Search results

  1. B

    NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!

    Yan wayu wenhine sjui wanawazaga nn.mtasemabkila kitu freemanson kwa mtindo huo kila kitu under the sun ni freemanson shauri yenu maisha ndo hayahaya haya tupeni hizo simu zenu tutaziokota na tutazitumia bila shida yoyote life linasonga mbele. "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO"
  2. B

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    Kaka Yeriko na Ben kazi nzuri mnafanya mana wengine tupo Dunia kwanza ila mnatuweka pamoja huko mahakamani kupitia updates zenu.tunasubie zaid kinachojiri mana dk 15 zishaisha. Ahsanten!
  3. B

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    Tuntemeke never compare Uganda politics with Tanzania hatutaki copy and paste hapa these things operates in different atmosphere bwana.
  4. B

    Mlikuwa mkiitaje enzi zenu?

    Huu tulikuwa tunaita "SODO"
  5. B

    Wabongo na Halloween

    Watu wenyewe hata hawaelewi maana ya halloween na kwanini wenzao wanasherehekea ikitokana na nini.wao ni kuiga tu yan kazi kukopi na kupaste tu.aibu mwaboaaaaa.
  6. B

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    Mfa maji haachi kutapatapa.imewashika pabaya chadema mtaisoma number we baki na madai yako tu eti oooh chadema mnahamasisha migomo usisahau kwenda kwa nape upate malipo yako ya wikiend.
  7. B

    Gallaxy s 3.

    Hio lazima ya kichina tu.Galaxy S3 inauzwa kuanzia £400 sawa na Mill moja ila kwa bei hio ya kichina sishangai utatumia miezi m2 then itakupa jibu.
Back
Top Bottom