Search results

  1. N

    Precision Air (Dsm Dodoma)

    Kwa muda mliotumia inaonyesha kulikuwa na shida. Safari kati ya Dom - Dar kwa ndege hiyo hardly ni saa moja. Mimi leo nimesafiri na ATC Bombadier tumetoka saa 4.35 na tumefika dom saa 5.20 asbh means tumetumia dakika 45 kuruka hadi kutua. Wakati mwingine tulitumia dk 40. Kulikuwa na hali ya...
  2. N

    Msaada tafadhali

    Jamani hakuna wakunisaidia katika hili wakuu
  3. N

    Msaada tafadhali

    Naomba msaada tafadhali, nimeagiza gari toka Japan. Ni ya mwaka 1999 cc 2000. Total cost hadi hapa ni dola 2960. Naomba kwa anayefahamu, ushuru utafikia kiasi gani. Nimeangalia website ya TRA, lakini hesabu zimenipiga chenga. Naomba msaada nijiandae maana gari inafika next week. Nawasilisha...
  4. N

    Mishahara ya marais duniani

    Rais wa Iran ni noma maana mshahara wake kwa mwezi ni sawa na wa dereva pale TRA. Nimemzidi hata ninaomlipa kijana niliyemwajiri ofisini kwangu.
  5. N

    Bweni la Shule ya Wazo Hill Secondary lawaka Moto.

    Asante kwa taarifa, watoto waliopanic wanatakiwa kupewa uangalizi maalum, kwani binadamu tumeumbwa na mioyo tofauti katika stahimili shock mbalimbali.
  6. N

    Shikamoo Pesa Pub-Sinza YAFUNGWA!

    iko maeneo gani huko sinza ili tuhakikishe kinachosemwsa na mleta mada ni kweli au la, mwenye ufahamu tafadhali.
  7. N

    NBC sawa na TBC; ni vichekesho vitupu, Tawi la Ubungo hakuna huduma siku ya 3

    suluhisho ni kuhama hiyo benki ingawa nyingi zinafanana kwa huduma chache zina afadhali.
  8. N

    Polisi wa usalama barabarani wakitekeleza hili tutafika

    Huwa sitanui/kupita pembeni, lakini pia huwa simpi nafasi aliyetanua kuchomeka mbele yangu, ni tabia mbaya kwa madereva wengi wa dar. Kama una haraka kwa nini usiamke mapema au kuanza safari ya uelekeako mapema iwapo ni mchana.
  9. N

    Mtuhumiwa mauaji ya padre Mushi hana hatia

    Kwa ufahamu wangu, majalada yote yanayohusu kesi za mauaji bara na visiwani ni lazima yapite katika ofisi za dpp ambaye anasoma ushahidi uliokusanywa ili kujiridhisha kama unatosha kufungua mashtaka au la hivyo basi watuhumiwa wengi kabla ya tukio hili walishawahi achiliwa kwa utaratibu huu...
  10. N

    Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu

    We baibe arusha, umeyajulia wapi yote haya jamani mbona nafahamu kuwa RK alikuwa ni gf ya marehemu toka chuo miaka ya 1997 hivi.
  11. N

    UDSM hall 2 na 5 zenye ghorofa 11 hazina muda mrefu zitadondoka

    Nilimaliza mwaka 2000, niliishi hall 2 1997, wakati huo yalishaanza kudondosha sehemu ya zege iliyotumika kujenga, hali ilikuwa inatisha nafikiri sasa hivi itakuwa mbaya zaidi, kuna umuhimu mkubwa wa kuyafanyia tathimini ya kina kama yanafaa kuendelea kutumiwa kama makazi hasa tukizingatia kuwa...
  12. N

    Chonde chonde ulevi !!!? Nomaaaaaaaa!!!

    Wampe limau na kusugua kwenye nyayo itamsaidia asije rudisha namba
  13. N

    Barabara ya kwenda Moshi Haipitiki!

    Duh, poleni sana, vipi imefunguka au bado? Ina nikumbusha last year nilifika mbeya saa 11 arfajiri baada ya kukwama iringa toka saa saba mchana kufuatia lori kufunga barabara inayotengenezwa na mvua kunyesha.
  14. N

    Nijulisheni kuhusu fedha zangu benki

    Haiwezekani, ingawa hukutaja benki yako, lakini makato ya mwezi kwa savings account haiwezi zidi elfu kwa mwezi, hata ukiunganisha na makato ya ATM pia hazifiki kiasi hicho, hivyo nenda upeleke malalamiko yako ki maandishi kwenye uongozi wa tawi lako, kama hawatakusaidia tawini na uko dar...
  15. N

    Parking at NHC House Samora avenue

    Yaani hawa jamaa wa NHC kwenye hili jengo wamefeli,huwezi kuwa na jengo la ghorofa zaidi ya 10 halafu parking hazizidi hamsini,aliye design nae bure kabisa.
  16. N

    Tweet ya CCM yenye Kingereza Kibovu iliyogeuka Kichekesho Kenya!

    Unajua kiingereza au? kama hujui huwezi kuona kosa, issue sio chama hapa ila ni lugha ya watu ilivyo banangwa.
  17. N

    Process za kusafirisha pistol (bastola) toka Marekani kuja Tanzania

    Safari njema, wape hi bush na obama ukiwaona huko.
  18. N

    Maeneo/Mitaa gani mizuri kuishi hapa Dar?

    Njoo huko kwetu keko ni poowa kuliko konga bana watu penda...... kama yao.
  19. N

    Matapeli wa kimtandao

    Duh, hivi kuna watu wameshaingia kwenye hii kitu? ina hitaji akili za kichekechea ili uibiwe na hawa jamaa.
Back
Top Bottom