Search results

  1. one activist

    Viongozi wa CHADEMA makao makuu: Msimtelekeze Joseph Ludovick Rwekeza mahabusu

    Ludovick kuisafisha CHADEMA manake ni kwamba akiri kuwa ni kweli alipokea sh. elfu 50 za Mwigulu na software zote zilizotumika katika mchezo huo kutoka kwa Muhiddin Issa Michuzi na ni kweli aliwasiliana na Mwigulu kuhusu jambo hilo kama alivyosema Shushushu wa kujitegemea Mabere Marando, kitu...
  2. one activist

    Kwa usaliti huu CHADEMA mtabakia wasindikizaji wa CCM milele na kamwe nchi hii hamtokuja itawala

    Mti wenye matunda, ndio unaopigwa mawe, nani azungumzwe katika siasa ya nchi hii kwa sasa kama sio Dr. Slaa? Magazeti yaandike habari za mwanasiasa yupi ili yauze kama si Dr. Slaa? Chapa mwendo Dr wa PhD.
  3. one activist

    Alhamisi nitafunguka-Lwakatare

    Nawakumbusha wanasheria wa Lwakatare kui copy ile video ya Mwigulu Nchemba juu ya matamshi yake jana kuwa yeye ndiye aliyegharimia vifaa kwa ajili ya kuirekodi video ya Lwakatare, ni ushahidi muhimu pia kuisaidia mahakama kufikia uamuzi wa haki
  4. one activist

    Professor Lipumba Anapokandia Umuhimu wa Elimu tueleweje?

    Kwa hili, Lipumba amenena.
  5. one activist

    Mongela ahaha kurudi PSPF

    Kwani Babu Seya aligonga toto ya muzee? si ilikuwa ni kesi kabisa, mashahidi wakaletwa mahakamani watoto na wazazi wao wakaeleza ilivokuwa mahakama ikaridhika..?
  6. one activist

    Picha: Wananchi warudisha kadi za CCM, Lissu azichoma moto - Ifakara

    Haka kamchezo nimekapenda, yaani watu wanalipwa elf 5 na kumi kumi ili wachkue kadi, afu tena wanazipeleka kwa watani wa mlipaji wao, nae mtani ndo kabisaaa anazichoma moto ili kuziondoa kwenye mzunguko, inabidi mlipaji achonge zingine tena kufidia hizi zilizoteketezwa kwa moto, aargh!!
  7. one activist

    Sitta:Tabaka linamhujumu JK

    Kinachoudhi hapo ni kwamba hakuna sehemu atakapowataja hao watu, kama angekuwa na tabia hiyo ya kuwataja hata huko vikaoni ingekuwa afadhali, zaidi ni porojo tu za kutafuta umaarufu wa kisiasa.
  8. one activist

    Sitta:Tabaka linamhujumu JK

    Dar es Salaam. Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema kuwa kuna tabaka la wenye fedha lililojengeka, ambalo linahujumu utendaji wa Rais Jakaya Kikwete ili aonekane hajafanya lolote katika kipindi alichokaa madarakani. Aidha, Sitta...
  9. one activist

    Sita Acha Kumdhalilisha Rais

    Hawa ndio wale waumini wa ile kauli ya "Rais anaangushwa na watendaji wake", inaniudhi...! Kama anaangushwa yeye utendaji wake ni upi kama sio kuwachukulia hatua hao appointees wake?
  10. one activist

    Wadau Nisaidieni Kufahamu Elimu Ya Komba

    Haya, kwa wabunge wa CHADEMA unahitajika kuwa na elimu ya kiwango gani?
  11. one activist

    Wadau Nisaidieni Kufahamu Elimu Ya Komba

    Kwani kuwa mbunge unahitaji kuwa na elimu gani? Unataka kusema ameghushi vyeti apate ubunge au?
  12. one activist

    CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

    Haya, tunataka na ya Katibu mkuu mwenzie, Kinana
  13. one activist

    CV ya Dr Slaa From Certificate to PhD

    Sina cha kuongeza, umemaliza Dr.
  14. one activist

    Tanzania Daima na habari ya Ridhwani na mkewe! Huu ni ukanjanja wa hali ya juu

    Huu ni upuuzi sana, si hawa tu Tanzania Daima, hata Uhuru na Mzalendo wana tabia ya kuandika habari kwa kulazimisha, wanabore
  15. one activist

    Nimewajibu CHADEMA mkutano wa Mbozi, tutaimaliza CHADEMA kwa mikono yetu

    Si hilo tu, na gharama za sare mashati, vitenge na kofia za CCM manake hapo zaidi ya 80% wana sare za CCM kwa hiyo walikuwa wanawahutubia watu wao walewale ambao hawaji mkutanoni hadi wapate vitenge ila siku ya kura wanajua nn cha kufanya.
  16. one activist

    Siwezi kumzungumzia Kinana si saizi yangu Dk slaa

    Nimerelax na hii baridiiiii, kwa hyo sitaki malumbano, napita tu....
  17. one activist

    Yaliyomo ndani ya Hukumu Kesi ya CHADEMA dhidi ya Meya Matata na diwani Chagulani iliyotolewa jana.

    Jamani mimi nadhani tatizo lipo kwenye sheria zetu, maana hata nikitazama records za nyuma tunaona kwamba Hamad Rashid Mohammed mbunge wa Wawi ameendelea kuwa mbunge baada ya kufungua kesi dhidi ya kuvuliwa kwake uanachama na kesi ya msingi haijaisha, na ni kwa utaratibu huohuo Kafulila...
  18. one activist

    Kampeni za udiwani kata ya Iyela Mbeya CCM hali ni mbaya, wasomba watu kutoka Uyole na Utengule

    Katika mkutano wao wa kwanza uliofanyika maeneo ya Kamficheni walipika wali na nyama kitu kilichofanya watu waliohudhuria mkutano wa chadema katika eneo la Maendeleo kuondoka mkutanoni kuwahi sahani huko, na leo katika mkutano ulioanza hivi punde magari yaliyojaza watu kutoka Uyole, Utengule na...
  19. one activist

    Yaliyomo ndani ya Hukumu Kesi ya CHADEMA dhidi ya Meya Matata na diwani Chagulani iliyotolewa jana.

    MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imetupilia mbali ombi la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyofungua kupinga maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, ya kuendelea kuwatambua Meya wa Manispaa ya Ilemela, Henry Matata pamoja na Diwani wa Igoma kuwa madiwani halali, licha ya...
  20. one activist

    Sheikh Ilunga alazwa India

    Kwa kuwa nimeambatanisha na picha ya chanzo cha taarifa, mimi sina la kuongeza ni wewe kufuatilia zaidi kwa hicho chanzo.
Back
Top Bottom