Search results

  1. Dr. Welelo

    Yuko wapi mwimbaji Kabeya Badu?

    Kuna mmoja aliwahi kumuulizia mwimbaji maarufu wa mziki wa dansi Rahma Shalli hapa siku moja.....
  2. Dr. Welelo

    Polisi wa Kituo cha Polisi Tabata Shule wanapokiri kuzidiwa nguvu na Vibaka!

    Ukifika kutoa taarifa ya wizi unaambiwa toa ushirikiano ili usaidiwe tena cha ajabu wanawajua wezi wote wa Tabata Vingnuti hadi Kinyerezi lakini wako kwenye pay roll ya vibaka na hivyo wanataka kula kote kote kwa wezi na kwa aliyeibiwa na kujeruhiwa. Hiki kituo ni bora kifungwe tujiamulie...
  3. Dr. Welelo

    Yuko wapi mwimbaji Kabeya Badu?

    Alishakufaga kitambooooo
  4. Dr. Welelo

    Polisi wa Kituo cha Polisi Tabata Shule wanapokiri kuzidiwa nguvu na Vibaka!

    Ahsante sana Mods kwa kuiweka sawa hii taarifa naamini mamlaka inayohusika itachukua hatua zinazostahili
  5. Dr. Welelo

    Polisi wa Kituo cha Polisi Tabata Shule wanapokiri kuzidiwa nguvu na Vibaka!

    Uamuzi bado hatujachukua ila Jumatatu nitakwenda Pale wizara ya mambo ya ndani kuonana na IGP Mangu naamini kitaeleweka tu
  6. Dr. Welelo

    Polisi wa Kituo cha Polisi Tabata Shule wanapokiri kuzidiwa nguvu na Vibaka!

    Kasinde huku Tabata Kisiwani hali ni mbaya na Polisi wameonekana dhahiri hula na vibaka. Hatuwezi kuishi kwa mazoea ni ujinga kusema vibaka wameshindikana wakati wana Mapanga na Polisi wana Bunduki nasema ni ujinga
  7. Dr. Welelo

    Polisi wa Kituo cha Polisi Tabata Shule wanapokiri kuzidiwa nguvu na Vibaka!

    Naomba Mods mnisaidie kuweka paragraph kwenye hii habari maana naona JF post page hainipi ushirikiano
  8. Dr. Welelo

    Polisi wa Kituo cha Polisi Tabata Shule wanapokiri kuzidiwa nguvu na Vibaka!

    Shemeji yangu alivamiwa na vibakamaeneo ya Tabata Kisiwani bonde la mwananchi siku ya Ijumaa tarehe 4 December2015 majira ya saa kumi na mbili jioni ambapo aliporwa fedha pamoja na simu nakujeruhiwa kwa kukatwa na panga sehemu ya shavuni ambapo alishonwa nyuzi tisa. Shida tunayoipata hivi sasa...
  9. Dr. Welelo

    Wana JF mizigo.

    Nadhani hata mimi ni mzigo pia
  10. Dr. Welelo

    Hivi huku Arusha kuna wana JF?

    ahsante sana nimeshakaribia
  11. Dr. Welelo

    Hivi huku Arusha kuna wana JF?

    Usukumani hatulimi Maharage sisi tunalima Pamba
  12. Dr. Welelo

    Hivi huku Arusha kuna wana JF?

    Ahsante kwa taarifa maana huu ugeni huu unaweza kujikwa ukakosa wa kukunyanyua.' Ngoja nijaribu kuwa PM
  13. Dr. Welelo

    Hivi huku Arusha kuna wana JF?

    Niko huku jijini Arusha lakini sina uhakika kama kuna wadau wa JF, kama kuna wadau wa JF basi wajitokeze tufahamiane na kubadilishane uzoefu. Nawasilisha.
  14. Dr. Welelo

    Naomba mnipokee mwenzenu

    Nipo siku nyingi humu nikiwasoma kama mgeni, leo nimeona nijiunge na mimi nipate kuchangia mawili matatu kulingana na uzoefu wangu kwani sasa nina muda wa kutosha baada ya kumaliza majukumu yaliyokuwa yamenitinga. Naomba mnipokee tafadhalini.
Back
Top Bottom