Search results

  1. Mura Weito

    Tujikumbushe ushamba na ujinga ujinga wa zamani kidogo na unaoendelea

    Kuchomekea kata ----- Kutembea na headphone masikioni huku unavuka barabara Kufungulia mzika mkubwa kwenye chumba cha kupanga
  2. Mura Weito

    Nahitaji msaada wa haraka sana jamani.

    ulijuaje inaitwa ganako high school huku hujui iliko?
  3. Mura Weito

    Tanzania Daima's Obsession

    MAANDIKO matakatifu ya Biblia yanasema kuwa kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake, kwamba wote watatumbukia shimoni. Katika maandiko hayo hayo, Yesu Kristo anawasihi wafuasi wake kuwa hawawezi kuondoa boliti iliyoko kwenye jicho la mwezao kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho lao. Maneno hayo...
  4. Mura Weito

    Wanajeshi wengine watatu wa Tanzania wafariki dunia huko Sudani

    Tanzania inataka kuwa nyampala wa Afrika kama rafiki yake USA ambaye anajiita kiranja wa dunia
  5. Mura Weito

    Petition: Wito wa kusitisha tozo/kodi ya laini ya simu kila mwezi kufuatia mabadiliko ya sheria

    "Ili kupata maoni ya katiba mpya yatakayopelekea CCM na viongozi wake kupona hebu tafuta njia ya kuweza kuwaweka busy wananchi wa Tanzania kwa kujadili huku maoni ya CCM yakipita kwenye katiba". Watanzania zindukeni katiba ndo mkombozi wa yote haya!
  6. Mura Weito

    Karipio la J.K.Nyerere 1965 dhidi ya USA na Karibisho la J.M.K dhidi ya USA 2013

    Kwanini tusijifunze kutokana na historia ili turekebishe makosa tunabaki kulaumu fikra na mitazamo ya mwalimu? Wana jf naomba kila mmoja wetu ainishe Tanzania anayoita ili maoni na mawazo yako/yake na yangu yawemo kwenye katiba ijayo. Nawakilisha
  7. Mura Weito

    Nimemchakachua demu wa kisomali kumbe ana mkia

    Kazi ya bwana haina makosa
  8. Mura Weito

    Obama Live at The State House of Tanzania

    Don't judge my president Kikwete, he is very clever than you think. big up my prezo!!!!!
  9. Mura Weito

    Dar-Es-Salaam: Obama Umedanganywa!

    Huyu jamaa mwenye hii mada anafaa kuondoa "M" kwenye jina lake ili aendane na jinsi anavyo fikiri na jina lake litaendana sawasawa na upeo wake yani namaanisha "ZOMBA" atoe "M" ibaki ZOBA.
  10. Mura Weito

    AG amemdhalilisha Halima Mdee bungeni

    Huyu werema ni mkrya jina tu siyo mkurya aliyezaliwa na mkurya wa kiume, labda mamake ndo mkurya lakini babake nina wasiwasi nae.
  11. Mura Weito

    Unyama wa kutisha kisiwa cha Lubodo

    Pole kwa familia ya ndugu huyu aliye umizwa/kujeruhiwa
  12. Mura Weito

    Mdomo wa LEMA ni hatari kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla

    MUNGU ibariki TANZANIA iepushe na janga hili la mauaji ya watanzania wasio kuwa na hatia. Nakumbuka nilisha wahi kusoma kitabu kimoja kilicho zungumzia anguko la Tanzania, hii naona kama vile utabili wa kitabu kile unatimia. PRAY THE LORD.
  13. Mura Weito

    Nawapenda Wanaume Wa Kisukuma

    Wakurya ndo wanaojua kupenda kuliko makabila mengine. queeny jaribu mkurya uone raha yake...
  14. Mura Weito

    Zitto alinikataza nisiwe rafiki wa Saed Kubenea - Asah Mwambene, Mkurugenzi Habari/Maelezo

    :yo:salute ZZK we ni jembe ile mbaya na mti wenye matunda ndo unapigwa mawe.
  15. Mura Weito

    Picha: Hivi ndivyo ilivyo kuwa bungeni Feb 04, 2013

    ":target:Wewe Ndugai wafikirie Watanzania siyo CCM"
  16. Mura Weito

    Kinana afanyiwa hujuma Kigoma:Mkuu wa wilaya atapatapa na kuituhumu CHADEMA

    :majani7:Simama kaa simama kaa rukarukaruka simama kaaa :majani7:
  17. Mura Weito

    CHADEMA inatakiwa kuwa makini juu ya mwanajeshi wa JWTZ

    Uoga wako ndo kushindwa kwako. Mjeda akaribishwe kuunga mapinduzi ya kweli mkono huku akiwa chini ya uangalizi mkali wa red guards. Be strong but not rude,
  18. Mura Weito

    CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    Nyota njema huonekana asubuhi kipenga kipo karibu kupulizwa priiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii T2015 CDM
  19. Mura Weito

    Watanzania na Ubaguzi Wa Ujinga!

    Haya ni mambo ya Wajahidina mazee
Back
Top Bottom