Search results

  1. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibu mkeka uliochambuliwa, sporty bet. 89D90F5
  2. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama kwene mkeka wako yupo BARCELONA cashout mapema....Anakikosi kibovu sana leo, wachezaji muhimu ni majeruhi
  3. Danny Massawe

    Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Naombeni msaada? Je utt liquid fund ina gawio kwa kila mwezi kwa mwekezaji? Au ni lile ongezeko la thamani ya kipande pekee?.Na kama kuna gawio linaanza kwa mwekezaji aliwekeza kiasi gani cha fedha?
  4. Danny Massawe

    UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

    Naombeni msaada? Je utt liquid fund ina gawio kwa kila mwezi kwa mwekezaji? Au ni lile ongezeko la thamani ya kipande pekee?.Na kama kuna gawio linaanza kwa mwekezaji aliwekeza kiasi gani cha fedha?
  5. Danny Massawe

    Arusha: Mfanyabiashara afariki kwenye ajali ya gari

    rip brother, tupo nyuma yako... pole kwa familia
  6. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau,,ni mm tu sportybet haifunguki au na nyie inazingua?
  7. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni msaada nimedroo sportybet tangu juzi malipo mpaka sasa yapo pending, nifanyeje kupata hizi pesa?
  8. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sportybet, ni mm tu inasumbua au ni wote, muda mwingi app haifunguki
  9. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Helabet wanashida kubwa ya kuchelewesha malipo siwashauri muitumie.
  10. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ingawaje parimatch app yao sio nzuri sana lkn wanaoptions nyingi na nzuri tu, huko ela bet kuna ela nimeacha huko nikatest kutoa elf 3000 nayo imegoma kufika kwenye Airtel Money yangu. wakati wanajiita 22bet baadae ya hii changamoto watu waliwakimbia wote wakaamua kubadili jina na kiwa helabet...
  11. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nimetoa 230,000 jana usiku mpaka sasa sijapata. hawa ndio walewale 22bet, wananiambia ni subiri mpaka masaa 24 isipofika niandike email kwa wataalam wao. yaan napenda app yao lakini wanachelesha malipo sana. kuna kipindi hela ilikaa kwao mwezi mzima ndio nikaipata. hivyo hawafai parimatch...
  12. Danny Massawe

    Tahadhari kwa Wanaobeti 22bet

    tatizo la kudraw pesa limerudi, Watumiaji muwe makini
  13. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kanji kumpiga imataka mbinu kali sio rahisi
  14. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nimeacha kutengeneza matreni nacheza fouls timu moja moja huku nikiangalia live jioni hii tu nimetengeneza laki tano... lazma tubet kwa mbinu
  15. Danny Massawe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwa mtindo wa kukuta code yeyote na ku stake utaliwa sana, suka wakwako kwa kuangalia mikeka ya wengine unaedit unapata odds chache
Back
Top Bottom