Search results

  1. ASIKARI

    App ya kuplay file zilizo tumwa WhatsApp

    Habar za jion wakuu, nimekuwa nikipata tabu sana katika kucheza video na audio nnazo tumiwa kupitia WhatsApp,hii inatokana na simu nnayo tumia, Iphone. Je hakuna application nayo weza ku Install ili niwe nna play nyimbo bila kuingia whatsapp katika chat niliyo tumiwa file hilo? Msaada tutani
  2. ASIKARI

    Fundi now, fundi now, fundi now

    KARIBU FUNDI NOW.COM KWA MAHITAJI YAKO MBALI MBALI FUNDINOW INA KUUNGANISHA NA MAFUNDI MBALI MBALI WAZURI WALIO PENDEKEZWA ILI KUKIDHI MAHITAJI YAKO. JE UNA HITAJI FUNDI BOMBA? FUNDI SEREMALA? FUNDI UMEME? FUNDI WA MASHINE ZA KUFUA? FUNDI WA GESI? FUNDI WA KUFUNGA NA KUREKEBISHA DISH...
  3. ASIKARI

    Deo Filikunjombe, Huko Njombe hautapitishwa na CCM

    Thithiemuuuuuuu... Mwaka wenu huu
  4. ASIKARI

    Msaada kupata fundi gesi, fundi wa vifaa vya umeme na fundi wa mashine za gym

    Habari wana Jf, naomba msaada wa hili, nna hitaji mafundi wazuri wa gesi, vifaa umeme na fundi mzuri wa mashine za gym. kwa yoyote anae mjua fundi kati ya hawa naomba anisaidie jina na namba yake hapa chini. Au anipm ita kuwa vizuri. Wana hitajika haraka
  5. ASIKARI

    Naomba kufahamu kuhusu CPSJT test

    Habari wana forum wenzangu kuna ndugu yangu ametuma maombi ya kazi sehemu na ametakiwa kutuma CPSJT test. hajui wapi anaweza kupata huduma hii na kwa ufupi tu umuhimu wa CPSJT ivo msaada una hitajika. NAWASILISHA
  6. ASIKARI

    Bunge la Katiba: Wajumbe wa CCM kuwa na kikao mchana wa leo

    Mkuuu na mimi naliona hilo Ndio maana viongozi wakuu wa ccm wana pinga sana.
  7. ASIKARI

    Waraka wa Pandu Kificho wazua kizaazaa Dodoma. Wawakilishi wa CCM Z'bar wagawanyika

    Tunataka taifa kwanza..masuala ya uchama hayana nafasi
  8. ASIKARI

    Mkakati wa ndugu lowasa kwa wanafunzi vyuoni

    Mkuuu usicho kijua usiku wa giza
  9. ASIKARI

    Mkakati wa ndugu lowasa kwa wanafunzi vyuoni

    Mkuu na mimi ndio lengo langu hilo. Wasikubali wanunuliwe...pesa kula...fanya maamuzi sahihi
  10. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Wewe bwana embu acha kupotosha.
  11. ASIKARI

    Mkakati wa ndugu lowasa kwa wanafunzi vyuoni

    Kuna mkakati umeandaliwa na kambi ya bwana edward dhidi ya wanafunzi wa elimu ya juu VYUONI. Mkakati huo ni kuandaa vikundi maalumu kwa ajiri ya kuteka kundi la wanafunzi vyuoni. Kwa vyovyotr vile hapa pesa ita tumika. My take kwa wana funzi wa vyuo, nyie ni wasomi mna tegemewa na nchi yetu...
  12. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Mkuuu unasikitisha Nini kazi ya jukwaa ka sheria?? Kuulizia kesi zilizo pita ama kuomba ushauri wa kisheria?? Hapana, nadhan lengo hapa ni kujifunza, ndio maaana kuna kuuliza swali na kutoa majibu kama upo interested. Sio lazima ujibu kama hauko interested. Google ipo, hakuna asie jua, il wakat...
  13. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Mkuu wangu ASIKARI ukweli ni kwamba mahitaji ya wanasheria katika taasisi mbali mbali ni madogo sana ukilinganisha na wingi wao unaosababishwa na wingi wa vyuo vinavyozalisha wataalamu wasekta ya sheria. Mkuu safi sana Sasa kwann wanasheria wazamani sio wakali kama wa sasa??
  14. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Basi tuambie wewe kwann taaluma ya sheria imekuwa easy kiasi hiki siku hizi?
  15. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Mkuuu umejibu vizuri sana,umetulia,ukavuta pumzi,then ukamjibu..ndio maaana ya elimu, lazima uwe tofauti na waropokaji:thumbup:
  16. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Mkuu mueleweshe tu
  17. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Mkuu nadhani vitu vinavo changia uwaone wa kawaida ni hivi 1 kuongezeka kwa wingu wa vyuo vinatoa degree ya sheria na hivo wahitimu kuwa wengi mtaaani. 2 ukosefu wa ajira naa kujuana..kunakofanya wahitimu wengi kuwa mtaani na hivo kufanya LL.B holder awe sawa na Bd.E make wapo hawana kazi. 3...
  18. ASIKARI

    Ratiba ya kuonesha bunge la katiba imebadilishwa??

    Usiwategemee hao.. Stat tv ina kutosha
  19. ASIKARI

    Kirefu na maaana ya LLB

    Duuhh ndio maaana kuna umuhimu wa mtu anae soma LLB awe na knowldge ya languange
Back
Top Bottom