaha karibu mkuu wapi ulipotapeliwa mkuu embu tuonyeshe.
  14. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Thank you boss! Maneno yako yananipa faraja ya kuongeza juhudi zaidi.
  15. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Huu upo real mzee si unaona mwenyewe madini hayo, hata ule uzi wa mabank ulikuwa hauna shida.
  16. fokofu

    Siri iliyojificha kwenye mtandao wa Ebay na jinsi ya kutumia Ebay kutengeneza pesa

    Hahahahahaha boss unakumbuka huu siyo kama ule mzee.
Back
Top Bottom