Search results

  1. M

    Watapambana sana ila hawata weza kwani mwenye sifa na uwezo ndiye huyu

    Kweli tulihitaji madiliko ndani ya UVCCM, Kwa uteuzi wa ndugu SIMON MATHIAS KIPALA ni zaidi mageuzi makubwa tunatarajia kuyaona UVCCM. Chama Cha Mapinduzi ni chama imara na sikivu ndiyo maana watanzania wanazidi kukiunga mkono. Jitiada kubwa za mwenyekiti wetu ndugu JPM kuzidi kukiimarisha...
  2. M

    UVCCM ilikuhitaji kabla ya uteuzi wako

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni Cha Kongwe Afrika na Dunia huwezi kukitofautisha na chama kama Communist Party of China(CPC) na African National Congress(ANC) cha Aftica Kusini. Pamoja na ukongwe kwa umri ni chama chenye historia ya kusimamia maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa. Chama Cha...
  3. M

    RIWAYA: Siku ya graduation

    So good.
  4. M

    Hadithi tamu: Hisia zangu

    Nimeumia sn, utafikili mie ndie Edo.
  5. M

    Hadithi tamu: Hisia zangu

    leo ndio j/3.
  6. M

    LISSU : Wasaliti Wajiandae kuwa Wabunge wa Mahakama

    Hiki chama cha kipuuzi kweli kila kiongozi ana mamlaka ya kufukuza kiongozi mwenzake. hiki kikundi cha wahuni sio chama
  7. M

    CCM washikana uchawi musoma

    Vicent Nyerere acha kujipa promo za kipuuzi, Wana Musoma hatukutaki.
  8. M

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Jamani nashangaa sana kuona CHADEMA kutumia nguvu nyingi kukizushia chama ACT kwa watanzania 1-Kutapatapa kwa Chadema ni dhaili sasa wanaporomoka kisiasa wanatumia nguvu kubwa kuzusha uzushi usio na maana kwa ACt. 2-Ajenda ilikuwa katiba kujisakia umaarufu kupitia UKAWA wameona wananchi...
  9. M

    Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

    Tuwe wa kwel jamani kama hujui kitu nyamanza sio kujitaftia umaarufu humu
  10. M

    KINANA azidi kuitaabisha CHADEMA

    Kifo hicho cdm
  11. M

    LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

    Katibu mkuu wa CCM A.KINANA leo amehutubia mkutano wa hadhara huku akiwaambia wananchi kuwapuuza viongozi waCDM .Umati mkubwa wahudhuria huku wakiwa na nyuso za tabasamu na imani kubwa kwa KINANA. KINANA awaambia kupuuza kauli viongozi wa CDM kwani wanaweweseka na uroho wa madaraka...
  12. M

    Gazeti la TANZANIA DAIMA halina tofauti na gazeti la KIU

    Mimi ni mkazi wa kudumu wa KILOSA sasa leo nimeona kichwa cha habari cha gazeti hili kuwa KINANA na NAPE wamezomewa RUAHA huu UZUSHI na UONGO USIO NA TIJA KWA TAIFA .Watu waliouzulia kwenye mkutano wa hadhara walikuwa wengi kupita kiasi cha kwamba haijawahi kutokea na watu waliuliza...
  13. M

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    only83..ukiona mtu anakimbilia elimu hujue ana upeo mdogo wa kutafari jambo na inaonyesha dhairi ubongo umelala jibu hoja sio elimu yako ambayo imsiidii mtu
  14. M

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    huku ni kuweweseka kwa wanasheria wa cdm wanahaha kutafuta msaada kwa wananchi.
  15. M

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    hakuna anaezimwa mdomo ndio maana leo wewe unauliza maswali yaliyojibiwa. kwa hili la ugadi nalo ningependa uliulizie swali
  16. M

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    uwezo wako wa kufikiri najua umeishie hapa ndio maana unshabikia usichokijua
  17. M

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    vijana wa cdm hacheni kufuata mkumbo tafuteni hoja za msingi
Back
Top Bottom