Search results

  1. M

    Burundi nao waitosa Tanzania!

    Sioni haja ya kuingia katika shirikisho bila utafiti wa kutosha, waacheni wakurupuke watasambaratika muda si mrefu maana hawajui watendalo wanachukulia vitu kirahisirahisi tu.
  2. M

    Nyerere Alifanya Makosa Makubwa...

    Kumlaumu Nyerere ni sawa na uendawazimu, nani kama nyerere? tembea duniani kote nyerere anasifiwa na kuheshimika mpaka sasa japokuwa ameshakufa muda mrefu. Nyerere ameshakufa lakini mpaka leo kivuli chake kipo Tanzania na duniani kote, Nyerere ni SI UNIT ya Tanzania, utake usitake huo ndio...
  3. M

    Je we ni mmoja wa watanzania mwenye ujinga huu??

    Mshara wa dhambi ni mauti, sipo tayari kumtetea ponda kwa lolote lile, apigwe tu.
  4. M

    TCRA na Danganya Toto ya Usajiri - Namba za Baadhi ya Wanajeshi Hajisajiliwi

    hakuna aliyejuu ya sheria, mwenye namba hiyo kama yeye na sio kama jeshi au cheo chake ndio mwenye matatizo
  5. M

    Ujumbe wa JWTZ kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba

    uSILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA
  6. M

    Malawi waifanyia ujanja tz kupitia google!

    Ni upumbavu wao tu achana nao, kwani lile ziwa kuitwa tanganyika ndio letu lote? hapana, hivyo wanajisumbua tu na wataendelea kuota ndoto ya kumiliki ziwa lote milele daima ila hawatathubutu kuja upande wetu.
  7. M

    Ponda hali mbaya

    ye si anataka nchi ichafuke? basi ameonja chungu ya machafuko, natumaini akipona attaacha ujinga wake
  8. M

    Aliyetaka kumuua Ponda !

    who is ponda bwana? kafanya jipi jema kwa inji hii , kama unampenda mshauri aache ayafanyayo
  9. M

    Maajabu: Nchimbi agoma kumwekea ulinzi Mwakyembe, agoma kuzungumzia wauza unga

    Kazi hii ya kupambana na madawa ya kulevya kiukweli na wazi ilitakiwa ifanywe na nchimbi kama waziri wa mambo ya ndani LAKINI DUU anasubiri mpaka rais amuambie ndo atende kama alivyoelezwa na rais kuwatimua wahamiaji haramu. Hivi huyu nchimbi akiwa kama waziri wa mambo ya ndani anasubiri mpaka...
  10. M

    Makamba Jr mbona hatuoni faida ya uwepo wa mkonga?

    Tulielezwa kwamba mkongo wa taifa ungeshusha gharama za internet ili kila mwananchi amudu na pia ingerahisisha usomaji vyuoni na shuleni lakini kinyume chake gharama za internet ndo zinazidi kupanda, hatuoni manufaa yake.
  11. M

    Kuhusu Raia wa Kweli Katika Nchi Zetu Kabla na Baada ya Uhuru!

    Wajinga hawa ee, hatutaki historia hapa kama wanaushahidi na hilo waulete.
  12. M

    Mwakyembe anajaribu kuua kichuguu kwa kukamata kumbikumbi?

    Sawa, sio sawa kwa kias fulani kubeza juhudi alizofanya mwakyembe ILA hao aliowataja ni DAGAA tu, tunahitaji MAPAPA au NYANGUMI wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kinidhamu la sivyo tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu tu.
  13. M

    Mwakyembe anajaribu kuua kichuguu kwa kukamata kumbikumbi?

    Sawa, si sawa kubeza juhudi alizozionyesha mwakyembe ILA ni ukweli uliowazi kwamba hao aliowataja mwakyembe ni DAGAA TU, tunahitaji PAPA wakamatwe na kuchukuliwa hatua za kisheria la sivyo tunatwanga maji kwenye kinu tu.
  14. M

    Eti hii ni TAARIFA YA BAKWATA KUHUSU TUKIO LA SHEIKH PONDA

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Kwanza hapo alipo hospitali anastahili awe amefungwa pingu kwa kuwa alikuwa anatafutwa kwa makosa ya kijinai, na ajue mshahara wa chuki anazoeneza ndiyo hiyo ya kujeruhiwa, yeye si anataka machafuko? basi na ameonja rasha rasha ya machafuko, mvua yenyewe...
  15. M

    Eti hii ni TAARIFA YA BAKWATA KUHUSU TUKIO LA SHEIKH PONDA

    Mi nashangaa sana, kama kweli alikuwa anatafutwa mbona hana pingu mikononi hapo hospital? mseme msemavyo huyu jamaa hafai kabisa, na inabidi sasa arudishwe ndani kifungoni kwa kuwa amevunja masharti ya kifungo cha nje. Waswahili husema "mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" hayo aliyopata ndio...
  16. M

    Hivi utamaduni wa kupiga mizinga 21 tumeutoa wapi sisi Waafrica ?

    Hizi ni mila na taratibu za kijeshi duniani kote, kwamba rais wa nchi au mkuu yeyote wa nchi mwenye hadhi ya urais anapotembelea nchi fulani hupigiwa mizinga 21 na jeshi la nchi husika, waziri mkuu ambaye hana hadhi ya uraisi hupigiwa mizinga 19. Kwa hiyo hizo ni mila na taratibu za kijeshi...
  17. M

    Meridian biao

    naikumbuka sana hiyo, ilikuwa 1995 mwishoni mwishoni hivi gazeti gazeti kama sikoei la majira liliandika kwamba benki hiyo ipo njiani kufirisika hivyo wateja wakae chonjo. BOT ilikanusha vikali taarifa ya gazeti hilo. Miezi miwili baadaye benki hiyo ikafilisika. Wa kulaumiwa ni BOT kwa kuwa...
  18. M

    Sakata la gesi ya Mtwara: Hatuchezi ngoma za mafisadi?

    Ngugu hii hoja ya gesi bora ingekuwa ya kifisadi, ni ya mataifa makubwa. Mataifa hayo makubwa yanataka yatuchonganishe tuanze kupigana wao wasapoti upande mmoja ili wajichukulie gesi kiulainii. Wanamtwara acheni hizo mtakuja jutia vurugu zenu siku si nyingi. Pale dar ni petu wote watz.
  19. M

    Nimesikitishwa na kufadhaishwa sana na msimao wa baadhi ya masheikh juu ya swala la gesi Mtwara

    sIKUWASIKILIZA ILA KWA HILO MASHEHE WAPO SAHIHI, GESI NI MALI YA TAIFA SIO YA MTWARA, MBONA MOROGORO KUNA KIWANDA CHA KUSINDIKA TUMBAKU LAKINI TUMBAKU HAILIMWI MOROGORO? HILO NI SUALA LA SERA NA KAMA SERA HIZO NI MBAYA KTK TAIFA TUPIGANIE KWANZA KUONDOA SERA HIZO SIO KUPINGA GESI KWENDA DAR...
  20. M

    PICHA: Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (leo)

    Nyerere alikwisha sema dhambi ya ubaguzi ni mbaya kama kansa, mlianza kama wanamtwara, sasa mmefikia sisi waislamu wa mtwara, ina maana tayari mmeona kumbe hakuna mwana mtwara bali kuna waislamu, dhambi hiyo itaendelea kuwala polepole mpaka mtakapogundua kwamba nyie ni watanzania tu, nje ya...
Back
Top Bottom