Search results

  1. 1000 digits

    Anachofanyiwa Makonda kwa sasa ndicho alichofanyiwa Lowassa enzi za uhai wake

    Hii Nchi na mipaka yake inahitaji Makonda Zaidi akisaidiana na polepole Kwa ajili ya kesho ya vizazi vijavyo
  2. 1000 digits

    Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

    Makonda anachonikera ni kuipigania CCM ya wahuni . Vinginevyo Makonda ni Mtu sahihi sana Kwa Nchi hii iliyojaa rasilimali nyingi na kuhujumiwa na wageni na MAWAKALA WAO. MAKONDA HATA AKIWA NA KASHFA NYAINGI BADO ANAFAA KUSIMAMIA RASILIMALI NA WATENDAJI WAHUNI WALIOJAZANA KWENYE OFISI ZA UMMA NA...
  3. 1000 digits

    Mnaona hii? Sasa endeleeni kunyonya papuchi muone kitakachowapata

    Ana maanisha hata ukibadili Kila sekundé Bado ukweli unabakia pale pale kuwa sehemu hiyo ina Acidi kali
  4. 1000 digits

    Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

    Hakuna tatizo kwa wanaCCM wenye uwezo kujitokeza kugombea na Mama Samia 2025. Mama hakugombea kile kiti. Alikipata kwa bahati nzuri tu. Sasa anatakiwa apitie mchakato wa kugombea urais kwenye nchi yenye watu milioni 61, lakini haina uwezo wa kukusanya kodi na kuendesha nchi kwa pesa za ndani...
  5. 1000 digits

    Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

    Anatufaa sana mana pakiwa na Katiba ya mfumo Wa kifalme panahitaji usimamizi na maamuzi magumu ili kujenga nidhamu. Katiba yetu haitoi nafasi Kwa wateule kuwajibishwa na MTU mwingene yeyote isipokua Rais au kufuata misingi ya Chama kushika hatamu na maelekezo ya vikao vya CCM. Kwa Hali ilivyo...
  6. 1000 digits

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Tanesco ni chaka la Wezi Wa Nchi Hii. Mvua ikinyesha wanazima mitambo ya kuzalisha umeme Wa Maji. Mvua ikipotea wanasema kuna uhaba Wa Maji hivyo wanazima umeme. Mara wanafungulia maji makusudi Ili kamati ya Bunge ikifika wawaonyeshe kuwa Maji yapo chini ya kina kinachotakiwa. Wapewe fungu la...
  7. 1000 digits

    Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

    Tanzania na Afrika inamuhita MTU aina ya Makonda. Makonda ni Joshua Wa Tanzania. Hatutaki Vibaraka Wa Wazungu na waarabu wakamilishe Lengo Lao la kuuza Nchi. Makonda ni mfano Wa Kuigwa. Hii Nchi imevamiwa na kuporwa na Wageni Kila Kona . Viwanda vya sukari zaidí ya Kumi Halafu sukari Bei Juu...
  8. 1000 digits

    Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Kukiri ni uungwana mkubwa na ni ujasiri. Hata mwinyi alikiri kuwa waliua Azimio la Arusha na kuruhusu kweka soko huria badala yake likawa Soko holela. Alisema alifanya Kwa Nia njema kama MTU anayefungua Dirisha ili hewa iingie ndani lakini mbu na nzi hutumia mwanya Huo kuingia ndani pia. Kwa...
  9. 1000 digits

    Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Nyerere usimfananushe na wahuni. Kila taifa Lina Nabii wake na mbeba maono anayeweka dirá ya Nchi. Nyerere ndiye aliyewekwa na Mungu kuweka mweleko Wa Nchi Hii. Mwisho Wa Yote Tanzania litakua Taifa kubwa sana Kutokana na misingi aliyoiweka Mwalimu. Leo WATANZANIA Karibu Wote wanamiliki ardhi...
  10. 1000 digits

    Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Unaweza ukaangalia Dau kama yeye lakini Kipindi hicho pesa zilitolewa nyingi sana kwenye Taasisi hiyo ila miradi yake mingi ilijaa Wizi mkubwa sana. Tungekua na Sheria Kali ya kuwanyonga Wezi basi Dau na watumishi Wote Wa NSSF wangekua wameshanyongwa Kwa haki kabusa. Enzi za hizo watu walikua...
  11. 1000 digits

    Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Kwa asili binadamu wote ni wahalifu. Binadamu Wote ni wabinafsi Kwa asili. Binadamu Wote wanapenda kuheshimiwa na kusifiwa au kutukuzwa . Binadamu Wote wanapenda kumiliki Mali nyingi bila kikomo. Binadamu Wote wanapenda starehe . Binadamu Wote wanapenda kuwa Juu ya wengine na kutawala wengine...
  12. 1000 digits

    Ushauri: CHADEMA, Mrudisheni Dkt. Slaa chamani kuongeza morali ya ushindi

    Kiukweli,Chadema bila MTU Kama Dr. Slaa mwenye kuuchukia ufisada kamwe hakiwezi na hakitaweza na hakitwezeshwa na wananchi kuingia madarakani Hata wakiambiwa waunde Tume ya Uchaguzi na kuusimamia Kwa katiba yoyote wanaodhani kuwa ni Bora. Kwanza Chini ya Mbowe Chadema Haina Tofauti na CCM ya...
  13. 1000 digits

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndio Maana tunatoa tahadhari. Japo pia ni kosa la jinai kuhadaa watu Ili upate fedha. Betting ni biashara mana watu wanaweka pesa zao.Na Kodi inalipwa hivyo wakitokea wahuni kuchafua biashara za watu Kwa hadaa ni kosa kisheria. Hatuwezi kuacha kuwataja wahuni wanapojaribu kuwaibia Wananchi Kwa...
  14. 1000 digits

    Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

    Ni mpango Wa MUNGU . Kwa siasa zilizopo DAB ni MTU Muhimu sana. Kuna siasa chafu za kundi la Mafisadi ambalo halifiki Hata 2% ya WATANZANIA wote kuamua kuhujumu wananchi na kuwaondoa watetezi wao. Bahati NZURI DAB ndiye mtetezi Wa wanyonge aliyebaki ndani ya CCM na Mungu amemweka Kwa makusudi...
  15. 1000 digits

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuwataje wahuni wanaotumia ujanja kuwatapeli watu kupitia mikeka . Naamza na MTU anayedanganya watu kuwa yeye ni betting master na ansunda magroup ndani ya magroup ya wenzake Ili apige watu. Anatumia Namba za Simu 0748963883. Jeshi la Polisi na TCRA wamchunguze huyu mwizi Wa kwenye mtandao. .
  16. 1000 digits

    The Guardian (UK)- UAE owns 8% of Tanzania’s forest

    Yule kimtizamo anapenda maendeleo yapatikane uarabuni kuliko huku bara kwa Watu weusi wenye vichogo. Kifupi hajawahi kuwa na mapenzi mema na watu Wa bara na Tanganyika Yao. Wale Wanaipenda Tanganyika kama nchi lakini sio Watanganyika. Huku wanaotajirika sana na wanapora wanavyotaka hakuna Wa...
  17. 1000 digits

    Vyombo vya ulinzi mmewashindwa Panya Road?

    Tanzania ni nchi inayoparaganyika Kwa Kasi sana. Sijui kama utawala na siasa hizi za CCM zikidumu miaka 10 ijayo mbele na Katiba iliyopo Hali itakuawaje. Kwa Sasa WanaCCM na watawala akiwemo Naibu waziri mkuu msimamizi Wa shughuli za Serikali anawakejeli watu wanapinga utafutaji Wa Mali Kwa...
  18. 1000 digits

    Wanaume weupe na kingeke cha kupendwa na wanawake!!

    Wanawake kihalisia hawajui wanachokitaka . Wanatamaa ya kupata kila kitu. Wengi wanasema wanapenda mwanaumerefu na mweusi. Jambo la ajabu sana ni kuwa wanawake hawapendi kuzaa Watoto weusi[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa unajiuliza Hao vijana weusi watatoka wapi Kama hawazaliwi. Mwanaume...
  19. 1000 digits

    Polisi Kuvamiwa Baa ya Boardroom Sinza ni kielelezo kingine cha ubumunda wa baadhi ya askari polisi

    Kwa hiyo tatizo SIO Katiba Tena!!! Mdude na wanasiasa wengine uchwara hawajajua tatizo la nchi hii na nchi nyingine Afrika. Hakuna ustarabu Duniani uliofikiwa Kwa kuwa na watu wasiofuata Sheria. Tanzania watu wengi ni wahalifu kuanzia juu mpaka chini. Miaka ya 1980 mpaka 2010 palikua na Wizi...
Back
Top Bottom