Search results

  1. patricia Kichao

    Kiwanja kinauzwa chanika kisarawe

    kiwanja kinauzwa chanika kisarawe, kinaukubwa wa acre moja na robo. kwa yeyote anaeitaji tafadhali tuwasiliane kwa no hizi +255784410223/+255767510223
  2. patricia Kichao

    SOFTWARE Esri Eastern Africa User Conference

    for local contact and more details please call the following numbers +255784410223 - Patricia +25578082424 - Office You can register online on this link: Esri Eastern Africa User Conference – Working GIS Solutions
  3. patricia Kichao

    NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    Necta mnakera nyie, nilishamchukia mtt wangu sana kwa kutopata high max. baada ya kujinyima na kumpelekea mission sec xul. wakampa dv 4. sasa matokeo mpaya wamempa 2. unaweza kuona ni jinsi gani walivokuwa wamenikera kisaikologia? just stupid mistake. na wadogo zake hawatosema Tanzania tena...
  4. patricia Kichao

    NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    Necta mnakera nyie, nilishamchukia mtt wangu sana kwa kutopata high max. baada ya kujinyima na kumpelekea mission sec xul. wakampa dv 4. sasa matokeo mpaya wamempa 2. unaweza kuona ni jinsi gani walivokuwa wamenikera kisaikologia? just stupid mistake. na wadogo zake hawatosema Tanzania tena...
  5. patricia Kichao

    Orijino komedi ya Masanja chali, haina mvuto tena

    Ni kweli kabisa hawana jipya tena. wajipange upya bora wale wa STAR TV. wako poa sana
  6. patricia Kichao

    WORKING PERMIT/Foreigners

    Mimi nataka nijue sheria inasemaje kuhusu makampuni kuajiri foreigners. Kama jana tumepata habari kampuni ya Sanctuary lodges (iko chini ya Abercombie & kent) kule Swala Camp manager ambaye ni Kaburu kumpiga mfanyakazi hadi kuzirai. Wafanyakazi wote wamegoma kufanya kazi. Je, serekali uwa...
  7. patricia Kichao

    Swali: Hivi itakuwaje? Chadema 2015 ikashindwa ikashinda CCM

    chama cha mafisadi hakiwezi kamwe kushinda no matter what! Yaani sina hata hamu nacho...no matter what hakitapita tena enough is enough we are fed up! Get ready to hand over the white house to dr!
  8. patricia Kichao

    Swali: Hivi itakuwaje? Chadema 2015 ikashindwa ikashinda CCM

    ALL WE NEED IS CHANGE. ENOUGH IS ENOUGH ITS HIGH TIME NOW FOR CHAMA CHA MAFISADI (ccm) TO PACK AND GO. M4C WILL TAKE OVER. OTHERWISE ITAKUWA KAMA NCHI JIRANI KWA KIBAKI. TUMECHOKA NA UOZO WAO BWANA. THIS PEOPLE ARE NOT SERIOUS. HII NCHI SASA HIVI INA WASOMI NA WANAJUA NINI KIZURI NA NN KIBAYA.
  9. patricia Kichao

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    na juzi rais wako ameotoka Oman kusighn mkataba. hahahah hapo ndio patamu. kweli ndoa ya CUF na CCM imezaa uamsho lo!
  10. patricia Kichao

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Disulfiram? inapatikana mahospital au? please nisaidieni mdogo wangu anateketea hv hv he is only 29years ila amekuwa kama kichaa hata mpaka anaharibu kazi kwa sababu ya pombe.
  11. patricia Kichao

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    hippocratessocrates maana yangu ni kwamba kama kuna tiba za asili na yy aweze kurudi kwake DAr. Dialysis Tanzania nzima ni dar peke yake so amehamia Dar na mpaka awe kwenye Dialysis ni kwamba figo zina shida zote mbili. ndio hawa sbabu yangu ya kuomba msaada kama kuna anejua tiba za kienyeji coz...
  12. patricia Kichao

    Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

    1. Kabla ya kula kwa nusu saa unywe maji gilasi moja au mbili au tatu au zaidi na baada ya nusu saa au robo saa: 2. Ule salata sahani kubwa sana sana na inaruhusiwa kula matunda na baada ya kula salata 3. Ule chakula chako kisiwe na mafuta mafuta. 4. Huruhsiwi kabisa wakati wa chakula kunywa...
  13. patricia Kichao

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    kuna dawa ya kuacha mtu hasinywe pombe au apunguze? naomba msaada wenu!
  14. patricia Kichao

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    mimi nadhani njia salama ni immediately unapomaliza kujaamiana na mwenzio, (mwanamke) anaenda kunawa vzr kabisa kwa maji baridi na kunywa walau glass moja ya maji baridi. hio ndio teh best. nimetumia hii njia for 5years sasa am safe mpaka wa leo sijaona tofauti. ni njia ilikuwa ikitumiwa na bibi...
  15. patricia Kichao

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    mama yangu anaumwa na sukari huu ni mwaka wa 8 sasa. imebidi ahamie dar sababu ya kuudhurida dialysis after every one day. jamani kuna njia mbadala zaidi ya hapo? ameacha mji wake mwanza for more than 10months now. kuna anaeweza nisaidia hapa wapendwa?
  16. patricia Kichao

    kiboko kwa ngozi na miwasho

    hii sabani inafaa hata kwa watoto wa 4 years?
  17. patricia Kichao

    Shida za ndoa ( maoni ya wanaume)

    Je kama hataki mkae mjadiliane? utakuta mwanaume wa hv kila siku hakosi sababu! hao wanaume siku hizi ni wengi sana. pole my dia Mazoea hayo. wanaume wengi siku hizi hawana mshipa wa aibu kabisa.
  18. patricia Kichao

    Top 5 ya urais 2015

    As for me, Lowassa akisema anagombea kwa tkt ya CCM ntampa kura yangu. apart from him bado sijaona. hao wengine wanaitaji kuwa chini ya mtu in order wafanye kazi vzr. zaidi ya hapo ntampa mgombea wa chadema.
  19. patricia Kichao

    Kinondoni mabomu yanarindima na helicopter juu inazunguka...

    mimi nahisi lipo jingine walikuwa wanatafuta chanzo tu hawa jamaa. kwani akikojolea hakuna quran ingine? au akikojolea ndio maadnishi yatapotea? najaribu kutafakari ingekuwa mkristo sidhani kama hata angechukulia hivo zaidi ya kumuombea na kutangaza msamaha hapo hapo! hawa wenzetu kweli...
  20. patricia Kichao

    salamu

    opps Forum!
Back
Top Bottom