Search results

  1. T

    UPDATES za Bungeni leo walio karibu na TV zak watujuze kinachoendelea.

    Wanaandika barua za kuacha kazi
  2. T

    Mh. Lema - Mawaziri hawapo bungeni jioni

    pinda nae ni mzigo ten mzigo mkubwa nae atoswe
  3. T

    Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Wangemfukuza kazi ingekuwa rahisi yy angecheza na mahakama tu siasa za bongo
  4. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    hao ndy naushahidi nao na meseji za mapenzi zipo
  5. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    Cha ajabu yeye anakataa ila anasema pamoja na kuwambia hizo naomba msamaha wakati tunaendelea na vikao na wazazi wangu wazazi wangu wakagundua kitu fasta kuwa mawasiliano yameamia kwa mdogo wake ambaye yeye alikuwa anasimamia usuruhishi kwavile lawama zitaenda kwake maana yeye ni ameshindikana...
  6. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    ni mke wng halali wa ndoa tena ya kikristo ndoa ina miaka 6 sasa
  7. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    asante lkn njie hiyo ni ya kidipromasia nimegongwa na nyoka kaka
  8. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    Hatua nilizochukuwa nimkurejesha kwao meseji nilizoprintiwa kwenye mtandao ambao alikuwa akitumia hafai hata chembe kuwa mke wa mtu ni meseji chafu sana alikuwa anachat na wanaume wanne kwa meseji za mapenzi kwa wakati mmoja NAMSHUKURU MUNGU SIKUFANYA MAUWAJI ila kwa sms hizi hali ni mbaya...
  9. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    hata kama ningekuwa na kasoro ya aina gani ivi guest zimejaa mpaka utembee na marafiki zangu
  10. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    sidhani kama hili lina ukweli kaka maana ametembea na wanaume sita kwa muda mfupi sana so amekusudia huyu
  11. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    kaka sijawahi kama ningekuwa mchafu ningeanza na mdogo wake maana nimemkwepa sana, na mtaani nina heshima kubwa lakni kwa sasa nimevuliwa nguo kabisa rafiki mmoja ambaye amekili kwa mke wake na kujutia hili anajisikia vibaya ambaye nae mke wake na mke wangu walikuwa kifanya wote umalaya ila...
  12. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    It' true guys ina pain sana na michango yetu yote nimeipenda swala la kumfumania halina msingi magonjwa ni mengi ameyafanya haya kwa kukusudia kabisa kwani hakuogopa hata rafiki yangu ambaye nilimpa hifadhi kwangu ambaye ndy yeye alikuwa akimfungulia geti mbaya zaidi mwanangu wa umri miaka 5...
  13. T

    Zitoo wewe ni kama Mandela!!!

    We mwehu kweli unaweza kumfananisha zito na hayati Mandela kweli, shule yako ndogo sana
  14. T

    Mke wangu wa ndoa amenisaliti, ameingiza mwanaume ndani ya nyumba! Nimfanyeje?

    Yamenitokea kweli wadau Mke wangu wa ndoa aliingiza mwanaume ndani ya nyumba na kulala nae mpaka asubuhi kwakati me nk safari kibiashara adhabu yake ni nini? Hii ni pamoja kuvuluga mtaa yaani ametembea na marafiki zangu
  15. T

    Kimoro: DC aliyevuruga sector ya kahawa,CHADEMA iwe na tahadhari

    acha uongo wewe unaijua kahawa wewe wala hujuwi hata chembe la sakata la zao la kahawa kwa wilaya yetu kamuulize comred Nzambi (MB) ndy anajua kazi kubwa aliyoifanya Kimoro hawa unaosema Lima ambao mdau wa kiwanda hicho ni Profesa Magembe hao ndy wameua soko la kahawa na walikuwa bado...
Back
Top Bottom