Search results

  1. W

    Nawatakia kila la kheri CUF, ila Prof. Lipumba rejea "Long Walk To Freedom" By Nelson Mandela

    Mkuu mcubic, ingawhakea mimi siongozwi na ITIKADI za hivi vyama ila deliveries za hivi vyama hasa kwa maendeleo ya chama na kwa wananchi, basi kuhusu plan ya succession ninaweza kusema hivi: Kwa prof naona hapa kuna kasoro kubwa kwani alitakiwa kuwa amefanya. Kwa Mwenyekiti wa CDM pia kuna...
  2. W

    Jamani tunaomba updates za ujenzi wa viwanda zikiwa pia na majibu ya maswali haya

    Mkuu matumaini ninayo kabisa! Pia nimeelewa thoughts zako ila hakuna njia nyingine. Pia kumbuka wakati wa AWUMU ya nne, watu waliokuwa wanapata mihela ya ajabu eti mnasema hayo ndiyo maendeleo! maendeleo ENDELEVU yanahitaja kuoverhaul kwanza UUOZO ili kuweka attractive atmosphere kwa wawekazaji...
  3. W

    Jamani tunaomba updates za ujenzi wa viwanda zikiwa pia na majibu ya maswali haya

    Mkuu maelezo yako yamejikita katika theories na baadhi ya principles za uchumi. Sawa Mkuu kwa kutujulisha hayo. Lakni bila kwenda mbali ninaomba niwaulize nyie wote yaani wewe KIJANA 13 na mtoa thread hii haya yafuatayo: 1. Hivi isngelikuwa fair enough kama mngeliuliza haya hasa baada ya mwaka...
  4. W

    Magufuli: Nitazikata "OC" za wizara zinazodaiwa ili kufidia madeni zinazodaiwa na Uhuru Media

    Huyu ndiye Rais tunamtaka hata baada ya 2020!!! The man of ACTION. Hongera Rais wetu, kweli unaonyesha NJIA. Wanafiki wajinyonge kama hawataki!!
  5. W

    Maandamano kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

    Mkuu kama hii ikiendelea basi hakuna haja ya kuchangia hapa! Yaani watu wanajibu tofauti na contents za issue yenyewe. Huyu Mzungu alininua hiyzo vitu kutoka SA akaingia navzo TZ na badala yake akatozwa hizo fine nk. Kama ni kweli basi nafikiri sheria zitakuwa wazi kama mtu akiingia na kitu kama...
  6. W

    Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    IFIKE MAHALI WATANZANIA TUACHE HUU UPAMBAVU PAMOJA NA UNAFIKI! Inafika mahali unashindwa kuelewa kama kuna watu wamepata ajira ya kutumia JF kwa kuwakilisha mawazo potofu ya vikundi fulani. Ni aibu KUBWA kwa sisi Watanzania ambao huu UJINGA NA UHUNI hatukuwa nao wala haukuwa katika malezi YETU...
  7. W

    MwanaKJJ Ijumaa: Kutokuonekana kwa Magufuli Toka Tetemeko, Kunatetemesha!

    Mbali na kuwa ni haki yako kutoa mawzo yako, lakini ingekuwa labda jambo la busara zaidi kama ungetumia mda huu ulioutumia kuandika haya ukaenda Kagera na kuripoti hali halisi ilivyo. SWALA la Mhs Rais kutoonekana au kuliongelea hili swala, basi kama unaona lina umuhimu zaidi kuliko hatau za...
  8. W

    Rais Magufuli awateua wahandisi kuiendesha ATCL (Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu)

    Mkuu tuko pamoja! Yaani watu nafikiri wamekuwa frustrated na kukatiwi missions zao za usanii! Inabidi tufike mahali fulani tukabali kuwa Mhs Rais anafanya kazi yake vizuri. Na ni bahati mbaya amekuta UUZO kila kona na ndiyo maana matokea mazuri ya kazi yake yatakuja kuonekana kati ya miaka 2...
  9. W

    Kaka yangu Mtatiro, usifuate njia ya waliopotea

    Mhs Juliana, mimi ninakuomba ujikite katika kuhamasisha wakina mama katika sehemu yako ili waweze kufaidika na mawazo yako ya kuwaletea maandeleo. Hivi jiulize wakina mama unaowawakilisha wakiona haya maandishi yako na kuyasoma unafikri watesema nini kuhusu wewe? Huu ni kupoteza mda na...
  10. W

    Bunge lapitisha kwa kauli moja Wabunge kuchangia maafa ya Bukoba

    Mkuu hapa hakuna mshindi ILA mshindi ni wahanga wa hili janga. Tujaribu kuacha hizi fikira mbaya. Hapa ndicho kitu tunataka. Hili Bunge linatuwakilisha sisi WOTE na wala si vyama vya kisiasa. Badirika!!!!
  11. W

