Search results

  1. B

    Barabara ya Strabarg: Kielelezo cha ujinga wetu!

    kwenye hizo kona kona za Kimara kuna siku scania mbili zilikuwa zanapishana zikaishia kuparuzana..kuna siku pia scania yenye tela ilibinuka ikauwa dereva na utingo wake..juzi tena scania likadondosha container..na tutegemee kusikia ajali nyingi zaidi na zaidi.. Kunyoosha bara bara Pale...
  2. B

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

    mwenye akili yeyote akisoma hii msg lazima ataielewa na akiri kabisa kwamba CDM ni mpango wa Mungu..
  3. B

    M4C pamoja daima Tabora yazizima

    mpaka raha..peeeeeoplessssss
  4. B

    Ni rais yupi amekufurahisha kiutendaji

    bora baba wa taifa mwl julias kambarage nyerere..alitubakizia rasilimali ili tuje kufaidi na watoto na wajukuu zetu..si hawa wametuuza mpaka sisi wenyewe
  5. B

    Hii ndio wizara inayomfaa mhe. Mwigulu Nchemba

    nawasiwasi rais ajaye anaweza kukuta BOT Empty!!!uchaguzi 2015 unakuja halafu wamemuweka injinia hapo..heheheheeh..kiama!!
  6. B

    Konakona za Kimara mwisho kama za mlima kitonga

    Hii ilikuwa inatakiwa wananchi waijadili lakini mod kaitoa faster..ilikuwa muhimu sana kujadiliwa ili wahusika wasikie kilio cha wananchi
  7. B

    Konakona za Kimara mwisho kama za mlima kitonga

    Wana jamvi,jana pale Kimara mwisho kwenye konakona ambapo sasa hivi watu wanapaita kitonga kulitokea ajali mbaya sana,dereva wa lori lililokuwa limebeba container alishindwa kumudu zile kona gari likaangukia pembeni miguu juu,huku sehemu ya dereve likiwa nyang'anyang'a. Juzi yake lori mbili...
  8. B

    Mpango mzima wa kuihusisha CHADEMA na ugaidi mpya huu hapa

    dk ulimboka nadhani alimtaja mtu aliyempiga..mmmh mbona kamanda kova hakuwa na speed kufuatilia kama ya huyu mwenyekiti wa chadema temeke??????
  9. B

    Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

    Dada Rose..Hii msg yako imegusa vilivyo..hata wasaliti wote wakiisoma itawaacha uchi..Namwomba Mungu ili awape ufahau..maana naona wachangiaji wengi wanaendeshwa na nguvu ya pepo( na pepo lenyewe ni rushwa...buku 7)akishapokea anajisahau hata Tanzania ya kesho itakuwaje...
  10. B

    Tuko tayari kwa maandamano

    maandamano inawakilisha kilio cha wengi..ukisema uache kutumia luku na utumie solar,wataacha wachache sana na haita leta adhari yoyote kwa tanesco na wala serikali haiwezi jua kama kuna watu wameacha luku na wameanza kutumia solar..maandamano ndio ujumbe mzito
  11. B

    Tuko tayari kwa maandamano

    SISI Huwa tunabebeshwa mizigo kwa uzembe wa watu wachache na ingekuwa ni serikali makini wale wote waliyoingiza hii nchi kwenye mikataba mibovu ungekuta siku nyingi wako jela..wameingia mikataba ambayo inatunyonya haswa..hata kama mtambo haufanyi kazi lazima ulipie capacity charges..mfano mdogo...
  12. B

    Tuko tayari kwa maandamano

    ukitaka mchawi asimloge mwanawo..mpe akulele..ndo maana nikasema ccm ndo waratibu
  13. B

    Tuko tayari kwa maandamano

    Tunamachungu,Tunaudhuni na tunamasikitiko makubwa sana na huu upandaji ya umeme kwa kiwango cha kutisha.leo namaliza siku ya 4 baada ya luku kuisha sijanunua umeme..tuko tayari ya kwa maandamano ya kupinga huo upandaji wa umeme,maana huu upandaji umegusa nyanja zote,nitashangaa sana kama police...
  14. B

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    mkuu..like zingekuwa zinafika kumi ningekupa..umenena sana..Tatizo sisi watanzania tumekaa kutumika tumika tu kwa maslai ya watu wachache wenye nafasi zao na pesa zao/..lakini sisi ambao hatujui kesho au leo tunakula nini hatuwezi kujipigania sisi wenyewe.. hatuwezi..duuh huyu aliyetuloga kama...
  15. B

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    mkuu umenena..hapo ndo ujue wanavyomtumia..lumumba wanakesha kwaajili ya hii kesi..wanaacha kushughulika na jinsi gani watamshawishi mzee wa magogoni ili awapunguzie wananchi wake kupanda kwa gharama za umeme wao wanashughulika na kupandikiza migogoro kwenye vyama.wao hawajui mwananchi...
  16. B

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    kama ana wafuasi wengi na anajiamini kwamba anawanachama wengi..si ni bora akaanzisha chama chake..sasa hivi pale kashaonekana msaliti.hata kama mahakama ikimpatia ushindi haitamsaidia..kama kweli anajiamini aanzishe chama chake na nadhani atapata kuungwa mkono sana na wana ccm..
  17. B

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    watanzania navyowajua..ukiwaambia tususie kutumia umeme watakwambia sasa hivi kunajoto tusubiri kipindi cha baridi..hehehe..(mimi mtanzania najichukia kuwa mwoga wa kudai haki zangu tena za msingi.)tumuombe sana Mungu ili atuondolee hofu na uwoga
  18. B

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    natamani ingekuwa wanapandishiwa wapinzani??halafu sisi ccm bei inashushwa!!:A S wink:
  19. B

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    Ina maana haya manung'uniko ya kupanda kwa umeme mzee mzima ajayasikia??au ndo ile funika kombe manaharamu apite.hapa ndo ilikuwa kipindi cha kuonyesha anajali wananchi wake
  20. B

    Tujadili makato ya LUKU katika manunuzi ya Umeme (Service Charges)

    kweli kabisa..nadhani huu mwenge unaopitishwa nchi nzima ndo unatundondocha.. ndo maana tunakuwa tunalalamika ndani kwa ndani,tunaumia ndani ya mioyo yetu!!mashabiki na wanachama wa cdm,nccr,ccm,tlp wote tunaumia..lakini ukipiga kelele utasikia huyo mpinzani anataka kuleta fujo na kupoteza amani...
Back
Top Bottom