Search results

  1. E

    Kukata Line samsung galaxy S3

    Hiyo ni ya kweli kaka Samsung S3 na S4 line yake lazima uikate iwe ndogo kuna mashine zake maalumu za kukatia. Hakuna original yenye kuingia line nzima nzima ukiipata hiyo ni feki!!! Hofu ondoa mzee
  2. E

    Tanzanian - U.N. peacekeeper killed as Congo's army gains ground against rebels

    kifo hakiangalii muislamu wala mkristo kaka!!! japo umejishtukia kuhusu kushahabikia udini lakini huo ndo ukweli. R.I.P Soja wetu
  3. E

    Msaada: Kuagiza nguo online toka China kupitia Alibaba

    ALIBABA ni neno la Kiarabu maana yake kwa kiswahili ni MWIZI!!! Kwa hiyo kuwa makini kaka.
  4. E

    Sugu anatafutwa na Polisi Dodoma ...Amefunguliwa faili na Askari Polisi

    Tatizo la kupeleka BONGO FLAVOUR bungeni Bhangi haiishi kichwani mapema.Kayataka mwenyewe ngoja akome japo wengi wetu hatuoni kosa lake ila kosa la polisi tu.
  5. E

    Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Waliokufa ni POLISI tu au na wananchi pia???
  6. E

    Sikujua kama Anne Makinda anamiliki hotel

    Badala ya kuleta issue za maana ww unakurupuka na Makinda kuwa ana hotel na wakati huo hata ushahidi huna!! Acha unafiki na chuki binafsi kwani ww unayo orodha ya viongozi wenye biashara na mikopo sasa ya Makinda hukuwa nayo!! Anzisha lingine
  7. E

    Lowassa amponza Kibanda: Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015

    Mara MAJASUSI, USALAMA, POLISI(MAAFANDE), CHADEMA, WABAYA WA LOWASA, ROSTAM, Watakuja na waandishi wa habari wasiompenda KIBANDA!!! Tuache porojo na kama unajua lolote kawasaidie wapelelezi na hiyo timu ya Waandishi/wapelelezi
  8. E

    Jeshi la polisi lajiweka njia panda

    Hapa KOSA kwa Jeshi la polisi ni KUKANUSHA TAARIFA ZA UONGO ZA GAZETI LA TANZANIA DAIMA? Wa kulaumu ni huyo MWANDISHI UCHWARA yeye kazipata hizo hbr wapi? POLISI WAPO RIGHT KUKANUSHA UONGO. "Hakuna NJIA PANDA hapa LABDA NJIA SHUKA!!!:bange:
  9. E

    Lema: Tutakwenda Mtwara kuwasha Moto!

    Mbona TANZANITE iliyopo kwake inaibiwa miaka hadi miaka na yeye kakaa kama MBURULA tu, leo ndo ajifanye akawashe moto Mtwara? Hana lolote.
  10. E

    Mwandishi wa habari akamatwa na TAKUKURU Arusha

    Nahisi na wewe ni mmojawapo wa hawa WAANDISHI UCHWARA waganganjaa!!!! Badala ya kukemea unaona safi.
  11. E

    Vurugu kubwa kariakoo

    Toa picha sasa na ww uctuletee usanii humu:israel:
  12. E

    Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

    Hiyo ni issue ya kisheria jamani!!! kama uelewa wako ni mdogo kuhusu sheria c vema ukatoa maoni yako ambayo unaonekana kituko. HAKUNA SIASA HAPO.
  13. E

    Polisi wawili wauawa kwa mapanga na wananchi wenye hasira Ngara; kituo cha polisi chachomwa moto!

    Taarifa ipi ni sahihi sasa? Bodaboda alisimamishwa brbrni ndo akapigwa risasi, raia (fundi pkpk)aliyeuwawa alikuwa akikataa kupelekwa polisi au alipigwa risasi akiwa kituoni? Tanzania kufika huko bado, tunalazimisha kufika kufika huko kwa wote POLISI NA RAIA. R.I.P. MAREHEMU WOTE.
  14. E

    Mkurugenzi h’shauri adaiwa kumtwanga vibao mtumishi

    Tusubiri taarifa ya uchunguzi wa Polisi ndo tutoe comment.
  15. E

    PICHA & HABARI: Sheikh ISSA PONDA na Watu Wengine 49 Mahakamani Kisutu

    we nae naona akili zako c shwari na ninahisi hujakamatwa na polisi ili kuunganishwa na hiyo kesi ya mbagala make ulikuwepo kwenye vurugu!!!!! Muislamu gani unapongeza ponda kwa ujinga wake?
  16. E

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Polisi tupeni taarifa kamili au mnasubiri kuichakachua? ni hawara yake au dada yake?:shock:
  17. E

    Natafuta boyfriend awezaye kuwa mume

    Ww ni kicheche, hiyo sau na umri wako havitakusaidia kitu!!!! Anza mapema kazi za ucku kule .............
  18. E

    Balozi wa Tanzania nchini malawi akana kufukuzwa!!!

    watanzania bwana kwa kuzusha, hawajambo!!!!!1 cjui waliyapata wapi. Watakuwa waislamu hawa make wao hata wakisikia mlio wa punda wanahisi anapigwa.
  19. E

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    JAMII ZETU UELEWA MDOGO SANA, HASA MTU ANALAANI POLISI KUTOUWA BADALA YA KULAANI WAISLAMU WA MBAGALA? WAISLAMU WAJENGE UPYA MAKANISA YETU:spy:
Back
Top Bottom