I haven't tried that, thanks for the hint. It is very unfortunate that I am not an Amazon member, but with this information, I will see what to do to be a member.
I have always been interested in audio books, for I think they are instrumental in incalcating the culture of reading books. However, access to such books has always been a challenge to me. Would you be kind enough to share with us the link or mechanism that you use in accessing such audio books?
Mkuu bila sim kuwa rooted hili zoezi halikubali? Vp Samsung s6 edge + inaweza kubali bila kuwa rooted? Unaweza kutusaidia link ya moja kwa moja kama unayo?
Hapa inabidi useme udhaifu wako ulionao ila uoneshe namna ambavyo unakabiliana nao kiasi kwamba hauathiri utendaji kazi wako
Mfano kwenye kazi unayomba labda kuna siku unaweza takiwa uongee na hadhira kubwa, unaweza sema weakness yako kama hivi
"I think I am a bit shy/ ( get nervous) especially...
Changamoto kwenye lugha ya kingereza ipo kwa walimu na sio wanafunzi. Lea asilimia zaidi ya 90 walimu wetu hawaimudu lugha ya kingereza. Hivyo wakati wa kufundisha walimu wanafundisha masomo yao kwa kiswahili ilihali watoto watatahiniwa kwa kingereza. Hivyo hata kwenye huo utafiti, bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.