Search results

  1. N

    Which is better: Single or Unhappily Married?

    Despite all the problems facing the married couples i wouldnt advise one to remain single. The positive effects of marriage outweigh the negative ones. The fact ni kwamba unapokuwa single, u happen to be so free na mara nyingi too much of freedom is harmful. Remaining single will make you happy...
  2. N

    kufuli imegeuzwa

    Yote yanawezekana. Inawezekana kamegewa na pia huenda imetokea tu bahati mbaya wkt wa kuvaa. Wkt mwingine c rahisi kihivyo kuona mtu wkt anavaa hadi uwe kwenye nafasi ya ku-judge baadae kwamba alipotoka alikuwa ameivaa vizuri ila wkt wa kurudi ikawa imebadilishwa. At times we should be positive...
  3. N

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Congrats Mwanakijiji. Ulichokisema ni ukweli mtupu ila kuna wakati kulikuwa na kesi pale BOT ya watoto wa vigogo ambao walikuwa wame-forge vyeti na kupatiwa nafas za juu kuliko elimu zao....sina kumbukumbu nzuri ile kesi imeishia wapi... Nadhan baadhi ya maofis kuna haya matatizo
  4. N

    Tunaenda Misibani kuomboleza au kutega watu.

    Nadhani ni vizuri pia watu wakaweza kusoma alama za nyakati. Namaanisha kwamba kila sehemu inakuwa na mavazi ambayo yanaendana nayo. Otherwise utaonekana kituko sehemu ambayo hukutegemewa kuvalia hivyo...
Back
Top Bottom