Search results

  1. Paroko da travellor

    Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Hivi pemba na Unguja zilungana lini? tukishamaliza kujitoa ktk muungano tutaanza kuhoji watu wa pemba na unguja waliungana lini? baada ya hapo wapemba watataka kujitenga kutoka unguja maana wanadai wananyanyaswa sana.Wakishajitoa then tutawageukia waarabu na kuwahoji lini wamekuwa waafrica,hasa...
  2. Paroko da travellor

    Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Nnani kakwambia zimeungana? hakuna nchi inayoitwa zanzibar wala hakuna nchi inayoitwa tanganyika,hapa tuna Tanzania tuu!!
  3. Paroko da travellor

    Mahakama ya Afrika Mashariki Arusha: Muendelezo wa kesi ya kuhoji uhalali wa muungano

    Tanganyika na Zanzibar hazijawahi kuwa nchi tofauti toka Dunia ianzishwe,hizi sehemu zimekuwa nchi moja toka zama hizo! tumetengenishwa na maji tuu na harakati za maisha kwa maana watu wengi wanaoishi zenjibar zamani walikuwa wanatoka tanganyika,labda useme wanataka kujitenga tuuu
  4. Paroko da travellor

    Barabara ya Kimara upana ndio huo?

    kwa hyo wewe umetembea kuanzia kimara,mbezi mpk ubungo ukitafuta kibao? au umepita na bodabpda afu unataka uone kibao mkuu
  5. Paroko da travellor

    Barabara ya Kimara upana ndio huo?

    si umesema hakuna kibao chochote kinachoonyesha upana? sasa wewe umejuaje kama itakuwa nyembamba au nene? au hujasikia kuwa ni njia nne? shenziii
  6. Paroko da travellor

    What safaricom's 1.2 Trillion profit means to Tanzanian firms.

    Hivi njaa kenya imeshaisha tayari au bado
  7. Paroko da travellor

    Watanzania tunaoishi nje ya Nchi ( Diaspora) Tukutane hapa

    Daaah umeshuka sana madini mkuu ila.me nakomaa bongo tuu hapahapa...kama vipi mkipata capital njooni muwekeze home! All the best joh..ninhoo
  8. Paroko da travellor

    Nimekuja na kitabu cha 'ulimwengu wa sheria na haki' kwa lugha ya Kiswahili

    othuman kijana unawaza nini kichwani mwako au umepeleka likizo thinking capacity yako!! Watu tunawaza namna ya kulipeleka mbele hili taifa wewe sijui unawaza nini maskini!!
  9. Paroko da travellor

    Nimekuja na kitabu cha 'ulimwengu wa sheria na haki' kwa lugha ya Kiswahili

    Habarini wandugu, baada ya kuona uhaba na uhitaji mkubwa sana wa vitabu vya sheria kwa kiswahili niliamua kujificha kwa mda ili nije na kitabu kitakachokuwa kimesheheni madini mbalimbali kuhusu sheria! Hivyo basi nmekuja na kitabu kinachoitwa ulimwengu wa sheria na haki kikiwa kimesheheni...
  10. Paroko da travellor

    Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

    Wakenya mmeanza haa haa haaa kamati teule ilikuja dar kutembelea mradi wetu kuweni na subila jifunzeni kwetu
  11. Paroko da travellor

    Hatua nilizopitia mpaka kufika Ukraine, na bado niko njiani kwenda nchi ya ahadi Norway

    Daaah moja ya vitu ambavyo sijawahi kufikiria ni hizi harakati za kuzamia aisee
  12. Paroko da travellor

    Taxman’s collection hits 12tri/- in nine months

    The issue is that we were not perfoming for years,now we are improving!
Back
Top Bottom