Search results

  1. mathcom

    Machangudoa wanaofanya biashara yao sinza wakamatwa

    Wanatakiwa kupatiwa support ya kisaikologia! Na kama hawana hata msingi wa biashara nyengine tofauti na hiyo basi waweze kushauriwa kujiunga na vikoba na kupatiwa mikopo ya biashara ambazo zinaruhusiwa kisheria!!
  2. mathcom

    Wanaume wengi hawafahamu ukubwa sahihi wa maumbile yao

    Vijana wangu tafuteni G-spot wala haiko mbali !!!!! Ila usipokua makini hata dakika 2 hufiki chali !!1
  3. mathcom

    Wanaume wengi hawafahamu ukubwa sahihi wa maumbile yao

    Good news kwa vijana! kwa sababu zama hizi vijana wakilala wakiamka wanawaza mambo hayo tu! Huwa hawajui kwamba huo mchezo hauhitaji kuinua vyuma kupitiliza! pia wanatakiwa wajue kila kitu ni kiasi, ukipiga sana chuma, uume unaweza ukasinyaa au ukaathiri mishipa ya kuumeni!
  4. mathcom

    Kuna mtu nimemzimikia

    Mh! naona kwa mdomo!!
  5. mathcom

    Sina bahati ya kupata mwanaume mwenye kipato, tatizo ni nini?

    Kwani ndugu yangu kunako mwanaume watafuta nini?? Kama unataka mwanaume basi huyo apatae kidogo ndie bora; kwanza wa hivyo huwa ana utulivu anajali na anakua na mda na wewe! ilimradi tu asiwe mlevi... Sasa hebu fikiria mwenye uwezo wake atakua na sifa nilizotaja! au uliza walio wapata jee...
  6. mathcom

    Mchepuko wangu unanipigisha PUNYETO hataki kunipa pale kati...!!

    Kwahiyo mchepuko utakua upo kimaslahi zaidi....
  7. mathcom

    Mchepuko wangu unanipigisha PUNYETO hataki kunipa pale kati...!!

    Ana jini mahaba, mchunguze vizuri!!
  8. mathcom

    Wapi hadhi ya wanawake na ushujaa wa kiume?

    Bora kama umeliona hilo Paprika.. Maombi na juhudi zinatakiwa Good comments, thanks!
  9. mathcom

    Wapi hadhi ya wanawake na ushujaa wa kiume?

    Habari za siku nyingi wana JF, Nimekua nje ya hadhira kwa siku nyingi hadi nimehofia kutumbukizwa katika orodha ya R.I.P. members. Baada ya salamu hizo napenda niwakilishe ninachokiona katika jamii zetu zinazo tuzunguka kwakweli hadhi ya wanawake inashuka. Hapo nyuma kidogo kwa sie ambao umri...
  10. mathcom

    Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Kama amekupenda kwa dhati basi utaishi vizuri tu wala hatakumbushia, ila ni muhimu usikurupuke, wametengana hata mwezi bado ukajifanya kidume kuziba pengo, mara nyingi wapenzi huachana kwa muda kwa hasira ilihali wanapendana! Ukimpenda wa hivi basi umfuatilie kwa muda usiopungua miezi sita...
  11. mathcom

    Hivi hii tabia ya kubambiana kwenye daladala ni wanaume tuwalaumu au na wanawake wanahusika

    Hiyo ndio faraja pekee ya mwende kasi!! vinginevyo ni joto na karaha mwanzo mwisho!!
  12. mathcom

    Mke wangu hana hobby ya kitu chochote

    Kwa kazi aliyonayo usishangae sana, na kama ni primary school basi hali inakua mbaya zaidi! unavyomuona ni mwanamke anaejiamini? na jee kiwango chake cha wivu unakionaje? hebu jibu hapa halafu tujaribu kuangalia mengine !!!!
  13. mathcom

    Mke wangu hana hobby ya kitu chochote

    mkuuu umenichekesha sana kwa kuli-quote hilo neno 'obby' ! LOL !!! hivi kwanini wanaume wanaandika vibaya namna hii kama wanavyo andika wake zao !!!!
  14. mathcom

    Ukiondoa Uzinzi, Tabia gani au kitu gani kingine ambacho hupendi mke/mumeo akifanye?

    sasa mkuu hili utaliepukaje mkishakua pamoja! au unaongelea hatua za kutafutana...
  15. mathcom

    Jamani wadada wenzangu tusaidiane mawazo hii mijanaume inayopenda kula pesa zetu na zao kuwa wakavu

    Yaani akipanga outing lazima awe amejiweka vizuri, vinginevyo inabidi akwambie mapema kwamba utaratibu utakua upi, siwezi nikatoka na mwanamke hata kama ni milionea halafu nikamuachia alipe labda aniombe sana kufanya hivyo !!
  16. mathcom

    Jamani wadada wenzangu tusaidiane mawazo hii mijanaume inayopenda kula pesa zetu na zao kuwa wakavu

    Hivi inawezekana kweli utoke nae uende sehemu achague vitu halafu ulipe wewe iishie hapo tu!! lazima kuna namna na yeye anaifida hela yako uliyoitoa!!!!!!
  17. mathcom

    Kuluman alainaha,ni ujumbe unaotoka ndani ya Office kuu ya CCM

    Hiyo si "kuluman alainaha" bali ni "KULLU MAN ALAYHAA FAAN, WAYABKAA WAJHU RABBIKA DHULJALAALI WAL-IKRAAMI" (Kuran, 55:26-27). Tafsiri: "Kila kilichopo juu ya ardhi kitapotea, Na atabakia Mwenyewe Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu". Bilashaka ujumbe huu unamuhusu kila mtu haijalishi...
  18. mathcom

    Wapendwa wanawake, muwe makini sana na madaktari wa magonjwa ya wanawake

    Yaani nyama yangu imeshachunguliwa mpaka basi! siku moja doctor alitoka huko kachanganyikiwa, kufika pale nje ninapomsubiri mke wangu akaniamkia shkamoo mzee! nikashangaa kweli! nikamuuliza wife kulikoni, akasema aah!! doctor huyu hata simuelewi eti ananiambia mme wangu kafaidi huku akirudia...
  19. mathcom

    Watoto wa Wanasiasa na wakubwa wanavyobebwa na Bodi ya Mikopo

    Nikweli kiasi fulani! yaani wale wenye uwezo wa kusomesha watoto wao ndio wanapewa mkopo wasiojiweza wanazidi kudidimia!!
  20. mathcom

    Kweli nimeamini ma "sugar mamy" wapo! Loh!

    Kama ilivyo kwa wanaume sikuzote hupenda kutoka na wasichana na hujiona fahari kwa hilo, basi na kwa wamama ni hivyo hivyo, tofauti tu ni kwamba mmama yeye hufaidi zaidi kwa sababu amepata kijana ambae bado ana nguvu, ila kwa upande wa wazee wa kiume wao huishia kuumwa na nyoga na miguu tu baada...
Back
Top Bottom