Search results

  1. the-true-wash

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Hao siwajui kabisa!! Hapa tunaongelea FOREX. Cha msingi watu watambue hii bness... na wasiwe wavivu wa kufatilia.
  2. the-true-wash

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Ni vizuri kufanya research kabla hujaongea!! Mwenye akili timamu hawezi fananisha FOREX na tatu mzuka au Biko, Forex ni bness sio upatu!! Fanya hivi, nenda google andika "forex market" then tafuta source kwenye wikipedia "the trusted source" kama unaijua lakini maana nawasi wasi na uelewa wako...
  3. the-true-wash

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Bado nasema na nasisitiza kusema. Watanzania ni wavivu wa kusoma, ila natoa rai tu kwamba kama mtu kashindwa hata kusoma Vitabu basi aingir training ajionee mwenyewe alivyo mjinga. Training ilifumbua mengi saana na kwa pamoja tunadownload money, yaani maisha yanawezekana kwa kuwa member wa...
  4. the-true-wash

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Kwa kweli nimeamini msemo usemao "Ukitaka kumficha mwafrica weka kwenye vitabu" kama sijakosea lakini huu msemo....... Forex imewekwa kwenye vitabu na inaslogan ya #learnmorethanyoutrade# Je watanzania wangapi wapo tayari kusoma na kuelewa? Tuongee ukweli tu sisi ni wavivu wa kusoma na forex...
  5. the-true-wash

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    I had 200$ as equity i close with a profit of 115$ Now i have 315$ as equity in just a matter of hours.... TMT 4 EVER!! The Blue team [emoji1491] TMT is for everyone. Remember this trade opportunity has no competition. Leta Family yote/ ukoo woote wajifunze kupata kipata cha ziada...
  6. the-true-wash

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    I am on my way back to Arusha after the training..... Thank u Ontario, thank u Ria, Thank you Cre. Thank you members.... Nimetumia wiki hizi mbili vizuri kushiriki elimu adimu sana duniani. Let haters hate bt soon they will beg to join. Ontario count on me, i will mobilize the issue, through...
  7. the-true-wash

    Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

    We mleta MADA hii ni mmoja wa watu wasiosoma, wajinga kabisa. Hata ku google tu from trusted sources kama wikipedia huwezi???? Ungekua mfatiliaji wa mambo usingeandika hiki. Shame on you. Kaa na ujinga wako, shwain
  8. the-true-wash

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mr. ONTARIO pls anzisha group telegram maana kule hakuna limit ya members. Ni rahisi pia ku organize watu walio serious na hii issue kama mimi. Sipendi kuongea sana ila nasoma nachambua tu. Please take my advice
  9. the-true-wash

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Guys nisaidieni kitu kimoja. Nimesoma nia ya kufunzwa FOREX. Pages ni zaidi ya 200 nimeshindwa kuanzia page 1 mpaka ya sasa maana ni ndefu sana. Ninachoomba ni tarehe ya kuanza hayo mafunzo tu. Any Idea pls....
  10. the-true-wash

    Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Pole saana kwa majanga Leah 2. Ukiwa single tutafutane [emoji6][emoji6]
  11. the-true-wash

    Biashara ya daladala(hiace) Zimbabwe

    Kule ninayo moja. Kuhusu ubaguzi usiwaze. Hawana ubaguzi wale. Ukiwa na hiace drivers kibao watakuja. Weka target yako kwa siku basi mambo yanaenda.
  12. the-true-wash

    Biashara ya daladala(hiace) Zimbabwe

    Guys juzi juzi nilikua Zimbabwe napenda ku-share nanyi kwamba kule biashara hii inalipa sana. Kwa siku hiace (high/super roof) inaingiza 80$ na flat base inaingiza 60$. Changamkieni.
  13. the-true-wash

    Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania

    Kupitia magufuli, wazungu hawaoni mianya ya kuendelea kuitafuna Tanzania. Hata kujipendekeza hajipendekezi. Wanakata misaada waone atafanya nini. Ila ifike kipindi tuachane na hii misaada. Inarudisha nyuma jitihada za kujitegemea.
  14. the-true-wash

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Nataka nijihusishe na ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa kisasa hap Arusha. Eneo ninalotaka kufugia halijafikiwa na umeme. Je nitapata inayotumia solar? Au nishati nyingine yoyote nje ya umeme?
  15. the-true-wash

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    I have made up my mind. Nina kiwanja 40 by 40 maeneo ya chekereni Arusha. Nataka nifuge kuku tu, wa kienyeji na wa kisasa. Tatizo umeme haujafika. Nahitaji mtaalam wa solar pia naweza kupata incubator hapa Arusha?? Nianze project fasta. Kila jioni badala ya kwenda bar. Naenda kwenye mradi.
  16. the-true-wash

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kwa mfano ninunue boda boda 8 kwa bei ya jumla.. nifungue account say BOA bank. Kila nikipewa cash nadeposit huko.. Then cash inflow niwe nanunua boda boda moja kila mwezi. After six months si naweza kukopa na kununua boda boda nyiingi zaidi au!??? Dahh kaz kweli kweli!!! Nahitaji kutulia
  17. the-true-wash

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wadau mimi ni Mwajiriwa, Katika mambo ya urithi leo hii nimepewa mgao wangu wa 10mil cash. Nimeweka kwenye Account yangu nafikiria kitu cha kuifanyia. Kwa nyie wazoefu, nipeni ushauri kibiashara ila mkizingatia mie ni mwajiriwa. Nitashukuru kwa kila wazo chanya
  18. the-true-wash

    Mjumbe wa bunge la katiba aanguka Bungeni.

    Hivi bunge likiwa linaendelea huwa wanaruhusu watu kuwasha simu zao au??
Back
Top Bottom