adui mkubwa wa sisi waislamu ni kwamba tumeacha kuisoma dini iliyo sahihi na kukimbilia kutaka kuwa na dola bila kufuata muongozo wa mtume wetu muhamad s.a.w wakati tunaafahamu kuwa hakuna muongozo ulio bora ila muongozo wa mtume wetu.
USHAURI TUKAE CHINI TUIOSOME DINI ILIYOSAHIHI TUSOME TAWHIID...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.