Search results

  1. F

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Ninavyofahamu mimi ni kwamba zile nyumba ni zake nibafsi mkulu na ameweka na msikiti katikati...na kuna tetesi kwamba ujenzi ule unafanywa na serikali yetu na kuna watu walihamishwa maeneo ya karibu na pale na kujengewa nyumba nzuri sehemu nyingine ili mzee na ukoo wake wapate faragha
  2. F

    Serengeti Beer Chafu

    Haya mambo jamani ni kuyaangalia kwa undani wake sio kijuu juu namna hii...I happen kuwafanyia kazi moja hawa jamaa and walitoa malalamiko ya kupandikizwa kwa watu ili waihujumu kampuni kwa kuweka condoms kwenye chupa za hawa jamaa na hii inafanyika kwenye finishing section ambapo chupa...
  3. F

    Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

    Jamani wandugu wapendwa kwa taarifa zisizo rasmi inasemekana Chenge a.k.a "Mzee wa Vijisenti" hatunaye tena....taarifa za kikachero inahitajika kuthibitisha hili...... inasemekana jamaa ka-commit suicide but other source inasema jamaa kanyweshwa sumu....ukachero pleaseeeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom