Search results

  1. lalawa

    askari usalama auwawa zanzibar

    u cant be serious papason! we huna dogo huko majeshin au hata mjombako, dah sio mzuri kwa jamaa kumalizia hasira zao kwa askari. ninaye ngugu yangu zanzibar ananiambia mabomu yanapigwa kwa wingi jamani tuwaombee wenzetu Mungu awaepushie ingawa pia nasikia mitaa ya magomeni pia ishu ilikuwa...
  2. lalawa

    Hawa ni Akina nani? na Wanapata wapi mawasiliano yetu

    Dumelang angalia bana, hawa jamaa hawajaanza leo kutapeli kuna watu wengi washalizwa hapa bongo kuna walileta visa hivyo humu na wengine walisimulia magazetini mkuu kuwa makini kwa kila jambo unalopaswa kufanya chini ya jua. majina yako ni rahisi tu kupata siku hizi mambo ya teknolojia kama...
  3. lalawa

    Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

    jamani wakuu zangu kwa jambo hili la kutoweka kwa shehe farid ki ukweli humu mjengoni tulijadili kwa makini kwanza kwa nini uamsho wamejificha ndani ya uislamu na wanakuja na mambo ya siasa? angalia madai yao? mwisho tusipuuze AL -SALAM kwani jamaa alikwenda na dereva said, aliachana naye...
Back
Top Bottom