Search results

  1. M

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Katiba ya OIC.Hii hapa kazi kwenu Nimepata katiba ya oic..naomba kuwasilisha wadau watusaidie kuichambua kama kweli italeta tina kwa wote.........sio kwa tabaka moja au upande mmoja wa shilingi.......... Charter of the Organisation of the Islamic Conference.1 In the name of...
  2. M

    JK tazama mwezio huyu

    mimi sioni tatizo kwa obama nadhani atakapo chaguliwa, umakini unakuwa kwa watendaji wa chini yake atakao wateuwa, tatizo la kikwete alitoa ahadi pasipo kuangalia kwa makini juu ya watendaji wa chini aliowachagua, matokeo yake kachagu watu wakuvuluga malengo yake, na kibaya zaidi akateua...
  3. M

    Kikwete Mbeya: Mgongano na wananchi na mwitikio wa serikali

    habari za ipp zimeanza kuwa uploaded ila page hazipatikani na ninahisi kama ile habari ya jk kupigwa mawe imehujumiwa, sijui! Ngoja tusubiri
  4. M

    Kikwete Mbeya: Mgongano na wananchi na mwitikio wa serikali

    Sanda HIYO HABARI HAIJA TOKANA NA GAZETI MIMI NIPO HAPA HOSPITAL YA RUFAA MBEYA MAJERUHI WAMELETWA USIKU WA SAA TATU HIVI NA WALIOELEZEA KUHUSU TUKIO HILI NI ASKARI AMBAO WALIKUWA KWENYE MSAFARA NA NDIO WALIO LETA majeruhi NDIPO MMOJA WA ASKARI ALIPO ULIZWA NA WATU BAADA YA KUONA MAGARI MENGI YA...
  5. M

    Kikwete Mbeya: Mgongano na wananchi na mwitikio wa serikali

    Msafara wa raisi ndio umevamiwa na kurushiwa mawe katika kurusha gari la raisi lilikingwa na magali ya wana usalama na mkewe yuko naye kwenye ziara hiyo kwa hiyo hayo mawe yaliyo rushwa hayaja lipiga gali la raisi ila wamepigwa baadhi ya watu wliokuwa kwenye msafara ndiyo maana nimesema gali...
  6. M

    Kikwete Mbeya: Mgongano na wananchi na mwitikio wa serikali

    Samahani wana JF marekebisho kidogo nimefuatilia zaidi, walio umizwa ni watu wliokuwa kwenye msafara na waandishi na Salma amekoswa koswa gali lake limejeruhiwa
  7. M

    Kikwete Mbeya: Mgongano na wananchi na mwitikio wa serikali

    Jana usiku kuna wananchi wa chunya wameletwa Hospital ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa na polisi walipovamia msafara wa Jk kwa mawe. Muungwana amekatisha ziara ghafra alikuwa anaelekea Mbozi akitokea chunya, Nitawaletea habari zaidi
  8. M

    Tuhuma za Ufisadi alizoibua Nape: Mwita Waitara ajiengua UVCCM, adai amedhalilishwa

    tafsiri ya ya chama mmeipoteza na nani? Ulitakiwa kusema wewe pekeyako na mafisadi umepoteza tafsiri ya ccm kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi badala ya kigumu chama cha mafisadi hiyo ndiyo tafsiri harisi ya ccm. Halafu sioni ajabu unapo sema waitare si kiongozi maana kwenu yeyote anaye gusa...
  9. M

    Tuhuma za Ufisadi alizoibua Nape: Mwita Waitara ajiengua UVCCM, adai amedhalilishwa

    First LADY NANI ASIYEJUA KUWA WEWE KIBARAKA WA NCHIMBI, HEBU TUTAJIE HUO UFISADI WA WAITARA, WEWE NI MMOJA WA WALE WANAO PINGANA NA VITA DHIDI YA UFISADI, WAITARA SONGA MBELE HIYO NDIYO NJIA HUKO KWINGINE ULIPOTEA
  10. M

    Mch. Mhe. Dr. Getrude Lwakatare achunguzwe!

    Mlalahoi kumbuka kuwa Biblia kwenye Yoh. 4:1 inasema msiziamini kila roho bali mzijalibu kama zinatokana na Mungu maana manabii wengi wametokea duniani sasa unaposema watu waamini bila kuzijaribu hizo roho unawapotosha, harafu kumbuka kuwa Yesu alisema, ponyeni watu fufueni wafu, maana umesema...
  11. M

    Kauli nyingine tata ya Kikwete hii hapa

    Hii imenikumbusha Kipindi nafanya kazi kule Ngara kwa wakimbizi nilikutana na mmarekani mmoja akisema hivi ( You know you Tanzanian you are very wonderful people in this world. I asked him why yuo say so. He replyed! How did you manage to stay ten years without a prestent!! Brothers we do not...
  12. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Wild, unataka mpaka aje kutubu kwako ndio uamini ametubu,Mungu akisha msamehe mtu hakuna mwanadamu wa kupinga. Maana kwenye Biblia anasema hivi HAYA NJOONI TUSEMEZANE ASEMA BWANA DHAMBI ZENU ZIJAPO KUWA NYEKUNDU KAMA BENDERA ZITAKUWA NYEUPE KAMA SUFU, ZIJAPOKUWA NYEKUNDU KAMA DAMU ZITAKUWA...
  13. M

    Tukumbuke Zamani: Historia ya Taifa letu katika picha

    huyu bwana jina lingine alikuwa anaitwa kitambi alifukuzana na polisi baadaye alidandia gali la kampuni ya bia na kuanza kuwarushia chupa. Aliuwawa na mwanajeshi mmoja ambaye alikuwa afisa usalama. Walikuwa wengi timu yao akina zera banyikwa na mzee mwenyewe banyikwa akina mchwampaka
  14. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hebu tuonyeshe uongo wa Mwakyembe uko wapi Harafu Mwiba usipapukie mambo kwa jaziba Mwakyembe kaeleza ukweli kuwa waziri mkuu alitoa maelezo kwa mujibu wa katiba inavyosema lakini akina Shamuhuna wenye uelewa finyu kama wako wakaifanya ni issue binafsi ya pinda. Halafu unapo fananisha jambo la...
  15. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Kwamba wewe unatueleza ufisadi na hela wanazo fuja ni za CCM sio za wananchi. Mimi nadhani hoja si uchaguzi wa UVCCM, hoja ni wapi wanpata hiyo mijihela yote na kiburi cha kusema piga uwa galagaza lazima Benno awe Mwnykt
  16. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Kwamba wewe unataka kuwaambia watu kuwa Mbowe hakuwa kwenye wakati mgumu, na wala hakuondolewa pale akisindikizwa na askali. Mimi nilikuwepo jana na hivi niko Mwanza yaliyoandikwa ni kweli ndivyo ilivyo kuwa na kama hamuamini muone kama siku ya mazishi Mbowe atakuwepo. Halafu kuhusu habari...
  17. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    MWIKIMBI Hapo No 2 sijakuelewa kuwa serikari anachochea ukabila au Chadema, halafu kama hamtaki Chadema ihusishwe na kifo hiki, acheni pia kuihusisha serikali na kifo hiki. Sema uonavyo au udhanivyo wewe pia muache mwingine naye aseme aonavyo na adhanivyo yeye. Vinginevyo mtatufanya tuamini...
  18. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Huo ndio ukweli kama ni kumtafuta mchawi CHADEMA tutawashuku kwa 99% na CCM 1% Maana hali inajionyesha kama kwa Kolimba n.k
  19. M

    Je, adhabu hii dhidi ya Yanga itadumu?

    Haya ndio matatizo ya kuwa na viongozi wakurupukaji wanao toa maamuzi bila kufikiri
  20. M

    Mavazi ya kubana - Athari kwa wanawake

    Je una weza kutuhakikishia vipi kwamba utafiri wa huyu Dr si kweli na hauna maana yoyote. Tupe point zako tafadhali zitakazo tufanya tuone point za Dr Dadaoh si za kweli
Back
Top Bottom