Search results

  1. Crocozilla

    Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

    Jackwillpower Umesema yote na ziada na ushahidi wa hali ya juu sana ila atakuja mtu na mapovu bila ushahidi ila maneno mengiiiii
  2. Crocozilla

    Maziwa ya unga ya lato hayana ubora!

    Naandika makala hii kwa masikitiko makubwa sana maana rais wetu anahaha kila siku kuhakikisha nchi yetu inakuwa ya viwanda. Akifanikiwa itasaidia kutuweka huru na hizi bidhaa dhaifu toka nje ya nchi. Mfano nimenunua maziwa ya unga ya Lato ambayo yanaonyesha yametengenezwa 2016 na kwenye kopo...
  3. Crocozilla

    Underrated musicians in Tanzania

    Kuna wanamuziki ambao wamefanya mambo makubwa sana katika fani ya muziki hapa Tanzania na pengine Africa na hata duniani. Hata hivyo hawajapata kutambulika kulingana na mchango wao sawasawa. Uzi huu una lengo la kuwatambua na kuwapa saluti yao. Naanzia hapa na wewe ongezea! Dyna Nyange Grace...
  4. Crocozilla

    Kodi ya majengo Dsm kila mmoja na tozo yake!

    Dar es salaam ndo sehemu pekee hapa Tanzania ambayo kila mtu anatozwa kodi kulingana na utashi wa afisa kodi wa TRA. Hakuna standard ya kutoza kodi ambayo inatoa usawa kwa walipaji. Si ajabu ukawa na ghorofa ya 800m mbezi au Masaki ukalipa 50,000 kama maelekezo ya bunge yaliyo na mwenzio akawa...
  5. Crocozilla

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    African Barrick Gold Limited SIYO ACACIA LIMITED!
  6. Crocozilla

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Ban2Ban Umesema vema njia pekee ya kuachana na IPTL ni kutowapatia leseni mpya full stop! Sasa mbuzi kafia machinjioni
  7. Crocozilla

    Flatbed trailers zinahitajika malipo 100%

    Ndugu wanajamvi, Natafuta flatbed trailer used ambayo ipo Dar es salaam. Maelezo ya ziada; Flatbed trailer used au mtumba Air suspension BPW axles 40 ft Super single tyre Iwe used ya Ulaya au hata za Uturuki zilizotumika nje au hapa Tanzania Iwe tayari imeshafanyiwa matengenezo au bado vyote...
  8. Crocozilla

    Mkataba wa SportPesa: Hans Pope wa Simba SC abwaga manyanga

    Nakukumbusha tu sababu za simba kukataliwa rufani yake ni kutuiwasilisha kwa muda na kulipia gharama zake. Kadi 3 zilidhibitika. Asante
  9. Crocozilla

    Wameru kusema wao si Wachaga inashangaza sana!

    Jamani nasema hivi Mmeru si Mchaga hadi Mamba anafanana na Kenge ila Mamba si Kenge!
  10. Crocozilla

    Hostel za udsm vs Ghorofa za Magomeni

    Kwanza kabisa nitangulie kusema uzi huu si wa kupingana wala kui-challenge serikali yangu bali kuibua mjadala ambao utatusaidia kusimamia vema rasilimali za taifa. Sasa naomba kuanzia hapa; Hostel za UDSM Naambiwa yapo majengo 20 kila jengo lina ghorofa 4 na gharama yake ni 10bn Ukichukua...
  11. Crocozilla

    Trela la Uturuki linahitajika

    Njoo Pm nikupe namba tuongee biashara
  12. Crocozilla

    Trela la Uturuki linahitajika

    Nahitaji trela la uturuki ambalo halijapata ajali tairi Supa singo na lisiwe limechoka sana. Malipo 100% baada ya makubaliano. Kwa yeyote ambaye yupo siriaz tuwasiliane PM.
  13. Crocozilla

    Singland CNT size M zinahitajika

    Mkuu naomba jaribu tena kutuma au mimi nakutumia yangu sasa hivi
  14. Crocozilla

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye: Nitawatembelea Clouds Media kesho kujua kilichotokea

    Kuna hadithi moja nzuri ambayo bibi wengi huwasimulia wajukuu wao...... shetani anakuja kwako akiwa mdogo kweli kweli, unamfuga chumbani kwako anaanza kukua na kuwa mkubwa sana anajaa chumbani hata kinapasuka na vingine na vingine na mwisho anapasua nyumba yako.....clouds media wamekuwa...
  15. Crocozilla

    Mwanamama kupitia Uhuru FM, adai kuzalishwa na Askofu Gwajima na kutelekezwa!

    Ameshamaliza kila kitu ibada ya leo
  16. Crocozilla

    Mwigulu Nchemba nakuamini sana, take action

    Namjua mh. Mwigulu ambaye ni waziri wa mambo ya ndani. Kwa kuwa nilisoma nae miaka 3 pale UDSM wakati huo akiwa hana hata alama ya uoga usoni naamini anaweza hasa pale askari wake wanachukuliwa kutenda ualifu sasa je Mwigulu huyu yupo nchi gani kwa sasa? Je yeye hajipendi? Naomba tuwe waungwana...
  17. Crocozilla

    VESTI (SINGLAND) ZINATAFUTWA JUMLA 12

    Kwa wauzaji wa nguo hasa singlet au VEST kwenye kola zimeandikwa CNT rangi iwe nyeupe zinahitajika size M. Nahitaji 12pcs. Niambie unapatikana wapi nakuja mwenyewe. Unaweza kunielekeza hapa hapa jukeaani au njoo Pam. Ona picha hapa chini
  18. Crocozilla

    Singland CNT size M zinahitajika

    Kama uko serious nielekeze kweli nahitaji 12 pcs
Back
Top Bottom