Search results

  1. G

    Msaada

    huo ndio ukweli wangu sina haja ya kuficha kitu sasa kama naficha au naongopa kuna haja gani ya mimi kuomba ushauri?
  2. G

    Msaada

    Mimi ni muaminifu 100% ndio maana hata wife cm yangu yuko huru nayo siifichi wala nini nashangaa huyo binti amepataje namba kiukweli waungwana sijawahi kummega huyo binti
  3. G

    Msaada

    Naomba mchango wenu wa mawazo wanajamii kuna mdada anajirengesha kwangu ila mimi sina mpango nae sasa jana usiku katuma sms ktk simu yangu akilalamika kwamba namtesa ksababu najua ananipenda ndio maana namletea mapozi sasa kibaya zaidi wife ndio mtu wa kwanza kuiona sms ameniwashia moto...
  4. G

    Hello

    -------------------------------------------------------------------------------- kanisa katoliki laipa shavu serikali ya JK JK akiwa na Askofu Norbert Mtenga na Naibu Waziri wa Miundombinu Dk Milton Mahanga na msafara wa baba Askofu Mtenga leo Ikulu jijini Dar Na Mwandishi Maalumu...
  5. G

    Hello

    kanisa katoliki laipa shavu serikali ya JK JK akiwa na Askofu Norbert Mtenga na Naibu Waziri wa Miundombinu Dk Milton Mahanga na msafara wa baba Askofu Mtenga leo Ikulu jijini Dar Na Mwandishi Maalumu KANISA Katoliki limeishukuru Serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa ushirikiano...
  6. G

Back
Top Bottom