Search results

  1. mayonise

    Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

    Duuuh basi sawa,ila ungetuambia hayo maandiko yanayosema hivo,maana mwazo 5:1-2 inaeleza kuhusu siku alipoumbwa mtu yaani ADAMU,Mwanamme na mwanamke waliumbwa cku moja akawaita jina lao adamu.kumbe hapa mwanzo 1:26-27 waliitwa ADAMU
  2. mayonise

    Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

    MTI wa mema na mabaya ni lugha ya uandishi ulikuwa unawakilisha UHURU WA KIMAADILI NA KUJITAWALA.Mungu aliuandaa huo mti kama wigo wa mpaka,kama njia ya kuonyesha tofauti kati ya mema na mabaya,kwa maneno mengine tunasema,uchaguzi wa Adam na Hawa haukuwa kati ya kutokujua mema na mabaya bali...
  3. mayonise

    Kauli ya Mufti juu ya katiba mpya

    Hiyo katiba wanayotakiwa kuisoma iko wapi?maana kila kata wanapeleka nakala 3000,sasa je kata moja ina watu 3000 tu?si kila mtu atapata hii katiba pendekezwa
  4. mayonise

    Oscar Saadani amuokoa mtoto toka kwenye mateso

    Unasema ni mama mzazi?hii ni hatari
  5. mayonise

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    Nmesikitikasana makonda kuoewa wilaya ya kinondoni,wilaya yenye mikikimikiki mingi mno hasa ya ardhi ukilinganisha na kichwa cha huyu DC wetu,mimi nasema kama hujabahatika kupewa uongozi katika utawala wa JK basi wewe hutapewa tena milele
  6. mayonise

    Ang'atwa na nyoka akizini na mke wa mtu

    The wages of sin is death.
  7. mayonise

    Jifunze kuheshimu kila mtu

    Hivi hapo ni barabara au ni sehem ya biashara?
  8. mayonise

    Jaji Augostino Ramadhani awakatalia CCM kugombea urais

    Hawawezi kuthubutu hata kidgo cz wanajua jinsi walivyomtukana
  9. mayonise

    Mbona walikuwa kimya kwenye suala la Mahakama ya Kadhi

    Hata hapo👆umechangia
  10. mayonise

    German President Arrives in Tanzania For Five-day State Visit

    Amefuata nchi yenye maziwa na asali
  11. mayonise

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Hekima ya Mungu toka juu ikawaongoze kusiwe na mtafaruko wowote MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
  12. mayonise

    Soda tunazokunywa majanga

    Hiyo ni take away right?
  13. mayonise

    Foleni Makongo

    Kuna foleni ndefu sana hapa Makongo mpaka bondeni pale sijui inatokana na nini,kwa sababu imefika mahali trafik wameruhusu magari yanayotoka Tegeta kupita barabara tatu, wale waliopita hapo muda huuwatakuwa wameshuhudia.
  14. mayonise

    Kwanini katika picha utaonaa shetani mweusi na malaika mweupe?

    SHEtani ufalme wake ni wa gizani na Mungu ufalme wake ni wa nuru,,so kule kuoneshwa kwamba ni mweusi sign tu kwamba yeye si wa nuru
  15. mayonise

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Kumbe Mwinyi alishakuwa raisi Zanzibar Nilikuwa cjui
  16. mayonise

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Kumbe inaruhusiwa kuwa raisi huku na kule?
  17. mayonise

    Nani atapigiwa mizinga Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar?

    Shein lazima apigiwe tu
  18. mayonise

    Nimeota ndoto Rais atawatetea watuhumiwa

    Umeikosea nchi adam wewe
Back
Top Bottom