Search results

  1. M

    CV za MaCEO wa Serikali

    Sasa kama kuna mtu anyeona kuwa kifo alikosea na asem,this is a big concern jamani. Tukumbuke kuwa CV ni elimu na kazi ambazo ushawahi kuzifanya.. Nimesoma kuwa mkurgenzi wa Bima ni mkabila sana na kuwa mwenyekiti wake wa bodi alimsaidia kufanikisha hilo,je hauoni ufisadi huo achilia mbali elimu...
  2. M

    CV za MaCEO wa Serikali

    Si wakati wa kuendekeza Uswahiba. Serikali imeonywa kutowachagua wenyeviti na wakurugenzi wa bodi za mashirika ya umma kwa misingi ya uswahiba, kulipa fadhila, dini na kabila, bali ifanye hivyo kulingana na uwezo wa wahusika hao. Baadhi ya wabunge, watendaji na wenyeviti wa bodi za...
  3. M

    CV za MaCEO wa Serikali

    Nashukuru nami niweza kusoma na kuwa mfanyakazi ktk sekta zote,i mean serikalini na binafsi. WanaJF sijawahi kuona sehemu iliyona wafanyakazi vilaza kama serikali na kubebana. Huyu aliyeanzisha swala la CV za maCEO kwa kweli anastahili pongezi 'tunahitaji kuwa cv zao' ila mambo kama ya mataka...
Back
Top Bottom