    Tetesi: Wizara ya Mambo ya ndani kupitia Idara ya Uhamiaji yapiga "stop" utoaji wa Passport

    Mkuu ndiyo maana ninarudia kusema kuwa matunda ya serikali ya AWAMU YA TANO tutaanza kuyaona baada ya miaka kati ya 2 mpaka 3 hivi. Sasa hivi ni kusafisha UUZO tu na hii itachukua mda mwingi. hongera Mhs Rais kwa kuanza vizuri. ninaomba wananchi waelezwe kuwa matunda yatakuja baada ya mda kwa...
  12. W

    Kikwete hayupo madarakani Tutamsingizia mengi. Huu uzushi mpya ni kumsanifu

    Wewe kama ulikwenda shule basi ndo kati ya wale! Unataka nilinganishe nini? Kama kulikuwa na maendeleo ya kweli kwanini Mhs Rais asianzie hapo lkn imebidi aanze kusafisha site, as simple as that! mhs Rais anaona aibu kuyasema hayo ila ukweli ni huo tu. Hakuna kilchokuwa kimefanyika na kilcicho...
  13. W

    Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Mkuu mbali na kukoselewa katika baadhi ya maneno lakini ujumbe wako una maana fulani ambayo ni muhimu kwetu sisi. Labda ndugu yangu nikujulishe kuwa hizo office zinazotumika kupima hali ya hewa au matokeo kama haya ni kubabaisha tu. Hiyo uijue kabisa. Kuwa na prof kwa hapa TZ inabidi uangalie...
  14. W

    Kikwete hayupo madarakani Tutamsingizia mengi. Huu uzushi mpya ni kumsanifu

    Mkuu nilijua na wewe ni kati ya wale! Hayo maendeleo ya kivipi? Unaongea maendeleo yapi? Kama unayaongelea ya kufanya deals kwa short za kisanii basi yalikuwepo. Hayo hayatufai na afadhari yasiwepo lkn tujenge nyumba kwenye msingi ULIO IMARA. Hatutaki huu upuuzi wa deals za kisanii. At the end...
  15. W

    Kikwete hayupo madarakani Tutamsingizia mengi. Huu uzushi mpya ni kumsanifu

    Mkuu umeeleza vizuri. Ila Mkuu tujaribu kuangalia mbali na tuache emotional reactions. Wewe kama kweli umeyajua hayo, basi turudi nyumna na kujiuliza haya: 1. Kwa mtu makini alijua chini ya serikali ya awamu ya nne maendeleo ya taifa ilikuwa ni kiini macho, maana wachache walinufaika kwa short...
  16. W

    Maombelezo ya waliofariki kwa tetemeko la ardhi

    Ndugu zangu wa JF, inabidi tufike mahali fulani tuthamini maana ya kupashana habari za kutusaidia katika kuelimika kutokana na mawazo yenye weledi! Mkuu tunajua Mhs Rais amekuta nchi hii imeoza mpaka uuzo umekuwa na FANGUS, kwa hiyo kila dk ina maana kubwa ktk shughuli zake. Ndiyo sababu ya...
  17. W

    Waziri mkuu amwakilisha Rais Magufuli mkutano wa wakuu wa nchi

    Wakuu jaribu kufikiria sana kabla ya kulaumu. Hivi hamuoni mahali nchi yetu ilipo kwa sasa? Nani asiyejua kuwa ili Tanzania iweze kuanza kufanya mambo ya kuleta maendeleo ya kweli inabidi Mhs Rais ASAFISHE SITE. NA HII KAZI INABIDI YEYE AWE INVOLVED ZAIDI YA ASILIMIA 90. Kwa wale wapenda...
  18. W

    Maendeleo yatakuja baada ya kusafisha uozo

    TUKO PAMOJA. Labda kwa kuongezea, hata hao wapinzani si kwamba hawafanyi kazi zao vizuri, la hasha! Lakini inabidi kufika mahali kukubali kuwa Mhs Rais ameanza vizuri na kuwa KOSA lake liwe specified na well addressed ili walio wengi waone UKWELI. Lakini siyo kosa moja kuonyesha Mhs Rais...
  19. W

    Maendeleo yatakuja baada ya kusafisha uozo

    Mkuu basi kama ni hivyo kuna haja ya kulaani kabisa hasa serikali ya awamu ya NNE. How comes mtu anaamka asubuhi na kufunga tai na suti anafanya deal jioni anarudi na 1 mil. Hayo ndiyo wanayataka wapiga domu humu JF! Ninarudia Mhs Rais anafanya vizuri SANA na hao wanao kataa wana ajenda zao...
Back
Top Bottom