Search results

  1. uvugizi

    Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Jina hili lina nguvu sana , Aidha nakumbuka nilikuwa katika nchi ya vita burundi . Siku moja nilipita maporini , tulikuwa na gari tunatafuta kufika mji mkuu Bujumbura . Askari walisimamisha gari letu na kutaka uhalali wa sisi kuwepo yaani passport na nyaraka zote , wakati huo mimi nilikuwa na...
  2. uvugizi

    Huduma ya muziki kwenye Treni ya Delux Kigoma - Dar ni kero

    Afadhali hawa wa mabasi unaweza kusema nao wakakusikia hapo hapo. Sijawahi kuona abiria wa basi akiomba muziki uzimwe wengine wakakasirika . hii inaonyesha nyimbo zinazopigwa aidha watu hawazipendi na kelele ikiwa ni sehemu ya wao kuchukia . muziki unatakiwa kuwa ni ule mororo sana .
  3. uvugizi

    Huduma ya muziki kwenye Treni ya Delux Kigoma - Dar ni kero

    kwa safari ya kigomA dar kewa njia ya train Kuna train za aina mbili kihuduma kama sijakosea . kuna train inaitwa ordinary na ingine ni luxury. ukiwa unatoka kigoma train hii ya deluxe nafikiri ndiyo luxury, ilikuwa inapendwa sana kwa sababu iliaminishwa kuwa inasimama vituo vikubwa tu ...
  4. uvugizi

    CHADEMA imeshavimeza tena vyama vyote vya Upinzani, Siasa za nchi hii ngumu sana!

    Kujipanga wanakoamaanisha ni kule kwa kuleta vurugu . Yaani chadema ichokozwe na i react hapo wanaona sawa . nawasihi chadema kama kuna mtego uliowekwa kwao sasa hivi , wanasubiriwa wafanye vurugu . wamepanga kuwachokoza sana na kwa sababu ya maumivu ya kufungiwa kwa muda mrefu hawatavumilia...
  5. uvugizi

    Nape: Muda mnaotumia kulalamika kuhusu bei za bando mngefanya shughuli nyingine

    kumbe kuongea ni kutokufanya kazi . kuna wanaofanya kazi huku wanalalamika . ndiyo maana wanasema Kumsifia mwanasiasa kwa kuwa amejenga shule , hospital kwa kupitia pesa ya uma . Ni sawa na kuisifia ATM kwa kukupa pesa zako.
  6. uvugizi

    Naomba kufahamu kuhusu Lewiathani

    lewiathan ni spirit na kama ujuavyo spirit . hichi ni kiumbe kipo majini na ndiyo kinachosababisha majanga mbali mbali kama kule Bermuda triangle . Aidha ni kweli kama mshana jr alivyoeleza katika biblia anatafsirika hivyo. Huyu anawakilisha ulimwengu wa Roho wa lucifer katika vilindi vya bahari...
  7. uvugizi

    CHADEMA mnaweza kuchukua nchi 2025 ila kama mtafanyia kazi mambo yafuatayo

    kwa jinisi ninavyojua mimi , hata wasipofanya kampeni chadema wanapita . Aidha umuhimu upo katika wizi wa kura na figisu za kupiga kura . Siku ukiona haya mambo hamna chadema ipo ikulu . sababu kubwa ni kwamba CCM wamejitanabaisha kuwa wapinzani wakitoka nchi hii itakuwa na maendeleo . juzi...
  8. uvugizi

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    jamani ile soft copy ya tuki dictionary please
  9. uvugizi

    Tafsiri rahisi 3 za kutoonekana kwa jina la David Kafulila katika teuzi za Wakuu wa Mikoa Julai 28, 2022

    Huyu aliwahi kutetea mambo ya uchumi wa magufuli kuwa unakuwa na akatoa milinganyo ya kufikirika sana . Nafikiri hata ingekuwa mimi ningesema kuna siku atanikoroga . Waswahili wanasema kukaaa karibu na mahakama si kujua sheria . Alijiona ni mchumi zaidi wakati wakati taifa lilikuwa linateketea
  10. uvugizi

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    mkuu natafuta original dictionary ya TUKI swahili english
  11. uvugizi

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Chukua dhahabu gram 3 au 4 .Anza mdogo mdogo . Usisahau ukikosea ni MSIBA .
  12. uvugizi

    Ili Kujenga CHADEMA ya kushindana na CCM ya sasa, Tafuteni uongozi mpya, Waondoeni Mwenyekiti Mbowe, Makamu Mwenyekiti Lissu na Katibu Mnyika

    Hivi kumbe huoni yaliyojiri . Uchaguzi wa kuiba kura 2020 .uliona moto wake ?. Wasingemshikilia mbowe kwa visingizio vyote hivyo. Takwimu zinaonyesha kuwa uchaguzi ukiwa huru na HAKI kwa Mara ya kwanza wapinzani wanachukua . Swala si sera pekee za chama . Watu wameichoka kijani . Magufuli...
  13. uvugizi

    Sheria ya nguvu ya saikolojia

    ONEKANA (STAND ABOVE) . Kazi nzuri huwa hazionekani. Kama unataka kuwa na nguvu zaidi kazi nzuri tu haitoshi . kufanya kazi sana tu haitoshi ila unatakiwa ufanye kazi huku ukitambulikana (UKIONEKANA ) .Kazi yako isiwe overshadowed . Pata muda kuongoza na kujihakikishia unaonekana. UKITAMBULIKANA...
  14. uvugizi

    Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    kwa mustakabali wa jamii ilitakiwa waache mambo yaendelee na kuhakikisha viongozi wanabanwa , wanaoathirika ni wananchi hata na serikali pia kwa ujumla .
  15. uvugizi

    Halima Mdee: Mimi pamoja na timu yangu (Wabunge 19) tutabaki kuwa WanaCHADEMA kindakindaki. Tutaenda kuyajenga ndani kwetu

    Hapa ninachoona ni kwamba, kama wakisema tumekubali maana yake ubunge wameukosa. Mimi mwenyewe lazima niseme ni mwanachama ili niendelee hata kimahakama kuwa mbunge. Kuna maswali mengi kuliko majibu katika hili. Swali kuu, kwanini waliapa na wengine kutolewa magereza.
  16. uvugizi

    Zitto, Lissu na Mbowe wanafanya makosa kama ya Morgan Tsvangirai

    ccm imechokwa na watu . Tabia kubwa inayotishia amani ya ccm , ni pale mgombea anaposema sitaleta maendeleo mkichagua wapinzani . Sasa wanajiuliza mbona wale wenye upinzani ndiyo maendeleo yamezidi kwao . Wale wenye ccm wamechoka !.
  17. uvugizi

    Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum amtembelea Balozi wa Marekani, wazungumzia uchaguzi!

    hapa ndiyo angekuwa kakutana na mtu ambaye balozi angemkumbuka daima .
  18. uvugizi

    Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Huu ni mpango ,yeyote ambaye atakuwa kikwazo kwa ajili ya wao kutofanikisha mpango wao . aidha anasingiziwa ana silaha , jambazi sugu , alihusika katika mauaji fulani , alikwepa kodi , alitakatisha pesa , wahamiaji haramu , . kwa maana mtukio ya kuwafanya chadema kupunguza speed yapo mengi kwa...
Back
Top Bottom