Search results

  1. Michael Bosco

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kanunue mandazi ule acheni ushamba na we andika story yako isiwe chai
  2. Michael Bosco

    Mume kumgeuza rafiki ndio kila kitu kwake

    Ushauri wa usiku Jitongozeshe kwa rafiki ake halafu utajua mbivu na mbichi.
  3. Michael Bosco

    Mwanza wazidi kuporomoka, wazidiwa na Dodoma, Pwani na Mbeya kwenye mapato

    Kumbuka na dodoma wanajenga machinga complex ambayo itachukua idadi kubwa wa wafanyabiashiara na ushuru pia. Pale uwanja wa barafu Kuna fremu zinamwagika za kutosha so dodoma ukilinganisha na mwanza kwenye ukuaji kwa miaka mitano nyuma lazima tukubali dodoma inakua kwa kasi sana. Na mbeleni...
  4. Michael Bosco

    Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    Pamoja mkuu japo story yenyewe inaonyesha kama ya kutunga pia inakosa uhalisia baadhi ya maeneo
  5. Michael Bosco

    Uzamiaji Afrika Kusini: Mikasa katika harakati za kuzamia Afrika Kusini kwa njia za panya

    Hii story waweza ipata kwenye hii kitabu. Maana hawa watu wanatuchosha na itaendelea halafu bdye wanaoshia njiani
  6. Michael Bosco

    Babu na Bibi Suphian: Tafsiri ya kifo, raha na makwazo ya dunia

    Mkuu bado tutaendelea na mapambio? Maana zama zimebadilika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Michael Bosco

    Naomba kujuzwa zilipo ofisi za Nacte kanda ya kati

    Ulizia jengo la NSSF liko nyuma general hospital Dodoma kama unaenda kituo cha polisi wilaya
  8. Michael Bosco

    Utengenezaji wa maandazi

    Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza
  9. Michael Bosco

    Msaada wa kujua namna ya kutengeneza maandazi kibiashara

    Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza shukrani
  10. Michael Bosco

    Nyumba inauzwa Dodoma

    Nyumba ina: 1. Vyumba 3 2. Sebule 3. Nyumba mkonze ndani ya jiji la dodoma 4. Nyumba imekamilika ila inahitaji finishing kidogo 4. Bei milioni 20 (maongezi yanakaribishwa) 5. Nyumba haina dalali NB. Nyumba haina mgogoro wowote na ina offa Kwa mawasiliano zaidi nipigie kupitia 0717639621...
  11. Michael Bosco

    Reginald Mengi kuajiri Wahindi katika ngazi ya juu ya uongozi ya kiwanda cha Bonite Moshi ni kukosa Watanzania wenye uwezo?

    Kipindi cha nyuma miaka ya 2005 kushuka chini hicho kiwanda kilikuwa kifungwe Kwanzaa sababu ya kujiendesha kwa hasara ni mpaka pale mhindi alipokuja kuja ndo aliweza kukiinua hicho kiwanda kuzalisha kwa faida. Kama Hata mi ningekuwa mengi ningewaajiri hao maana Kwanzaa sasa bonite imetanuka...
  12. Michael Bosco

    KELVIN PRINCE BOATENG ni chaguo sahihi kwa Barcelona.

    Hivi boateng ni mshambuliaji siku hizi name sio kiungo? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Michael Bosco

    Nataka nimsomeshe mdogo wangu Qualifying Test(QT), naombeni ushauri wenu.

    Mpeleke Kwa father Peku peku Moro. Ada yao ni nzuri pia mazingira ni rafiki Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Michael Bosco

    BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

    Ila kwa mtu mwenye mtoto au mlezi Siku ukikuta mtoto wako au wajirani anaimba huo wimbo Ndo Utaona umuhimu wa kumfungia diamond na wasanii Kama yeye wanaoimba nyimbo za namna hiyo. Siku hizi watoto under 10 ndo waimbaji wakubwa wa Hizo nyimbo mtaani. Kwa manufaa ya kizazi kijacho maamuzi Kama...
  15. Michael Bosco

    Natafuta mbia wa kuwekeza naye kwenye kilimo

    K nakutumia mawasiliano yangu inbox
  16. Michael Bosco

    Natafuta mbia wa kuwekeza kwenye kilimo hasa cha mboga mboga

    Habari zenu! Niende kwenye mada nilikuwa natafuta mbia wa kuweza kuingia naye makubaliano na kuwekeza kwa pamoja kwenye kilimo hasa cha mboga mboga kwani ndicho chenye faida kwa sasa Tanzania. Mimi na baadhi ya vitendea Kazi kama pampu pamoja na utalaamu wenyewe wa kilimo. Chamngoto kubwa...
  17. Michael Bosco

    Natafuta mbia wa kuwekeza naye kwenye kilimo

    Habari zenu! Niende kwenye mada nilikuwa natafuta mbia wa kuweza kuingia naye makubaliano na kuwekeza kwa pamoja kwenye kilimo hasa cha mboga mboga kwani ndicho chenye faida kwa sasa Tanzania. Mimi na baadhi ya vitendea Kazi kama pampu pamoja na utalaamu wenyewe wa kilimo. Chamngoto kubwa...
  18. Michael Bosco

    Msaada: Jinsi ya kuweka umeme kwa kutumia luku ya jirani

    Naomba kurudishwa kwenye mteja wa kawaida wa chini ya unit 72 kwani matumizi yangu kwa sasa hayazidi hizo unit. Namba yangu 54150367891 #TANESCO
Back
Top Bottom