Mkuu nina nyumba yangu eneo la Mkata mkoani Tanga, je kwa makadirio yenu mnaweza kuchimba umbali gani kupata maji?
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
Nakuunga mkono mkuu ila kwenye ushauri uliutoa ningeongezea bidhaa za vyakula ambavyo ni muhimu kama unga, mchele, maharage nk, visiwe na VAT
Sent from my SM-G960F using JamiiForums mobile app
"Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf.mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia...
Mkuu nao kule kwa Trend ya utabiri wa Nyani Ngabu kuhusu lidubwashwa umekula kona imekuja huku kusema yale maneno yako ya chuki dhidi ya Mwana wa Adam mwenzio
Hivi huyu mtoto ambaye kwa kumuongezea masaa mawili kila siku ya masomo hamuoni kama mtauchosha ubongo wake badala ya kumsaidia? Pili yale mapumziko yaliyowekwa katkati ya term ya masomo yana maana kubwa kwa mtoto kuweza kujenga ubongo wake ili uweze kuelewa masomo yake vyema kwa hiyo nafikiri...
Kwa Ulaya hapana, Gari zinazoheshimiwa sana na kutumika in za Ulaya kuliko za kijapani nikiwa na maana Gari za Jamii ya Toyota hawaziamini kama Gari zao. Ambazo ni Ford, Citron, Renault, Bmw, Mercedes, Audi ,Volkswagen Volvo, na Jamii za Gari nyingine made in Europe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.