Search results

  1. K

    Takwimu: Zijue nchi masikini Duniani

    kama kawaida Wabongo tumezoea Uchakachuzi, si ajabu na hii nayo imechakachuliwa,,, lakini masikini ni watu sio nchi naamini kabisa kwamba Tanzania yenyewe ni Tajiri ila watu wke ndo..... hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu mdogo.
  2. K

    Ona picha kwenye msiba wa billionaire babu sambeke

    Jamal Sambeke mtoto wa marehemu akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani Arusha kwa picha zaidi angalia MAASINDA chanzo Maasinda
  3. K

    Lwakatare aachiwa huru kisha kukamatwa hapo hapo kwa kosa lingine

    mi bado sijaelewa kabisaaaa,,, jamaaaa kakamatwa kwa mara nyingine ni sawa,, lakini amekamatwa kwa kosa gani tena???? embu tukune kwenye mshipa wa uelewa.
  4. K

    Under the same sun wazindua mradi wa vipindi vya redio kanda ya ziwa,, ni ili kuelimisha umma juu ya

    Balozi wa Canada nchini Tanzania Bw, Alexandre Leveque akifungua kinywaji kama ishara wa Uzinduzi Rasmi wa Vipindi hivyo(Mradi huo) Wengine ni Mkurugenzi wa UTSS Bi Vicky Ntetema pamoja na Viongozi wa Shirika hilo. Katika Kuhakikisha kuwa Unyanyanyasaji kwa walemavu wa Ngozi unakoma kabisa...
  5. K

    CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    mi nafikiri aliongea vile mbele ya waandishi wa habari ili aonekane kuwa nayeye anapoint ya kusema
  6. K

    CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    Kaimu katibu Mkuu wa CUF Bw, Julius Mtatitiro amesema kuwa hapa Tanzania kuna viongozi wa aina Mbili ambapo amewataja aina ya Viongozi hao kuwa ni Viongozi waliosoma na wale ambao hawajasoma na kuongeza kuwa kuna viongozi waliosoma wenye Akili na Viongozi waliosoma wasio na akili. Bw...
  7. K

    CUF inapotoa laana na kukaa kimya pale laana isipo wakuta walengwa

    Chama cha wananchi CUF kimeendelea kutoa laana kwa vitendo viovu vinavyotokea hapa nchini kama ilivyo kawaida ya chama hicho kutoa laana kwa vitendo hivyo. Leo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo Naibu katibu mkuu wa Chama Bw, Julius Mtatiro, hicho alikuwa akizungumza kwa niaba...
  8. K

    Waziri anapolima na suti

    ukiwa shambani hakikisha umevaa Suti au hata kama Sio suti angalau kidogo mavazi yako yaendane na Heshima yako, pia hakikisha Huchafuki hata kidogo kuanzia mavazi mpaka kwenye viatu, Mfano mzuri nitizameni mimi,, hilo ni somo ambalo nadhani alikuwa akilitoa Mshkaji kwa wakulima wenzie
  9. K

    Waziri anapolima na suti

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Mizengo Pinda akiwaelekeza Wakulima wa Mahindi namna ya Kupalilia zao hilo. Mheshimiwa alikuwa shambani hapo akiwa amevalia vazi la Suti Wakati alipotembelea shamba la Mkuu wa Mkoa wa Katavi Desemba 18, 2012 eneo la Tenki fupi kata ya...
  10. K

    PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    hii ndiyo inaitwa maisha bora kwa kila mtanzania,na nibora pia kwa watumishi wa sekta nyeti kama hiyo :A S 11:
  11. K

    PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    Moja ya nyumba za walimu katika shule ya msingi Ipyana wilayani Kyela mkoani MbeyaHali ya nyumba za walimu katika shule hiyo ni mbaya kama inavyoonekana hapa Hili ni dirisha lenye kioo cha bati Picha kwa hisani ya Gordon Kalulunga
  12. K

    NCCR yapinga rushwa muda huohuo wakitoa rushwa hapohapo

    mi binafsi naona kama huu ni unafiki tu hamna mwenye nia ya kutokomeza Rushwa
  13. K

    NCCR yapinga rushwa muda huohuo wakitoa rushwa hapohapo

    Chama cha Siasa cha NCCR MAGEOUZI kimejikuta kikiwa katika hali ya kutoeleweka baada ya kuilalamikia Rushwa iliyopo katika chama Mwenzake CCM kwa kusema kuwa itawashugulikia viongozi wake walioingia madarakani kwa Rushwa baada ya miezi sita wakati huohuo NCCR ikatoa Rushwa kwa waandishi wa...
  14. K

    Ikulu: Hatuwezi kumzuia Lissu kumshtaki Rais

    swali ni kwamba!! nani atakuwa na uwezo wa kumfunga/kumuhukumu bosi wake? hizi ni ndoto za mchana kama tu hamna aliyeongea chochote kwenye ushahidi wazi wa ulimboka sembuse hii?? na ndio maana rwayemamu akasema hatuwezi kumzuia, najua kabisa hakuna atakayeweza kusimamia eti ras anashitakiwa hahaha!!
  15. K

    Misa tanzania wailaumu serikali kwa kushindwa kulifungulia gazeti la mwanahalisi

    Taasisi ya vyombo vya habari kusini Mwa Afrika Tawi la Tanzania(MISA TANZANIA) umeendelea kuonyesha masikitiko yake kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushindwa kulifungulia gazeti la Mwanahalisi mpaka sasa pamoja na kuwa Ukweli umegundulika kuwa yaliyosemwa na Mwana Halisi ni...
  16. K

    Mchungaji Msigwa amesema waziri Kagasheki anawakumbatia majangili

    Mbunge wa Iringa Mjini na Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam ambapo amemtaka Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa jakaya Mrisho kikwete kumuwajibisha Waziri wa maliasili na Utalii Mhe, Kagasheki kwa kuwa...
  17. K

    Waandishi wa habari wakacha mkutano ulioitishwa na naibu waziri wizara ya uchukuzi

    Tatizo halikuwa kusubiri ila ni mazingira yenyewe ya kusubiri yaliyokuwepo pale, waandishi walitelekezwa kana kwamba ni watu ambao hawana maana, waandishi walikaa pale nusu saa na hakuna aliyekuwa anaenda kuwapa taarifa ya kuchelewa ilionyesha kuwa ni jinsi gani waandishi wanadharaulika wakati...
  18. K

    Waandishi wa habari wakacha mkutano ulioitishwa na naibu waziri wizara ya uchukuzi

    mi pia nimefurahishwa sana na kitendo walichokichukua waandishi wa habari kwani huwa hawa viongozi wanajiona wapo juu sana yani na wanaweza wakafanya wanavyotaka wanafikiri kila mtu ni wa kumpelekesha. safi sana waandishi kwa mlichokionyesha leo
Back
Top Bottom