Search results

  1. pageup

    Innaa lillahi wainnaa ilayhi raaji uun waislamu tumefikia hatua hii ?!!!

    hao wabunge wenu wenyewe si walevi tu,na sana sana huwa wanakunywa konyagi,kwanini wasipokee hiyo misaada,wakati wao ndio wadau wakubwa:A S thumbs_down:
  2. pageup

    Mzungu Omba Omba ndani ya Dar

    wivu mwengine noma!:rofl::rofl:
  3. pageup

    Bei mpya za bima za magari hizi hapa

    haya mambo ya kuchelewa kukata bima wakati imeisha,kizazaa ndio hichi,bajeti yangu ya mwezi imepanda duh!:A S 13:
  4. pageup

    ni Muafrika mwenzetu ila kabahatika!

    karibu tanzania
  5. pageup

    Hii ndiyo familia inayotawala ulimwengu!!

    mzungu siku zote atabaki kuwa juu,ana vyombo vya khabari vya kutosha vya kuweza kumdanganya mtu mpaka akaamini uongo alioutengeneza kuwa ni kweli ili tubaki kuwa watumwa wa mataifa yao kwa miaka mingi zaidi kadri inavyowezekana.
  6. pageup

    Hivi kwanini CDM msiitishe maandamano nchi nzima?

    nani kakwambia maandamano ndio dawa??!! je katika kuandamana kwenu ikitokea miripuko nani alaumike??!!! kukurupuka kwa waandamani ama vyombo vya usalama??!! ni wakati wa kutulia na kupunguza mikusanyiko isiyo na maana na kuwacha vyombo husika vichunguze kwa undani sababu za mripuko,na nani...
  7. pageup

    Nani ni hatari: FISADI au SHOGA kwa maisha ya Mtanzania

    swali la kifala kabisa ni sawa na kuuliza kufa njaa au kufa masikini ipi inasikitisha zaidi??!! jibu la swali lako ni kuwa yote hayo ni majanga mazito kwa taifa letu
  8. pageup

    pesa utajiri si kila kitu!!!

    furaha ya kweli katika maisha haya unapokuwa upo karibu na mungu aliekuumba!!!:yo:
  9. pageup

    Picha Niliyoipenda

    imetulia
  10. pageup

    cr7 azawadia kitabu kitakatifu(qur-ani)

    ni baada ya kuingia mkataba na shirika la mobily,awapa heko waislamu,asema anaelewa mengi yanayozungumzwa katika vyombo vya khabari juu ya waislamu ni uzushi!!!
  11. pageup

    F.b.i na hii nayo wamechora?

    ya miripuko ya boston wamechukua kumbukumbu za video kutoka kwenye camera walizosambaza katika kila kona ya miji yao(kama ilivyo kawaida kwa nchi zenye maendeleo)wala hawakuchora!!!!!!!!!!
  12. pageup

    yanatokea nchini kwako ila hujui!!!!

    huyo ni mlemavu wa kwanza asie na miguu kuupanda mlima wa kilimanjaro(mlima mrefu zaidi africa),jina limenitoka sijui mnaweza kunikumbusha????!!!
  13. pageup

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    dini na siasa wapi na wapi???!!! askofu beba msalaba kanisani na waachie siasa wana siasa,kama vile mashekhe wa uamsho kina issa ponda tunavyowaomba waendelee kukemea maovu yaliyokatazwa na dini zao kama vile,uzinzi na .......................... waachieni siasa wana siasa askofu utasema...
  14. pageup

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    ukizungumza kitu zungumza kwa uwelewa mpaka na ufafanuzi kwa mifano: bwana askofu kufungamana na china ndio msingi wa maendeleo katika nchi masikini kama yetu kwa sababu 1:miaka ya nyuma ni wachache waliokuwa wakimiliki honda ya mjapan sasa hivi karibia kila nyumba utakuta kuna piki piki ya...
  15. pageup

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    hivi kuwa na mahusiano mazuri na israel ndio kufanikiwa kisiasa na kibiashara!!!!wacha kupandikiza fikra mbovu katika jamii,si tatizo kuwa na uhusiano na israel na kufungua ubalozi,lakini kufungamana nao sio sharti la kufanikiwa kwetu,watu wangapi huko israel wamejichoma moto katika miezi ya...
  16. pageup

    big up nilipokuwa u.k (katikati ya farasi)

    ndio huyo ni mimi
  17. pageup

    big up nilipokuwa u.k (katikati ya farasi)

  18. pageup

    swali kbla hujaswaliwa!!!

    :A S 39:
Back
Top Bottom