Search results

  1. Chibolo

    Shikamoo "Muajemi"; Umeguswa, Umenuka!

    Kama kweli walitungua 99% ya projectiles ni muda sasa wa Israhell kuitwanga iran
  2. Chibolo

    Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Katika hili la israel kulialia na kuomba kusaidiwa imetia aibu sana
  3. Chibolo

    Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

    Nchi zote za Nato zilikuwa zinapambana na drone za Iran lakini una targrts zilizopenya,hata hivyo nasubili majibu ya israel dhidi ya Iran
  4. Chibolo

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Naona drone zote zimetunguliwa
  5. Chibolo

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Zimeanza kutua tayari
  6. Chibolo

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Huu mtanange ndio nilikuwa nausbili kwa hamu leo sibanduki al jzeera
  7. Chibolo

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Kimenuka tayari huko tel viv
  8. Chibolo

    Je Makonda kapata au kapatikana?

    Apelekwe kwenye kamati harak
  9. Chibolo

    Meli ya Israel yatekwa uchochoro wa bahari ya Hormuz

    Kwa hiyo meli ikikamatwa inakuaje baadae au ndio inachukuliwa moja kwa moja na irani
  10. Chibolo

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Leo alikua amechafukwa atar!! Jumatatu kutachimbikaaaa
  11. Chibolo

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Wanajeshi watatu ni wengi sana jamani huu msiba ni mkubwa
  12. Chibolo

    Mkurugenzi Catherine Mashala alitumbuliwa kwa kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 1.245,989,000?

    Mayala alimaarufu njaa kama hakulamba uteuzi wa nafasi ya makonda ndo basi tena!!
  13. Chibolo

    Syria kunaendelea kuwaka moto, milipuko kote

    Mbona urusi ilienda kuwalinda lakini kila siku wanabutuliwa,ziko wapi S400 zilizopelekwa siria kwa mbwenbwe
  14. Chibolo

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Iran ni makelele tu hana uwezo wa kulipiza kisasi
  15. Chibolo

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Iran hawezi jibu ataufyata tu
Back
Top Bottom