Ni kisiwa kizuri sana.nilibahatika kuishi na kufanya kazi kama Mwalimu pale sekondari ya Nansio.nakumbuka mitaa kadhaa kama Nkilizya, Council, Uwanja wa Mongella, Ukuta mmoja, Monarchy beach, Solo mjinga n.k.Siku moja nitarudi tens kutembea Ukerewe.
Uraia pacha hautakataliwa kila siku. Wakati umefika kufanya maamuzi sahihi kulingana na mabadiliko ya siasa, uchumi na kijamii zinazotamalaki ulimwenguni kwa sasa.
Kiukweli madeni yanatesa mno, ila hatuna budi kukubali hii hali inapotokea na kujipanga upya.Jambo la muhimu ni kuwaeleza wanaokudai sababu za kuchelewesha kuwalipa na mkakati wa kurejesha pesa.Kikubwa kuzidi kumuomba Mungu kwa kufanya ibada sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.