Search results

  1. B

    Ona Uganda Walivyoiandika Tz Kuhusu Suala la Gas na Mafuta

    Wanatapa tapa tu. EAC haitafanikiwa bila tz.
  2. B

    Jerry Muro kugombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

    Kawe hatujachoka kiasi cha kuongozwa na Jerry. Aendelee kuripot matukio. Mdee na Mnyika hawaangalii majimbo yao tu bali hata taifa kwa ujumla. Jamani 2015 tunahitaji Temeke na Kinondoni
  3. B

    Islamic banking na katiba na sheria zetu

    Hivi kuna ulazimawa kuanzisha huduma maalum za kibenki kama za kidini? Haya ni mapokeo ya wapi? Ina tija gani kwa taifa? Tafakari, chukua hatua.
  4. B

    Pengo azungumzia padri kupigwa risasi Zanzibar

    hapa sijaona mwenye busara. mwislam anatetea uislam na mkristu anatetea ukristu. Je, vitendo vya kuchoma makanisa ni sahihi? naomba mwislam mwenye hekima ajibu tena atumie busara zake.
  5. B

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    sasa wasubiri 2015. hivi CCM ina majaji wa aina gani? walisoma wapi?
  6. B

    Hakuna kigezo wala sababu za CHADEMA kuongozi nchii hii

    Kibe ana hoja nzuri tu. Tupunguze jazba tumjibu kwa hoja tu ili n yeye awe campaigner wetu tukakapokuwa tunaelekea Ikulu kurudisha na kuwafanya watanzania wafaidi rasilimali za nchi yetu.
Back
Top Bottom