Search results

  1. The Monk

    Je, ungependelea kupumzishwa (kuzikwa) wapi?

    Kwa vile maisha ni ya online JF, kifo nikiwa offline tu.
  2. The Monk

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Uko sahihi Mnyampaa, na pia kuondoa ile kasumba ya kuvifanya jambo la kuoa kuwa gumu na mzigo.
  3. The Monk

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Hapakua na event planner ndugu yangu. Kamati ndogo sana ya kuratibu chakula tu.
  4. The Monk

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Kila kitu kilimalizikia kanisani. Chakula caterer TZS 3,000,000/- Vinywaji ( maji, soda, seres juice) TZS 524,000/- Gari tulitumia letu na niliendesha mwenyewe Mavazi Mme,Mke na wapambe TZS 2,000,000/- Kukodi tents na meza za chakula TZS 540,000/- Picha TZS 150,000/- Hotelini USD 300 siku...
  5. The Monk

    Shukrani kwa faraja kwenye Msiba wa Mama yetu Sophia Gwajima

    Poleni sana Mheshimiwa. Tunawaombea Faraja na ustahimilivu katika wakati huu wa kuondokewa na Mpendwa Mama.
  6. The Monk

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    Wakati unaandika awali ulisema 5 zipo kwenye mechi ipi? Uliiongelea sare ya Kwa Mkapa?
  7. The Monk

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    Huyo ni mtu alisema Yanga anakula Tano...hapo hapo anakwambia sare haisaidii kitu.
  8. The Monk

    Nape: Rais Samia alinikataza kujibizana na Watu Mitandaoni

    Unaenda mbali sana Mkuu, zoezi la anwani, waliita post code liliishia wapi?
  9. The Monk

    Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Ila Mungu alivyokua wa ajabu utakuta hao jamaa hata hawaoni shida. Lakini kiungwana inaleta Hali ya fedheha, Kila mwanaume anapenda heshima hasa anapokua na familia yake. Nilikutana na jamaa wa Afghanistan akasema ni kosa lajinai kukubali kufedheheka mbele ya Mke wako, Bora upambane hadi ufe...
  10. The Monk

    Daraja lazamishwa baharini huko Baltimore- Marekani

    Huenda ya pili ilirushwa baada ya tukio au wakati uharibufu Mkubwa umeshatokea
  11. The Monk

    Daraja lazamishwa baharini huko Baltimore- Marekani

    Ndio waziwekee hand break sasa.... kidding
  12. The Monk

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Hapana. Nimekuzidi kama 1kg tu. Nayo huenda nilikua na vitu mfukoni kama simu n.k ila viatu nilitoa. Kwa ufupi tunalingana uzito nisizunguke sana
  13. The Monk

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Ni kweli sipendi ualimu ila ni kazi nnaiheshimu sana. Ni kazi Baba ameweza kuendesha maisha yetu Hadi mauti ilipomfika, lakini kupitia kazi hiyo nimejifunza mengi ambayo yamenifanya niwe hivi nilivyo Leo. Ila unakazi kubwa sana ya kufanya kwenye maisha Yako, jifunze utu na ubinadamu, acha...
  14. The Monk

    Kama ungekuwa kiongozi wa nchi ni watu gani ungewafukuza?

    Wabunge wote. Zingatia wabunge waliopo Sasa hivi, si maanishi bunge halina umuhimu ila Kwa hawa tulionao bora tubaki na watu walioajiriwa kama mawaziri, Makatibu wakuu n.k akizingua kibarua kinaota nyasi.
Back
Top Bottom