Search results

  1. MpigaFilimbi

    Ushauri: Nyumba nzuri ni ramani nzuri na ujenzi mzuri

    Hizo kazi ziko wapi? Should we only take you at your word? Tuone hizo kazi ndipo mjadala uanze!!
  2. MpigaFilimbi

    Siri yafichuka: Kumbe Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowassa Wilaya ya Kinondoni

    Huu ndio ujinga tunaojaribu kuukataa. Kwa hiyo Magufuli anashughulika tu na watu ambao hawakumkubali? Kumkubali Lowasa kuna kosa gani? Muwe serious kidogo, Tanzania ni ya watanzania wote sio lazima awe CCM.
  3. MpigaFilimbi

    Hivi CCM nyinyi tu ndio mnajua kutawala?

    You sound very stupid and naive!! Kwa nini mtake kulazimisha mambo ambayo hata mtoto mdogo anaona ni uvunjaji wa sheria?
  4. MpigaFilimbi

    Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

    Huu ni upuuzi kudhani kwamba kwa kuwa watu wanamsapoti Magufuli na utaratibu wake mpya wa uongozi ambao ndio watu wanataka kuuona ukitumika, ni sawa na kuisapoti CCM. Hiyo haipo kabisa, kwa kuwa hata CCM kwa sasa haimsapoti Magufuli. CCM imejengwa katika wizi, uongo, unafiki, dhuluma kwa...
  5. MpigaFilimbi

    UEFA yatangaza kikosi cha wachezaji bora Klabu Bingwa

    ..yaani Zizzou hajaingia first eleven? Huu ni utani kabisa!!!
  6. MpigaFilimbi

    First pic of female suicide bomber who blew herself up during police raid in Paris

    It has since been established that she did not actually blow herself up, but one of the two males who were with her in the room apparently did. Up to now authorities in Paris have not been able to establish who of the two males did detonate his vest! Check your facts!
  7. MpigaFilimbi

    Bila ya kibali marufuku "Live coverage" Ikulu

    Hiyo live coverage gani wanaongelea?
  8. MpigaFilimbi

    Je, ni kweli laana ya Nyerere inawatafuna hawa?

    Acheni upumbavu huu, na iacheni roho ya Nyerere kokote iliko ipumzike. Tanzania haiwezi kuongozwa kutoka kaburini. Tanzania itabaki hata baada ya sisi sote kutoweka, ni ujinga kudhani kuwa tunaongozwa na akili za Nyerere ambaye ameshaoza.
  9. MpigaFilimbi

    Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    Ndio maana nchi hii tuna matatizo yasiyosemeka.Watu wanaingia siasa kama ajira na uelewa wao uko chini. Na hilo limefanya pia wanasiasa waliopo ndani ya CCM wajione kama vile nchi ni ya kwao. Wanadhani kuwa madarakani ni kumiliki nchi na wengine wanafanyiwa kama hisani. Inatokea mpaka mtu...
  10. MpigaFilimbi

    Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Sala zangu ni kuona Morogoro inajitoa kwenye undugu na CCM
  11. MpigaFilimbi

    Shein: Zanzibar itakuwa kama Dubai

    Sasa anayeahidi ni Shein, huyu ambaye ni Rais wa sasa wa Zanzibar, kama wapiga kura wa Zanzibar wana akili timamu inabidi apate kura za familia yake na watu wa Kisiwandui pekee.
  12. MpigaFilimbi

    Meneja kampeni: Lowassa atashinda kwa asilimia 82

    Huu ni ushabiki, kwa ujumla namba zote wanazojaribu kutoa sasa ni makadirio kadri mtu alivyoichunguza hali halisi. Na kwenye makadirio huwezi kuwa na 'precision' kwa sababu hujatumia 'quantifiable primary data', unapoona mtu anakuja na precision ya 82, 68, 69.5 etc. unajua ni hisia tu...
  13. MpigaFilimbi

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hongera Gunners wote! Mwanzo mzuri!
  14. MpigaFilimbi

    Nauza suzuki carry

    Kwa nini unauza? itatupatia mwanga wa mambo ya kukabiliana nayo. picha pia ingefaa.
  15. MpigaFilimbi

    Makazi ya Kisasa: Tanzania kama Ulaya! Hongera JK, Prof. Tibaijuka, Mchechu, NHC! Wakubeza bezeni

    #Pasco kaileta hii mada ironically kiasi kwamba watu wanamwona kama anapiga debe, lakini amejaribu kuonyesha tatizo lililopo kwenye wizara hii. Huwezi kuelewa unapoona siku zote viwanja vya wazi vinajengwa kiasi kwamba mji mzima unakuwa hauna hata sehemu ya watu kupumzika na kufanya mazoezi au...
  16. MpigaFilimbi

    Book bound in Human skin

    The world is full of crazy stuff, and there is nothing new.... A book owned by Harvard University has been been bound in human skin, scientists believe. Des destinees de l'ame (Destinies of the Soul) has been housed at Houghton Library since the 1930s. Writer Arsene Houssaye is said to have...
  17. MpigaFilimbi

    PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Ukiangalia vizuri picha ya kwanza inaonyesha ni 'selfie' (wamejipiga wenyewe) na inaonyesha kama ni Komba ndiye mwenye kushika hiyo 'camera'. Nadhani ndio hiyo anayosisitiza ni 'photoshop'. Sidhani kama ni rahisi kwa mtu wa 'photoshop' kutafuta picha mbili tofauti zenye kushabihiana kwa namna...
  18. MpigaFilimbi

    Picha - Barabara za juu kwa juu zitakavyobadili sura ya jiji Dar

    Kwa mambo yanavyoenda hapa nchini, utadhani sisi ndio kizazi cha mwisho kuishi duniani.
  19. MpigaFilimbi

    Picha - Barabara za juu kwa juu zitakavyobadili sura ya jiji Dar

    Ukiangalia rasilimali kama madini ni vitu vinavyoisha..tungededicate mapato (kama kweli yanaingia serikalini badala ya mifuko binafsi) kuimarisha miundo mbinu, kiasi kwamba hata vizazi vijavyo watakuwa na kumbukumbu, wadeal na vitu vingine. Nchi nyingi zilizoendelea, licha ya kuwa hawana madini...
Back
Top Bottom