Search results

  1. Ntaramuka

    GOli 5 - 0

    Sijacheka!
  2. Ntaramuka

    Wagombea wa Urais 2015...

    Hawa wakipitishwa na vyama vyao, siendi kupiga kura. Wote ni majembe, yeyote anafaa kuwa rais!
  3. Ntaramuka

    Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

    Huyu waziri alikuwa amealikwa hapo? Aluta continua
  4. Ntaramuka

    Wha does 'More or less' mean?

    I need to know the meaning of this phrase and how it is used!
  5. Ntaramuka

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Naweza kukubaliana na wewe ndugu! Katika hali ya kawaida, uchochezi huu hauvumiliki.
  6. Ntaramuka

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Leo 9/9/2012, radio imaan, kama ilivyo kawaida yake, inaendesha mjadala ambao kwa ujumla wake unaeleza kuwa serikali ya Tanzania kila kitu kinaendeshwa kikristo kwamba waislam wanateswa, tengwa na kunyanyaswa. Pia, wachangia mada,ambao ni mashekh, wanawahamasisha waislam wapigane kudai haki...
  7. Ntaramuka

    Uanachama Simba SC!

    Nimekuwa mpenzi na shabiki muda mrefu sana sasa nataka niwe mwanachama. Natakiwa kufanyaje?
  8. Ntaramuka

    FikraPevu: Polisi aliyefyatua bomu lililoua mwandishi akamatwa, kushitakiwa kwa mauaji

    Uko sahihi ndugu lakini huyu askari aliyelipua bomu lazima awe wa kwanza kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwani yeye hasa ndiye aliyefanya hilo kosa. Sasa yeye ataieleza mahakama kama alifanya vile kwa maelekezo ya bosi wake, RPC. Then RPC atakamatwa na kufikishwa mahakamani, ikithibitika huwa...
  9. Ntaramuka

    Waandishi Kugomea Habari Za Kipolisi; Naomba Nichangie Haya...

    Asante sana! Hoja kubwa anayosimamia ndugu Mjengwa ni kuwa 'HABARI ZA KIPOLISI ZINAIHUSU JAMII'!
  10. Ntaramuka

    Waandishi Kugomea Habari Za Kipolisi; Naomba Nichangie Haya...

    Mwenyekiti mtendaji wa mjengwablog ndugu Maggid Mjengwa amesema ataendelea kuandika habari zinazolihusu jeshi la polisi nchini licha ya wanahabari kuazimia kutoandika habari za jeshi hili ikiwa ni hatua ya kuonyesha kutoridhishwa kwao na tabia ya polisi kuua raia wasio na hatia na hususani tukio...
  11. Ntaramuka

    Kwa utaratibu huu TFF mnaua soka la Tanzania

    Ubabaishaji mkubwa ndani ya TFF ambao wanadhamana kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania utaangamiza soka letu. Wakati dirisha la usajili lilipofungwa, TFF waliongeza muda wa usajili kitu kilichoonesha nia yao ya kuvibeba baadhi ya vilabu ili vikamilishe usajili wao na huu ndo ukweli...
  12. Ntaramuka

    Full Text: Hotuba ya Rais ya mwisho wa mwezi Agosti 2012

    Sijasikiliza hotuba lakini sidhani kama JK alimaanisha Tanzania haina uwezo wa kupigana na Malawi.
  13. Ntaramuka

    Nikanyonyesha mtoto ambaye simuoni katika uso usiku wa manane.

    Pole sana, mpokee Yesu utakuwa huru!
  14. Ntaramuka

    Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

    Watz tunapenda ushabiki wa kipuuzi sana. Kuna vijembe gani kwenye hili alilosema Lowassa? Jadili hoja, siyo mtu!
  15. Ntaramuka

    TFF inaitaji mapinduzi ya kumwaga damu

    Sasa ndugu kwa hili unalalamikia nini TFF? Kama kweli Simba tumewasajili Ngassa na Okwi, kihalali, sisi tunaweweseka na nini? Acha yanga waongee na hao wachezaji, siku ya siku watakuja kuongea na uongozi wa Simba ili wawasajili. Simba tutaamua au kukubali ama kukataa, wachezaji wakilazimisha...
  16. Ntaramuka

    TFF inaitaji mapinduzi ya kumwaga damu

    Wapenzi wa Simba wenzangu, mimi nina mawazo tofauti; UONGOZI WA SIMBA UNATUTANIA, haiingii akilini mchezaji AMESAINI MKATABA SIMBA, KABLA MKATABA HAUJAISHA ANASAINI TIMU NYINGINE na anarudisha hela, uongozi wa simba as if hawajui sheria za mikataba wanachukua hizo bila kufuata utaratibu maalum...
  17. Ntaramuka

    Tumfanyie nini mh. MBOWE kutambua mchango wake katika kukuza demokrasia nchini?

    Kwa dhati kabisa, huwezi kuongelea watu ambao wamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza na kuimarisha demokrasia bila kumtaja mh Mbowe na viongozi wengine wa Chadema. Tangu Mbowe amekuwa kiongozi wa chadema amefanya mambo makubwa sana ndani na nje ya chama. Kwanza, amekiimarisha chama na leo...
  18. Ntaramuka

    Dhana duni ya 'Mfumo Kristo'

    Kwanza labda ningekuomba ueleze maana ya mfumo kristo ili tukusaidie vizuri. Lakini Tanzania haina dini wala serikali yake haiendeshwi kwa mfumo wa dini. Kama Tanzania ingeendeshwa kwa mfumo kristo bila shaka leo tungekuwa mbali sana kimaendeleo. Mfn, wakati wakristo nchi wanahaha kupeleka...
  19. Ntaramuka

    Hati hati sensa kuahirishwa

    Ikiwa hivi ndo ntajua kweli serikali yetu lege lege"
  20. Ntaramuka

    Baba wa Mhe. Joseph Selasini Afariki

    R.i.p mzee. Pole sana kamanda!
Back
Top Bottom