Search results

  1. T

    Foleni Dar Es Salaam Changamoto

    Kipande Cha Daraja la Nyerere ukitokea Kigamboni Mpaka Ubungo usiku ni shida na tatizo kubwa kwenye msongamano wa magari. Na hakuna jitihada yoyote ya kidharura kuondoa tatizo. Kipande Cha Mlimani City Usiku kuelekea Mwenge Mataa napo shughuli pevu. Hakuna Cha maana zaidi ya Traffic kushindwa...
  2. T

    CCM mlikosea, kubalini tuanze Upya

    Na hapo ndipo suala la Katiba mpya linapokuja, ili hayo Mamlaka yawekwe sawa.
  3. T

    CCM mlikosea, kubalini tuanze Upya

    Hakika, warudi nyuma wajitafakari.
  4. T

    CCM mlikosea, kubalini tuanze Upya

    Juzi Gesi imepanda, ghafla wamejishtukia, wamepunguza.
  5. T

    CCM mlikosea, kubalini tuanze Upya

    Wao waliamini katika kanuni ya "ceteris peribus" kwamba kila kitu kitabaki kama kilivyo (e everything remain constant) yaani watu hawataachana na miamala baada ya kuweka makato maradufu, kwamba watakusanya fedha nyingi kisha watazipeleka huko vijijini walikokusudia. LAKINI matokeo yake...
  6. T

    CCM mlikosea, kubalini tuanze Upya

    Kuna mambo ambayo Serikali na Bunge ambavyo kwa asilimia kubwa kumejaa wanachama wa CCM, yalikosewa na sio mbaya kukubali, kuomba Radhi na kuanza upya. Mfano: 1. Kupitisha sheria ya tozo kubwa za miamala ya simu kwa kisingizio cha makusanyo Bila kufikiria kwamba wengi wataachana na miamala na...
  7. T

    Wasafi Media Group Ltd na Wasafi Ltd ni kampuni tofauti

    Kuna chawa huko instagram wanavuruga raia
  8. T

    Wasafi Media Group Ltd na Wasafi Ltd ni kampuni tofauti

    Wasafi Media Group Ltd ndio wamiliki wa Wasafi Radio na Wasafi TV na mmiliki mkuu wa hisa (majority shareholder) ni familia ya Kusaga. LAKINI, Wasafi Limited inamiliki wasanii wa muziki Vanny, Lava Lava na Mbosso na wamiliki wakuu wa hisa ni Diamond na Bi Sandra, kama geresha tu, na nyuma ya...
  9. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    Hivi umesoma na kuelewa kweli original thread au unahemka mkuu?
  10. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    Halafu inaonekana haujaelewa vizuri topic. Ni Wajibu wa VP kumpa updates Rais kwa kazi zote anazotumwa na Rais na anazopaswa kufanya kwa mujibu wa Katiba. Anatakiwa ampe Rais na yeye Rais ikimpendeza atatuhutubia sisi. Matamko yoyote ya VP yasiyozingatia Chain of Command hayapaswi kutamkwa kabisa.
  11. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    Sijaongelea Organization Chart, huo ni mchango wa mtu mwingine. Umechanganya mafaili.
  12. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    "Atamsaidia Rais kufuatilia Utekelezaji wa Siku hata Siku na hata Mambo ya Muungano " Vyema kabisa, unapomsaidia Mkuu wako wa Kazi, unatakiwa umpe ripoti. Yeye ndio ataiwasilisha kwa Waliomuajiri, ambapo kwa Rais, Waajiri wake ni sisi wananchi. Hivyo VP akitumwa kazi na Rais, anatakiwa ampe...
  13. T

  14. T

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Maumivu by Washkaji.
  15. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    Acha Mikwara Mbuzi Jombaaa
  16. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    mi mwananchi wa kawaida tu
  17. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    Katiba Mkuu, Katiba. Hayo Mamlaka Mahsusi yako wapi nje ya Yale ya Muungano na Mazingira?
  18. T

    Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

    Hakuna anayejua Kila kitu. Ndio maana tunakosoana. Hapa VP kakosea.
Back
Top Bottom