Search results

  1. C

    Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

    huyu jamaa ukiangalia kwenye kurasa zake za Facebook then utakuta amejiandika ni Chief Procurement officer wa Ocean Roads, swala ambalo si kweli, hivyo yeye kazi yake ni kula kwa kutapeli tangu afukuzwe kazi.
  2. C

    Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

    Alikuwa Mfanyakazi wa TIRDO kama miezi 4 iliyopita na alikumbwa na mkasa mkubwa wa ubadhirifu wa pesa, baada ya hapo alisimamishwa kazi na mwisho wa siku alitimuliwa kabisa.............. sasa anatimua kigezo na fursa ya kujulikana na walinzi na kisha anawatapeli watu maeneo ya hapa Ofisini...
  3. C

    Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

    kuna jamaa mmoja hapa mjini anaitwa deus torani huyu jamaa amekua akichukua fedha za wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo hasa kwa wale waliokosa mkopo kuwa atawafanyia mpango majina yao yatoke kwenye second batch. Lakini napenda kuwaatahadharisha huyu mtu hafanyi kazi hapa bodi wala...
  4. C

    Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

    kuna jamaa mmoja hapa mjini anaitwa deus torani huyu jamaa amekua akichukua fedha za wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo hasa kwa wale waliokosa mkopo kuwa atawafanyia mpango majina yao yatoke kwenye second batch. Lakini napenda kuwaatahadharisha huyu mtu hafanyi kazi hapa bodi wala hafahamiki...
Back
Top Bottom