Search results

  1. H

    Lowassa atakavyoibuka kidedea kwenye mdahalo

    Tufike mahali tuwe na uwezo wa kujiongeza mi nadhani uraisi ni zaidi ya kusimama na kutetea unachokiamini.. naungana na mleta hoja ya kwanini Lowassa anaeza mgaragaza mpinzani wake.. hii itakuwa inakuwa kama mazoezi ya mpira kati ya mabeki(ccm) na washambuliaji (ukawa).. mmoja atakuwa...
  2. H

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Usiendeshwe kwa hisia jimbo la karatu Chadema wanamsimamisha mtu mwingine tofauti na hisia zako..
  3. H

    Sababu mbili kubwa za Mkutano mkuu kuwarejesha Mbowe na Dr Slaa uchaguzi wa ndani 2014

    Watu wanatumia nguvu nyingi kuonyesha ujinga wao..Nilitegemea mtu kukosoa alichokileta mleta mada kama ni kweli na kama sio kweli aseme wapi si kweli..Ila nachoona ni personal attacks.. So far Uzi umetulia
  4. H

    Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

    The Legend of Hercules (2014) Nzuri saana
  5. H

    Adui yangu ni mtu yoyote anayeiunga mkono CCM

    Upo sahihi maana utakuwa unaamini katika slogan inayosema...A friend of your enemy is also your enemy...
  6. H

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Kimsingi na kwa mtazamo wangu naona wapo sahihi ila waangalie je wamefanya uamuzi sahihi ambao hauta hathiri career yao ya uigizaji..Pili je wamefanya kwa nia ya dhati au wanataka kuwafurahisha wachache kwa malengo yao binafsi..... My take..Binadamu tupo tofauti kiitikadi kwa hiyo kuna watu...
  7. H

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Wilbroad Peter Slaa
  8. H

    Dr. Slaa: Tunahitaji mwaka mmoja tu kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda

    Sasa hapa naona watu wanaongozwa na political feelings na vijichuki visivyo na msingi....kama sikosei ukisoma posti vizuri mleta mada kasema wakipewa ridhaa wataanza shughuli ya kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya viwanda na si ndani ya mwaka mmoja Tanzania Itakuwa nchi ya viwanda....Mbona kiswahili...
  9. H

    Fredy Lowssa aharibu mambo Arusha

    Mtoto wa mmbwa ni mmbwa tuu..
  10. H

    Tendwa: Hoja nyingine za vyama vya Upinzani ni za Msingi!

    Ikisoma between lines utagundua unafiki wa huyu jamaa haujapungua hata tone...kwa iyo anaposema si kila chama cha upinzani ni kibaya anarefer vyama gani?!hapo hapo kwa upande wa pili anaiaminisha jamii kuwa kuna vyama vya upinzani ambavyo ni vibaya...huyu jamaa ni majanga.
  11. H

    Tendwa: Hoja nyingine za vyama vya Upinzani ni za Msingi!

    Ikisoma between lines utagundua unafiki wa huyu jamaa haujapungua hata tone...kwa iyo anaposema si kila chama cha upinzani ni kibaya anarefer vyama gani?!hapo hapo kwa upande wa pili anaiaminisha jamii kuwa kuna vyama vya upinzani ambavyo ni vibaya...huyu jamaa ni majanga.
  12. H

    Ole Sendeka; mashambulizi ya CHADEMA kwa Kinana ni matokeo ya ziara ya Morogoro

    Kumbe bado ngonjera zinaendelea...!!This time bunge litakuwa kaole sanaa group kila mmoja anatoka n singo...
  13. H

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    Kama kawa wazee wakujitekenya na kucheka wenyewe......
  14. H

    Mwigulu, CCM hili mnalijua kweli?

    Bear in mind: If they can talk the walk are they walk the talk!?Answer here is big "NO"
  15. H

    Limevunda CHADEMA

    Hapa ndo napo gundua kuwa existance ya ccm inategemea kufa kwa chadema....let us wait and see
  16. H

    new member..

    hellow everyone..
Back
Top Bottom